Nyamayao ukiwa na tatizo hasa ugonjwa kama umekusumbua kwa muda mrefu na umetumia dawa zinazotakiwa na huponi hakika utakachoambiwa utumia ili upone utatumia.
Mie nilivyoambiwa na yule Dr niliacha kujisafi kwa ndani siingizi kidole/maji kwa ajili ya kujisafisha, alinipa dawa nikatumia na tokea wakati ule sijasumbuliwa tebna na fungus
Niliulizwa kwa nini unasafisha kule?? nikamwambia Dr najisafi kwa sababu kuna uchafu kule, nikaulizwa huwa unatoka wapi?? huo uchafu unasababishwa na nini??, na Dr akaniambia niache mara moja kufanya ivyo kwa kuwa hata maji tunayotumia kujisafi kule ni ya bombani (dawasco) kwa wale walioko bongo, sio masafi kivile, akaniambia labda nikitaka kufanya ivyo nitumia product za oriframe wanazo kwa ajili ya ujisafi kule, na akanitajia na nyingine( sikumbuki jina), Ila mie binafsi nikaona isiwe tabu, nilipokuwa kigoli , shuleni, chuo mbona nilikuwa sisafishi? na sikuwahi kupata haya matatizo? nikatupa mbali habari ya kusafisha kule, na nipo poa tu.
Dr aliniambia kule panajisafisha penyewe.vingi tunaponzwa na huu utandawazi.
Ikunda
Kwani ulianza usafi wa aina ile kisa utandawazi?
Ikunda
Kwani ulianza usafi wa aina ile kisa utandawazi?
ndio mana nikakuuliza maji uliyokuwa una2mia ni salama?.....nadhani hizo fungus ziliababishwa na maji hata mie nilipokuwa dar nilipata fungus coz ya maji nilijitibu na kuanza ku2mia maji salama huko na tatizo likaisha mpaka leo, hiyo red Ikunda jamani jamani jamani....speechless kwa kweli...yaani hapana aisee, kama usafi nao ni utandawazi tena bac kasheshe 2pu......
kama we ni demu oshea joni walker kama ni men basi pendelea sana kuoshea maji ya dafu
Nanukuu maneno ya Dr, panachafuka na nini uoshe?? kule panajisafisha penyewe, hahahahaha
Nyamayao kwa maana nyingine unataka kuniambia wamama/wadada wa Dar wanaosafisha kule wanatumia maji yenye TBS??, yaliyochemshwa yakachemka hadi wadudu wakafa?? lol
hapa 2naongelea mie na wewe, kwa tatizo 2lilopitia(fungus), kwangu ilikuwa ni maji na wewe nahic pia ulizipata kupitia maji, kama unavyoyajua maji ya dar, mara ya kununua na hujui wameyatolea wapi, Ikunda waache hao wa vjjn coz huna hakika kama wanafanya huo usafi au hawafanyi, mbona wewe upo mjini na haufanyi?..wengine 2melelewa vjjn but hao hao wamama ze2 w vjj ndio wali2fundisha kujiweka safi 2lipovunja ungo 2, 2nakalishwa na kupewa risala ya kijiweka safi kama binti.....hapo red Ikunda....eg pm?....
MP haichafui bana ni njia yake ya kupita, lol
We Aspirin una mambo haki. hahahaha. Kweli nilisema sijui vya wanaume ila sio kiasi hiki jamani. hahahahahaHiyo Red: Hatari!!! Don't practice this at home!! Mungu ataamka akutie bakora!
Kwa wanaume:
1. Piga punyeto kabla hujaoga.
2. Ukishaoga futa storongo kwa taulo safi
3. Imwagie spiriti, au valuu kama spiriti iko mbali
4. Vaa Boxer iliyo safi, usivae chupi bana, kivazi cha kike hicho.
5. Ukikojoa hakikisha unatema mate
6. Baada ya kukojoa irudishe storongo kwa boxer ielekee upande wa kushoto.
7. Usinyoe vuzi, kunyoka kwawahusu wanawake. Kama waweza vuzi lisuke rasta
8. Ukifanya vaginal sex, malizia na anal sex (kusugua ili iwe safi zaidi na zaidi) Then kaoge na kuisugua kwa brashi ya nailoni, ofkozi hiyo ni baada ya kufanya kitendo namba 1 hapo juu.
Kama kuna swali, napatikana kwenye PM zaidi.
Inakuwaje unacheka bila kutoa kiingilio? Afu baadaye ntaomba utoe somo la jinsi ya kuswafi tundu la haja kubwa.We Aspirin una mambo haki. hahahaha. Kweli nilisema sijui vya wanaume ila sio kiasi hiki jamani. hahahahaha
Kwa the way nilivo cheka kweli kabisa nitalipa, tena kwa cheque mkuu. lol usafi wa huko naomba utufafanulie wewe please. na wewe si unalo?Inakuwaje unacheka bila kutoa kiingilio? Afu baadaye ntaomba utoe somo la jinsi ya kuswafi tundu la haja kubwa.
Ngoja nisepe kabla huu msredi haujahamishiwa jukwaa la wakubwa........ khaa!Kwa the way nilivo cheka kweli kabisa nitalipa, tena kwa cheque mkuu. lol usafi wa huko naomba utufafanulie wewe please. na wewe si unalo?
Khaaa kutoa harufu? Ukiona unatoa harufu jua unaugonjwa mama, kawaida hakupaswi kunuka kwanza kunalambwaga kule, majimaji yanayotoka hayanuki wala kuwasha ndio maana kuosha marakwamara sio ishu kwanza unawezapata fungus au bacteria hata unapotoka kukojoa sio kila mara uwe unajipiga mimaji wakati mwingine kausha na tishu tuu ile chumvi ya mkojo ni dawa pia, ukipenda kutumia maji sana unaweza pata uti na fungus kama maji sio masafi ila kila umalizapoku du osha kwa maji na sabuni, wanake wengi wanamaambukizi ya zinaa bila wao kujua harufu inayopaswa kutoka sio kali wala mbaya ukiona unatoa harufu mbaya kimbia kwa daktari.Samahani kama hukunielewa, nilimaanisha kuosha kwa kuondoa kabisa ule 'uchafu' wa ndani. Kuosha kwa nje tulisema ni mara 2 kwa siku (at least) ila ukiosha sana huko ndani pia unaharibu balance na ikiwa kwa sababu moja au nyingine unahitajika kukaa zaidi ya masaa 8 bila kuosha utaskia unatoa harufu mbaya sehemu za siri sababu umetoa bacteria fulani ambazo ni muhimu kw kusuppress. Na ndio pia sababu ya kuto tumia intimate gel ndani ya uke, but nje tu. So the balance itakua ni kuosha mara moja kwa siku mbili, unless ulishiriki tendo la ndoa, in which case you have to rince immediately.
kwa jinsia gani labda ili iwe rahisi kunyumbulisha...
sorry....typo error!.....jamani jamani Ikunda, hv unantania au?
sorry....typo error!.....jamani jamani Ikunda, hv unantania au?
Mke mwe, ina maana wakati wa mp shurti ufanye kukomba daily? Mweh! I'm glad leo mie mzungu!
Nyamayao
Hakutanii. Ukitaka kufuata ushauri wa kutaalamu, habari ndio hiyo.
Hakuhitaji kusafishwa maana hakujachafuka na badala yake kusafisha kuna pose risk
Ukitaka ushauri wa mila na tamaduni za Bongo (kwa baadhi ya makabila), safisha maana kule kunajichafua. Na mwanamke ni usafi
Ukienda na Statistics duniani wanaosafisha ni wachache ya wasiosafisha (nchi nyingi za Magharibi, Asia ya mbali, Mashariki ya kati hawana utaratibu huo)
Sasa hapo "changanya na zako"