Usafi katika mahaba

usiombe ukakutana na kidume anavua boksa halafu inaanza kutoa harufu ya mapum** hiyo ina uwezo wa kusimama dede yenyewe na rangi yake ukipatia labda ulimnunulia wewe
Aiseee niko sensitive mnoo kwenye suala la usafi, kwahiyo ukiwa mchafu nitakuita jirani tu hauwezi vuka hiyo mipaka.
 
Hiyo hunikera sana kwa kweli.

Sasa hapo unakuta mwenzio wala haoni ubaya wowote ule.

Ndo mtu inabidi ukubali tu kuwa watu tumetofautiana.

Ukionacho kibaya wewe kwa mwenzio ni kawaida tu na kawaida kwako kwa mwengine yaweza kuwa kero.
Fanya basi mpango wa kale kadigirii kabla sijaadhirika mweeeh!!
 
Pole mkuu kwa yaliyokusibu ingawa unakwepa
 
ukienda kukata gogo tu ukiinuka unakagua kama hujavunja sinki kama vita ya mawe au kokoto
huu ndio ukweli
Hahahaaaaaa!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
usiombe ukakutana na kidume anavua boksa halafu inaanza kutoa harufu ya mapum** hiyo ina uwezo wa kusimama dede yenyewe na rangi yake ukipatia labda ulimnunulia wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Aiseeee!!
 
Aseee uciombee ukutane na mbunyee inayotoa harufu ndivyo sivyoo unawezaa ukapatwa tumbo la kuharaa jaman ile kituu ikiamuaga kunukaa banaaa chaaa afuu hataa akiondokaa ukimuona kwa mbaalii unahisi ilee harufuu
Hahahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…