USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

Huu ni mpambano wa teknolojia ya uchukuzi. Huku USA wakijivunia uvumbuzi/ubunifu wa bwana Elon Musk ambaye anakubalika sana kwa sasa duniani, Mtu huyu anafanya uvumbuzi mwingi wa kisayansi kama vile magari ya umeme, kusafirisha watu kwenda sayari ya mars kwa mfupi na linalo vitia zaidi ni ubunifu wake wa treni ya mwendo kasi mithili ya mwanga, hii ni Teknolojia ya Hyperloop inayo kusudia kufanya trein isafiri katika tube lenge vacuum/ombwe. Hii ni kufanya trein isafiri bila ukinzani wa hewa toka katika angahewa hii yetu(atmosphere) na itakapo kamilika itakua na mwendo kasi wa km1200 kwa saa. Hii ni sawa na kusafiri toka Kigoma mpaka Dar wa Salaam kwa saa moja.
Wakati hayo yakisherekewa na Wamarekani , hiko China Chini ya Shirika la Sayansi na Teknolojia ya usafiri wa Anga, Wamekuja na mkakati kabambe kabisa kabisa. Wachina wanabuni teknolojia ya usafiri wa haraka zaidi kwa kuchanganya teknolojia ya Trein ya umeme/sumaku na Teknolojia ya ndege na hivyo kuunda Trein inayo paa/ruka"The Flying Trein" Trein hii inatarajiwa kuwa na mwendo wa KM4000 kwa saa, Sasa kwa Trein hii ya Mchina unatoka Kigoma Mpaka Dar es Salaam kwa dakina kumi na tano tu (robo saa).Yaani ukikaa kimya chai basi Unapo maliza watu wanakua tayari wamefika Dar toka Bukoba.
Tuombe uzima ili Tuone mwisho ya yote nani ataibuka Mshindi.
Pamoja na teknolojia ya hizoTELEPORTATION ndio itafunika zote hizo ingawa sio kizazi chetu watakao ishuhudia.
 
Inapendeza sana...

Nilitaka kushauri na sisi tupeleke wasomi watakoiba huo ujuzi na kirudi nao hapa Tanzania tuunde vya kwetu...

Nimekuja kukumbuka hata wakifanya hivyo na wakarudi na huo ujuzi hawatapewa support yoyote...


Cc: mahondaw
Hata wakienda huko wakajifunza vitu vizuri, wakirudi huku wanateuliwa kuwa makatibu wakuu wa vyama vya siasa then taaluma zao na ujuzi wao wanauweka mifukoni wanaanza kula matapishi ya wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio flying train
Screenshot_2018-08-26-09-03-07.jpg
Screenshot_2018-08-26-09-02-53.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza sana...

Nilitaka kushauri na sisi tupeleke wasomi watakoiba huo ujuzi na kirudi nao hapa Tanzania tuunde vya kwetu...

Nimekuja kukumbuka hata wakifanya hivyo na wakarudi na huo ujuzi hawatapewa support yoyote...


Cc: mahondaw
The idies iliyopo ni kuipindua upinza tuko vizuri kwenye hii tecnologia huko bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi tumeanzisha teknolojia ya kufanya uchaguzi kila siku pamba jiwe akimaliza mda wake tutakua mbali sana
 
Hata sisi tumeanzisha teknolojia ya kufanya uchaguzi kila siku mpaka mda wa jiwe uishe tutakua mbali sana
 
Hata wakienda huko wakajifunza vitu vizuri, wakirudi huku wanateuliwa kuwa makatibu wakuu wa vyama vya siasa then taaluma zao na ujuzi wao wanauweka mifukoni wanaanza kula matapishi ya wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ili iwe rahisi kuwa control... sababu shabiki huona makosa mengi ya kiufundi na kuyapigia kelele kuliko mchezaji aliyepo ndani...

Cc: mahondaw
 
The idies iliyopo ni kuipindua upinza tuko vizuri kwenye hii tecnologia huko bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Wenzetu utaalam mwingine hata hawautoi madarasani au kupitia shule... wanafanya spying kwenye nchi zilizokua na technology yenye faida kwa dunia, wanapeleka watu kwa kazi maalum... wakirudi wanapewa support zote mambo mazuri yaja...


Cc: mahondaw
 
Ukiachilia mbali kauli ya juzi waliotoa tume ya sayansi na teknolojia kuhusu utafiti wa twaweza, kazi yao hasa hasa ni ipi?

Mchango wao kwa taifa ni upi?
 
Mkuu hiyo Tecno ya sumaku ni wajep wanayo bullet inaitwa Meglev 603 km/h


Halafu nasikia kwa jinsi walivyo advance inapokuwa kwenye mwendo haigusi reli, kwa maana hiyo hata uchakavu wa reli na magurudumu ni wa kiasi kidogo sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom