Namfahamu.Alikuwa paroko wa parokia ya Bomang'ombe Hai. Anaitwa Padri Albert Chevesnosky.Ni mrumania.Ukienda Hai Club siku za Jumatano utamwona. Kwa tungi huyu padiri hatari, anamiminia vodka kama maji.View attachment 188742
Namna bora zaidi ya kubana matumizi sio kuishi maisha ya kifahari wakati waumini ni maskini