Habari wanachit chat!
Swali hili limelekezwa zaidi kwa wanaume! Nimexperience sana swala la kubambiwa kwenye daladala na huwa nakereka sana. Swali kwa wakaka!Hivi huwa mnapenda,inatokea tu, na huwa mnafaidi nini?Wadada mnaweza kuchangia pia.
Hivi anaebambiwa kumbe anasikia raha?lipi bora kupeana raha wawili ama hili la pyuuuuuuu pyuuuu unasikia kama tair inatoa upepo yala harufu inayokuja adi dereva anaisikiliza
Haya bwana,itabidi niwe mvumilivu hadi apate pesa!
Hivi anaebambiwa kumbe anasikia raha?
Nimekushindwa....mi inanikera bwana.:msela: ndo maanake unakuta mwanamke mwingine anajua tayari mzigo umesimama basi anacho kifanya nikukuletea wowowo makusudi dereva anavyo ingia kituoni break zile za kuminya na kuachia huyo mwenye bambataa upo mgongoni mwake basi nae analitikisa kabisa kama unaweka mahindi kwenye kiloba
Nimekushindwa....mi inanikera bwana.
Kubambia hadi raha tena hasa pale dereva akiminya break na wewe unaongeza na ya kwako,,,Tahadhari kwa afya yako km ww ni Dungadunga
nimekushindwa....mi inanikera bwana.