Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Hahahaha....wala siingiz
Good gal.
Hahahaha....wala siingiz
yaaaani niko bien hadi bathiiii!Najikongoja, mambo si marahisi kama nilivyodhani. Ila uzima upo.
Na wewe?
Najikongoja, mambo si marahisi kama nilivyodhani. Ila uzima upo.
Na wewe?
hahahaha magunzi ya aina gani babu
ahahahahahahaha wallahi nakugongea za kimoyomoyo!mwalimu, wakati unacheka unakumbuka kunigongea like? au hujui mimi na Like ni sawa na Malawi na ziwa Nyasa?
Ahaaa.ngoja napita.mlimani city nakuletea ufito wa choklet.chaap..plus ule nechero kusindikizia maana role yangu nshaikubali
Ya mahindi hasa yatokaya İringa. unaliweka kwenye moto kidogo likakamae. Afu unalidumbukizamo kwa ajili ya usafi wa papuchi na kuta zake.
Hapa asali ya odm iko hatarini kuingizwa chaka.
La msingi na la sekondari ni mwanamke kujijali na kujiangalia kwanza kabla ya kutafuta kufurahisha mume!wanaume wanaboa sana. the more unavyofanya kumfurahisha the more anavyokuona wewe mjinga fulani hivi.
ukiacha kuyafanya anaanza kutafuta visingizio lukuki vya kukukandamiza na hata kutoka nje.
hawana jema hata kidogo. na hawana mapenzi endelevu kama walivyowanawake. wapowapo tu leo anakupenda kesho anakuona hufai keshokutwa anakupenda sana yani hawasomekisomeki.
ningekuwa na uwezo ningeee......................................................
Aiseee....baadae utanisaidia hiyo kazi
Ssshhhh..nipo kazin hommie
Kwa mguu sawa tu !!!!!!! Si vinginevyo............😛ainkiller: ......kama ikibidi
Ya mahindi hasa yatokaya İringa. unaliweka kwenye moto kidogo likakamae. Afu unalidumbukizamo kwa ajili ya usafi wa papuchi na kuta zake.
mhhhhhhhhhh hiyo hapana kwa kweli
Hahahah pole mwaego. Naamini njia kuu lami ishakauka mzee anaweza pitishamo Prado lake sasa.
naomba majibu unajua kuna tofauti ya bacteria za kulinda uchi na zile za utoko?
pili unajua kuna utoko wa mchana na usiku
my dia uchi lazima uoshwe tna kwa maji safi na salama....osha mikono yako kwa maji vuguvugu tumia sabuni or detto kausha mikono yako..anza zoezi la kuosha papuchi taratibu cos haihitaji fujo wala haraka,osha kwa maji tu USITUME sabni or kitu chochote chenye chemical then futa na taulo safi,
Bacteria wa mchana ni muhimu cos wanalinda uke huruhusiwi kuosha ila wa usiku lazima uoshe cos ni uchafu
fangasi utapata kama unaosha bcteria wa mchana wanaolinda na hutumii maji safi na mikono safi na wale ambao wanatumia sabuni
je ushawahi kusikia malalamiko ya wanaume juu ya wanawake wanaotoa uchafu wenye harufu na vitu vyeupe kama mziwa mgando?je ni vitu gani hivyo?
usafi wa uchi kwa mwanamke ni muhimu hakuna cha kujiswafi automatic hizi ni mannual mama lazima mkono safi utumike
Vagina is a self cleaning machine. tunaosha kwa nje tu, lakini si kuingiza makitu ndani ya tundu kwa ajili ya kuoshaEeee nyuchi haioshwi ndani huko inajiosha yenyewe zaidi sana ili kuwe poa chukua hiliki chemsha kwenye maji O'Shea papuchi itakuwa na hewa safiiii na kaharufu ka mchele mchele kushney. zingatia papuchi inajiosha yenyewe