Usafi ukeni - Sharing is caring

Najikongoja, mambo si marahisi kama nilivyodhani. Ila uzima upo.

Na wewe?

Ahaaa.ngoja napita.mlimani city nakuletea ufito wa choklet.chaap..plus ule nechero kusindikizia maana role yangu nshaikubali
 
hahahaha magunzi ya aina gani babu

Ya mahindi hasa yatokaya İringa. unaliweka kwenye moto kidogo likakamae. Afu unalidumbukizamo kwa ajili ya usafi wa papuchi na kuta zake.
 
mwalimu, wakati unacheka unakumbuka kunigongea like? au hujui mimi na Like ni sawa na Malawi na ziwa Nyasa?
ahahahahahahaha wallahi nakugongea za kimoyomoyo!
kasimu haka hakana like bana
 
Ya mahindi hasa yatokaya İringa. unaliweka kwenye moto kidogo likakamae. Afu unalidumbukizamo kwa ajili ya usafi wa papuchi na kuta zake.

Aiseee....baadae utanisaidia hiyo kazi
 
La msingi na la sekondari ni mwanamke kujijali na kujiangalia kwanza kabla ya kutafuta kufurahisha mume!
 
Ya mahindi hasa yatokaya İringa. unaliweka kwenye moto kidogo likakamae. Afu unalidumbukizamo kwa ajili ya usafi wa papuchi na kuta zake.

mhhhhhhhhhh hiyo hapana kwa kweli
 
Hahahah pole mwaego. Naamini njia kuu lami ishakauka mzee anaweza pitishamo Prado lake sasa.

Haswaaaa!! Unafikiri angeweza kuvumilia mpaka leo? Spid sasa si 20 tena angalau hata pozi fulan zinaendeka.
 

Hapo kwenye bold! sijaelewa maelekezo vizuri. Je tunaingiza mikono ndani ya vagina, kule kunakotokea mtt ili kuosha nyuchi? na unaenda umbali gani kwenda ndani? kama nimeelewa alivyosema hips.com mule ndani ni selfcleaning, kuna jinsi yake ya kutoa uchafu uliomo ndani. Na mule ndani sio kuchafu hata kidogo

Kuhusu kukausha na taulo! kama tunaingiza mikono kuosha huko ndani, je tunaingiza na taulo kukukausha?
 
Last edited by a moderator:
Eeee nyuchi haioshwi ndani huko inajiosha yenyewe zaidi sana ili kuwe poa chukua hiliki chemsha kwenye maji O'Shea papuchi itakuwa na hewa safiiii na kaharufu ka mchele mchele kushney. zingatia papuchi inajiosha yenyewe
Vagina is a self cleaning machine. tunaosha kwa nje tu, lakini si kuingiza makitu ndani ya tundu kwa ajili ya kuosha
 
Hili somo kama linasua vile ...........ila kumbe sasa suala la kumjua partner wako ni la muhimu sana!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…