Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

unajua madhara ya watu kuacha kufanya kazi kwa siku moja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa serious mkuu.
 
Jana kuna daktari wa wizara nilikua naongea nae alidai tatizo kubwa(maambukizi ni mengi kuliko inavyoelezwa)...muda wote vikao na wamesitisha ziara zao zote za mikoani kwa ajili ya korona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kutokwenda kabisa kazini Ina athari ndogo kiuchumi kuliko kwenda kwa kuchelewa.. Wazo lako ni ngumu kulielewa kama sio daktari wa falsafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…