Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 313
na ww ni mmojawapo eeeh maana umefurahi kweliiiiiiiii
Umelalamika sana yaelekea ukawa ni muhanga nambari moja ya hii kitu anyway pole sana vaa baibui
na ww ni mmojawapo eeeh maana umefurahi kweliiiiiiiii
Umelalamika sana yaelekea ukawa ni muhanga nambari moja ya hii kitu anyway pole sana vaa baibui
nyie mnabambia hata slim hakuna cha bambataa wala nini nahisi kuna laana imepita kwa baadhi yenu,unakuta gari haijaja lakini mtu kang'ang'ania nyuma yako kudandia shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!
utafikiri anataka kukufia kiunoni halafu ukimtizama unamkuta ni baba mtu mzima khaaa mishipa ya aibu imeshakatikaMbaya zaidi pale li njemba linapokuhemea juu juu huku limekusogezea ndunde yake........yanakerajee??!!!
haya umeshinda mamaloh mnakera huoni tunavyowageukia kama simba aliyejeruhiwa,awafurahie nani
haya umeshinda mama
Kuna wengine ukiwaminya wanadhani huyuNext time tembea na plaizi...mwanaume akisogeza tu mtutu wake we kimya kimya unauminya...sasa swali kwake atajibu alikuwa anafanya nini hadi mtutu ukakutana na tufani
utafikiri anataka kukufia kiunoni halafu ukimtizama unamkuta ni baba mtu mzima khaaa mishipa ya aibu imeshakatika
Wajinga tu na uroho wao huo wa hovyo hovyo. Kila saa kuwaza ngono tu.......2mbavu kabisa. Mbanano wa kawaida nitauvumilia otherwise ni vipepsi tu ndo vitafuatia!
kwani baibui inawazuia kujibananisha viunoni?
Next time tembea na plaizi...mwanaume akisogeza tu mtutu wake we kimya kimya unauminya...sasa swali kwake atajibu alikuwa anafanya nini hadi mtutu ukakutana na tufani
Angalau kidogo coz nguo zingine zinasababisha njemba zipate mifadhaiko
unatafuta ugomvi
na dungadunga wewe hahaaaa!
Mijanaume mingine imekosa soni, hata haya haioni. Utakuta lijanaume lasogeza mashine yake kila upande ambao mabidada wanakuwa wameegesha mawezere!!
Halafu walikuta limeshika mtalimbo wa daladala mimacho imemlegea kwa ashki za kuchobea tu makalio ya wadada.
Nakwambia dawa yao ni plaizi tu...
Kusema ukweli hii kitu inanifanya nisiwaze kabisa kununua gari. Asikwambie mtu ukiwa rijali hii lazima itokee. Majuzi jamaa alimwaga maziwa mwenge -posta wacha demu ampige mabao. Masela wakaingilia kumwokoa mshkaji. Kina dada wa hapa bongo na mavazi yenu mpandage tax au bajaj kwenye daladala mtatulaumu sana wanaume. Kumbuka you cant stop hormones from working where conditions are conducive
hahahhaha sio vifanta.