Usafi wa Zitto Kabwe

Usafi wa Zitto Kabwe

Mbowe amaarufu wake ukoje? Zitto ni maarufu kuliko Mbowe.
Siko hapa Kujua nani maarufu kuliko mwenzake niko hapa kuchambua mapungufu, uchafu na udhaifu wa zzk! Hayo ya umaarufu peleka kwenye vijiwe vya kahawa unavyohudhuria au ulipo!
 
R
Kama zitto yupo kisiasa na wewe changamkia fulsa ili na wewe umiliki hizo nyumba basi.


Watu wengine ukiona huna point ya kuongea mbele za watu kwa nini usikae kimyaaaaa???

Hivi sasa kila mtanzania ameamka kisiasa na kujua nini maana ya siasa na hasa neno ufisadi naamini mioyo yenu inatamka kwa dhati kuwa ni jasho la mh. Zitto kabwe,, hata wewe mleta maada ymekua kibaraka wa cdm baada ya kuogelea ndani ya damu ya zito iliyotolewa kwa ajiri ya watz kupitia cdm. Leo kwa vile na wewe unajua kuandika baaaasi unaandika tuuu,,,
Halafu epuka kupost vitu usivyovijua bora ukafanya utafiti kwanza kuchwani na kuona nafsi yako inazungumza nini juu ya hilo
Rubbish
 
My God,This is very appalling,please let go of this chap,his case is fait accompli,let him move on with his carreer he is done with us cdm Mr Murage Msherwampamba.PEACE:canada:
Ukiona wapenzi wameachana na bado kuna mmoja wao anafuatilia sana maisha ya mwenzake ujue kuwa bado anampenda na moyo unamuuma sana kwa yeye kuachwa. Tulishasahau kabisa mambo ya Chadomo na Zitto. Tafadhali katoe photocopy ya hiyo habari yako kisha uwapatie wanao kama kumbukumbu ya chuki kubwa ulonayo dhidi ya Zitto Kabwe.
 
Kama Majungu yanapoteza Mwanasiasa basi Zitto angeshapotea. Inakuaje Mwanasiasa Fisadi, Mnafiki na Mwongo kuendelea kuwa tegemeo kwa pande zote. Bunge hili hili MAGUFULI kamsifu, Bunge hili hili Ukawa wameahidi kushirikiana nae.
Kuna Mwanasiasa alietukanwa kwa Ufisadi kama Lowassa mpaka tukaambiwa anaemkubali akapimwe akili lakin leo hao waliokuwa wanamsema ndio wanatuambia no one like him
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom