USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

Wachina ni matapeli tu.Hawajawahi kuwa na teknolojia yao hasa inayoeleweka.Sanasana wanategemea wageni wanaotorosha teknolojia kutoka USA na Ulaya.
Kwa taarifa yako nchi za South East Asia jamaa wanaakili sana hata USA wanawaheshimu wanajua sana kufanya innovation ya technology, we jiulize kwann kila anachofanya mmarekani, Mchina au Mjapan au Mkorea anakiiba na kukifanya vizuri zaidi. Acha kuwazarau hao watu wakati wewe nchi kwako hata kiwanda cha baiskeli huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo sio Us vs CHINA, ni Elon vs China. project ya train china ni project ya goverment ya china kiujumla na Hyperloop ni project ya kampuni binafsi kabisa US haina hata share moja
huyo elon musk sio muafrika kusini kweli!!
 
Tunaopenda kutongoza mademu njiani nzima ya safari wametuweza! Demu hata namba ya CMU hajakupa kutahamaki mshafika!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhhaaah!! Hiyo ishawahi kunitokea, demu mzuri kinoma nimepiga story njia nzima tunafurahi nikajua nishamaliza kazi,,, kuja kushtuka tupo Ubungo ndani halafu bahati mbaya zaidi stendi alikuwa anasubiriwa na father wake, aliposhuka tu akapanda x-trail... Yaani siku hiyo niliujua umuhimu wa business card!

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Daahh inakuwa kama dreamliner yetu.ukipewa chai muda mnaondoka dar hata hujamaliza chai yako unaskia mmefika kilimanjaro intl airport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na teknolojia ya hizoTELEPORTATION ndio itafunika zote hizo ingawa sio kizazi chetu watakao ishuhudia.
Mkuu Teleportation ni fiction au ni uchawi kamili. Haiwezekani mavyumavyuma ama nyama zikayeyuka halafu kubebwa na mionzi na kwenda kutokezea upande wa pili, let say kilometers kadhaa ikiwa katika umbo lake halisi na kuendelea na hamsini zake bila shida yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako nchi za South East Asia jamaa wanaakili sana hata USA wanawaheshimu wanajua sana kufanya innovation ya technology, we jiulize kwann kila anachofanya mmarekani, Mchina au Mjapan au Mkorea anakiiba na kukifanya vizuri zaidi. Acha kuwazarau hao watu wakati wewe nchi kwako hata kiwanda cha baiskeli huna
Umejaribu kuwatetea ila umerudi palepale kuwa hawana chao ila wizi wa teknolojia unawasaidia.Si kwamba wana akili sana bali ni wajanjawajanja fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewatetea mno lakini umewabainisha kuwa ni tujizi twa teknolojia.
 
Halafu nasikia kwa jinsi walivyo advance inapokuwa kwenye mwendo haigusi reli, kwa maana hiyo hata uchakavu wa reli na magurudumu ni wa kiasi kidogo sana

Ni kweli mkuu hiyo Train unaizungumzia. Inapokuwa kwenye kasi inaacha Reli kwa sentimeta 10 kama kumbu kumbu zangu zipo sawa. Inapokupita kitendo cha ku flush macho yako inakuwa tayari ishapotea machoni mwako, na kwa kiasi kikubwa Reli yake wametoboa Milima inapita kwenye Tunnels kwa muda mwingi.
 
Wachina wamepenyeza sana USA na duniani ili kupata elimu na kurudi kuifanyia kazi wapo kila chuo na taasisi kubwa kubwa duniani.

Wanaporudi kwao wanabuni zaidi ya walichojifunza yaani maswali yanakuwa mengi kwa wataalamu wao huko China.

Sisi wataalamu wanaporudi kwetu wanaingia siasa badala ya kuendeleza taaluma na kufanya ubunifu
Angalia kina Muhongo na Dr Bilal
Leo wako wapi?

Acha tuburuzwe tu ndio tulivyoamua maisha yetu hivyo it's very sad but true

Sent from my SM using Tapatalk
 
Wachina ni matapeli tu.Hawajawahi kuwa na teknolojia yao hasa inayoeleweka.Sanasana wanategemea wageni wanaotorosha teknolojia kutoka USA na Ulaya.
Wewe umetorosha nini ndugu. Unajua kuwa baada ya USA, China ndo inafuatia kwa kuwa satellite nyingi angani. Kupambana na USA lazima uwe vizuri mzee, kama kuna nchi USA wanaiogopa kwa sasa basi ni China. Huwezi kupiga hatua za kimaendeleo kama China iwapo unategemea imported technology. Niambie kile ambacho USA wanafanya halafu China hawakifanyi.
 
Bado ni yaleyale na weye umerudia.China hawana teknolojia yao kubwa waliyoibuni kwa uwezo wao kushinda USA. Ni wezi tu na weye umekiri hilo. Kwamba afanyacho USA na China anafanya?Vema.Vipi kuhusu umahiri na ubora?
 
You are less informed ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom