Usafiri wa daladala na "kubambiana"

Usafiri wa daladala na "kubambiana"

Habari wanachit chat!

Swali hili limelekezwa zaidi kwa wanaume! Nimexperience sana swala la kubambiwa kwenye daladala na huwa nakereka sana. Swali kwa wakaka!Hivi huwa mnapenda,inatokea tu, na huwa mnafaidi nini?Wadada mnaweza kuchangia pia.

lipi bora kupeana raha wawili ama hili la pyuuuuuuu pyuuuu unasikia kama tair inatoa upepo yala harufu inayokuja adi dereva anaisikiliza
 
Haya bwana,itabidi niwe mvumilivu hadi apate pesa!

Hehehe hata boda boda nazo waweza panda sema tatizo la boda boda nazo zinadhalilisha akina mama kwa wale wapenzi wa kuvaa machachandu/shanga kiunoni dah mi na ukware wangu nikiona tu akili huwa ina hama kabisa
 
Hivi anaebambiwa kumbe anasikia raha?

:msela: ndo maanake unakuta mwanamke mwingine anajua tayari mzigo umesimama basi anacho kifanya nikukuletea wowowo makusudi dereva anavyo ingia kituoni break zile za kuminya na kuachia huyo mwenye bambataa upo mgongoni mwake basi nae analitikisa kabisa kama unaweka mahindi kwenye kiloba
 
Nimekushindwa....mi inanikera bwana.
 
hahaa!nikienda dar
na plaizi yangu mie niwakomeshe!
asante kwa njia mbadala!
 
Back
Top Bottom