Usafirishaji mpya wa siku za baadaye

Usafirishaji mpya wa siku za baadaye

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,111
Reaction score
4,002
1 MAGARI YANAYOJIENDESHA YENYEWE,
Yanauwezo wa kuhisi Ajali na kukwepa, pia utakuwa usafiri wa Haraka na rahisi,
Kampuni kama Tesla,Google,BMW, uber na mengine mengi yameshaanza kuyatengeneza haya Magari
1542522846529.png


2.Hyperloop
Hii ni train ambayo itakuwa inatembea kwa kasi zaidi ya KM 970 kwa lisaa, huu ni umbali kutoka Dsm mpaka Tabora kwa lisaa
wazo lililetwa na mwanasayansi mjasiriamali bwana Elon Musk
1542524118308.png


3.Magari huru yanayo paa
Tayari huko tel avivi israel washaanza kufanya majaribio ya sky train
1542525029993.png


4.Skylon
Waingereza wanajaribu kuunda ndege za abiria na mzigo ambazo zitakuwa na kasi mara tano zaidi ya hizi sasa
itakuwa na kasi zaidi ya sauti, ndege hii itakuwa na uwezo wa kutoka london mpaka sydney kwa masaa matatu au manne
1542525909229.png
 
Maarifa yameongezeka sana
Dunia imebaki ni ile ile
Karibu inashindwa kutuchukua mgongoni.
Then tunakufa[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hiyo hyperloop ya km970 kwa saa unaweza hisi unapaa na ukiangalia nje hauwezi kupata clear picture ya vitu. Ikitokea ajali kwa hiyo speed usitegemee kupona.
 
Nikiinaga tunajenga fly over hua najiulizaga sana kama tunaenda mbele au tunarudi nyuma! Sababu wenzetu wapo kwenye magari yanayotembea angani itafika mahala hizi bara bara ni kwaajili ya magari ya makubwa ya mizigo tu! [emoji15]
 
Nikiinaga tunajenga fly over hua najiulizaga sana kama tunaenda mbele au tunarudi nyuma! Sababu wenzetu wapo kwenye magari yanayotembea angani itafika mahala hizi bara bara ni kwaajili ya magari ya makubwa ya mizigo tu! [emoji15]
Sasa wewe unataka tufanyaje kama sis hata viwanda vya ku assemble baiskel hatuna
 
Mh sayansi na tehama inayo kuhijia unaweza shangaa[emoji54][emoji54][emoji54] wenzetu hawatumii ghalama kwa sababu wana maligafi na watalamu wawo wakutosha
Simple logic for apply this lesson my republic of Tanzania.
 
Write your reply...
kadri maendeleo yanavyoongezeka duniani ndivyo uhai wa mwanadamu na unazidi kuwa hatarini..


dunia ilikuwa nzuri sana,lakini wanadamu tumeiharibu wenyewe..MUNGU amejiweka kando na dunia hii akitizama ujinga wa mwanadamu!
 
Believe me siku Tz tunamiliki Airbus 360 Tram,Electric train & Mega ships za kutosha na kila mwananchi anauwezo wa kununua Bmw old school kwa kipindi icho bado tutakuw kene poor country category (Developing country)...Nawaza tuu
 
Hizo ndege zenye speed mara nne ya za sasa sijui zitatua namna gani. Maana kwa hiyo speep zinaweza zikapasukapasuka.
 
Back
Top Bottom