Usafiri Kafiri

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Wakuu,
Habari zenu.
Niko kwenye basi nikisafiri toka Moshi kuelekea Chalinze.
Tukiwa eneo la Mombo,kwenye kibao cha Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi, tumesimamishwa na polis na jamaa wengine waliovaa kiraia. Wameingia kwny basi na kuanza kunusa mabegi ya abiria kwa kutumia pua zao, eti wanakagua madawa ya kulevya. Kitendo cha kutumia pua ndicho kilichovutia abiria kubaki na mshangao.
Wajuzi wa mambo, hii maneno kweli ni sawa, na je ndiyo weledi wa taaluma hii?
 
hahahaha.... huwezi jua walipekekwa INDIA hao wakawekewa pua za MBWA hivyo wanauwezo wa kugundua dawa zilipo kama wafanyavyo mbwa. Haya ndio mafanikio ya MIAKA 50 YA UHURU WETU!!!! :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Au wanatumia kwa hiyo wanaijua harufu yake !
 
Watakuwa wanatafuta msuba tu kiongozi, hiyo ndio dawa ya kulevya ambayo unaweza kutumia pua kugundua ila zile zingine sidhani
 
Walifanikiwa kupata hizo dawa wanazonusa
kwa pua?
Safari Njema bro.
 
hahahaha.... huwezi jua walipekekwa INDIA hao wakawekewa pua za MBWA hivyo wanauwezo wa kugundua dawa zilipo kama wafanyavyo mbwa. Haya ndio mafanikio ya MIAKA 50 YA UHURU WETU!!!! :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:

TUMETHUBUTU, TUMEWEZA, TUNASONGA MBELE!
Hii ndiyo bongo bana.
 
shemegi waenda wapi tena mbona hujaaga kijiwe

Hivi shemegi sikukuaga,au umesahau? Siku ile ya nanihiino niliweka mambo hadharani, au zle kesto lait zilikuwa za moto zikakuzingua! Nenda pm utakuta hansard ya maongezi yote.
 
ilikuwa mchanganyiko na bapa..........sio kwamba kalenda yako ipo mbele
 
Walifanikiwa kupata hizo dawa wanazonusa
kwa pua?
Safari Njema bro.

Hakuna kitu walichopata besti. kuna begi lilikuwa limezungushiwa lining ya nylon wamechana kidogo pembeni ili wapate harufu ya ndani, lakn wapi bana. wakaishia kututakia safari njema.
 
kwa nini hawakuomba kufunguliwa mpaka wachane
 
shemeji aenda Chalinze.......
shemeji huyu ana visa sana ujue......

We nae jana uliniboa ukiwa mule kwenye WAR-BUS lenu.
Ulikuwa unamchekea na kugonga mno na dereva wako, kiasi alitaka anigonge pale msikitini.
Acheni hizo bana! najua mmethubutu, mmeweza, lkn isiwe tabu kwa watumizi wengine wa bara2!
 
shemegi waenda wapi tena mbona hujaaga kijiwe

Aliaga mpaka nikamwambia amwachie majukumu katibu jamani! Au siku ile tusker zilikuwa zimexhukua nafasi yake?

Back to topic: hao watakuwa wana itelijensia ya kova wanatafuta pia mizigo ya alishababuu kaaaaaaaazi kwelkweli.
 
labda hiyo topic ilinipita kushoto..........unajua sio mchaichai
 
Back
Top Bottom