Usafi ukeni - Sharing is caring

naona hao ndo wanaosubiri ijioshe yenyewe
hivi ule utoko unaweza kutoka wote kabisa bila kidole kuhusika??
kwa kweli hapa kuna watu wanataka wenzao tuachike ndoani mmmh

Hujambo my daughter
 
Hilo nalo neno wapimaji mikono iwe safi...ivi niulize wale wadada walio na mikucha mirefu na rangi juu wanaosheje kwa bibi

wale huwa wanafanya mapenzi ndani ya maji kwenye bath tubs. Ile kochokocho na maji yanavyoingia na kutoka ndio osha yenyewe.
Kwa nini mtumie vidole na vijiti wakati miswaki original ipo?
 

harufu yake naturally inafananaje? hebu tueleze kidogo zaidi tuifahamu. Mimi huku Tanga kila nikigusa zanukia udi atii.
 
Eheeee namba moja hyo apo juzi tu kwenye thread moja hapa nliona wadau kadhaa wanasupport kuweka vidole kwente K,now you know....

walikuwa wana-maana ya yale madole matupu yasio na ukucha.
 

Well unajua mnaokinzana ni nyie wenyewe watunzaji sie watumiaji tupo kama hivi tunadadisi tu!!!!!!

Mi nadhani tusiweke neno traditional wala modern sababu hiyo unayoiita scientific kwa mujibu wa wengine hapa ni traditional unless by modern you confine the operationa defintion to "chemical use"

Na traditional ya Mwanza sio ya Nabirgunya au Masasi........diversity....

Sikujua kama hili lina utata hata kwa wanawake wenyewe!!!!!
 

Thank you
 

Uchafu mweupe na harufu ni uambukizo wa fangasi, ukiua bacteria walinzi kwa kujifanya mjuaji kusafisha ndo unawapata pia unaweza kuambukizwa na mwanaume kutoka kwa mwanamke mwingine mwenye nazo(zinaa) wataalamu wa afya hawashauri uoshaji wa ndani ya uke unadisturb normal flora sijui. Na hizi elimu za makungwi wa mitandaoni n.k za kuweka mist, shabu n.k zitatuua na maradhi. Balance ya ukeni ikibadilika unapata uambukizo fasta
 
Eti usipojiingiza unatoka vitu vyeupe.....sio kweli...ila halafu mambo ya kujiingiza kodole nayaskia ukubwani..sijawahi kuskia
 
Eti usipojiingiza unatoka vitu vyeupe.....sio kweli...ila halafu mambo ya kujiingiza kodole nayaskia ukubwani..sijawahi kuskia

Hayafai, ni bora kuhusisha wataalamu wa afya na hasa inapohusisha afya mwili wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…