Juwaine
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 624
- 170
Kwa hiyo mbututu isioshwe? wanawake mna tabu sana.
Neno mwanamke ni panga sana usilichukulie kiwepesi waheshimu nao.
Kwa hiyo mbututu isioshwe? wanawake mna tabu sana.
ukiduu kavu zile mbegu utazisafishaje bila kuingiza kidole?
Ukikojoa yaani haja ndogo zinatoka zenyewe. Ukizingatia hizo mbegu ni afya kwa mwanamke
ukiduu kavu zile mbegu utazisafishaje bila kuingiza kidole?
Mumeo ananuka pumbu?
Zile zinatoka zenyewe, kikubwa ni kujisafi tu kwa nje, maana hata ukisema upeleke kidole naamini hakifikii urefu wa dushee ambalo ndo linazitema...kwa hiyo kidole hakifiki popote. Mbegu zitakazokuwa zimebaki njiani zitatoka zenyewe...huo ndo uelewa wangu, ila wataalamu wa afya pia waweza kutujuza hapa
Ni kweli mkuu. Mbegu/ shahawa zilizo ndani ya uke baada ya kujamiiana hutoka zenyewe, haihitaji kuingiza kidole, unaosha kwa nje tu. Lkn wanawake siku hizi wanajiharibu wanahangaika kuingiza kidole na wengine wanatumia sabuni na kujipuliza pafyum nje ya chupi sehemu ya uke.
Acha kudanganya wenzio. Usafi wa papuchi muhimu, ikibidi tumieni magunzi.
Uchafu mweupe na harufu ni uambukizo wa fangasi, ukiua bacteria walinzi kwa kujifanya mjuaji kusafisha ndo unawapata pia unaweza kuambukizwa na mwanaume kutoka kwa mwanamke mwingine mwenye nazo(zinaa) wataalamu wa afya hawashauri uoshaji wa ndani ya uke unadisturb normal flora sijui. Na hizi elimu za makungwi wa mitandaoni n.k za kuweka mist, shabu n.k zitatuua na maradhi. Balance ya ukeni ikibadilika unapata uambukizo fasta