USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

Mkuu Teleportation ni fiction au ni uchawi kamili. Haiwezekani mavyumavyuma ama nyama zikayeyuka halafu kubebwa na mionzi na kwenda kutokezea upande wa pili, let say kilometers kadhaa ikiwa katika umbo lake halisi na kuendelea na hamsini zake bila shida yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri watu waliokufa miaka ya 1800 wakifufuka wakakuta simu, tv, ndege nk hawatasema sisi ni wachawi, miaka 100 ijayo kuna uwezekano watu wakaongeza umri wa kuishi mpak miaka 200.miaka 5 mpaka 10 ijayo roboti wataanza kutawala na tutaishi nao tu hii tutaishuhudia, maandalizi yanafanyika.mfano cloud computing technology ni mtandao mahususi utakaowawezesha marobiti kuwasiliana bila ya sisi kujua chochote, roboti mmoja anajinifunza kitu ana upload inf na roboti mwingine anacopy na kupest ktk ubongo wake.Kitu kikubw ndugu ni kuomba uzima tuwepo walau miaka 50 tu ijayo Kutatokea big paradim shift kama ilivotokea karne ya ishirini.Wanasayansi wameweza kufanya teleportation ya vitu vidogo vidogo sana kwa hiyo sio uchawi itawazekana.
 
Wachina wamepenyeza sana USA na duniani ili kupata elimu na kurudi kuifanyia kazi wapo kila chuo na taasisi kubwa kubwa duniani.

Wanaporudi kwao wanabuni zaidi ya walichojifunza yaani maswali yanakuwa mengi kwa wataalamu wao huko China.

Sisi wataalamu wanaporudi kwetu wanaingia siasa badala ya kuendeleza taaluma na kufanya ubunifu
Angalia kina Muhongo na Dr Bilal
Leo wako wapi?

Acha tuburuzwe tu ndio tulivyoamua maisha yetu hivyo it's very sad but true

Sent from my SM using Tapatalk[/QUO
Usituletee habari ya yule mtu fisadi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom