USA kuishambulia Iran karibuni

Iran alivyojipanga anaweza sumbua huo upande wa pili kupitia vikundi vyake anavyo support vilivyopo Yemen ndio maana Saudi Arabia huwa anamshutumu Iran meli zake zikipigwa upande wa pili na Suez Canal mafuta yanafika kupitia pipe ambalo mara kadhaa watu washalipasua.

Iran wamejipanga kwenye proxy war.
 
Hujanielewa,nimesema wewe umetuletea habari na ku-acknoledge source zako za habari.

Ila jana mpuuzi Mkuu na Kiongozi maqawama alileta taarifa hizi na kudai "eti kwa taarifa alizonazo ni kuwa...."

Hahahaha
Asante ndugu na unisamehe nilifahamu vingine.
 
Vita si lelemama haijui haijui huyu Shia wala Sunn wala haijui huyu ni Muhabiya pia vita haijui wewe unaogopa kufa au huogopi vita ni mbinu na kumuwahi adui yako kabla yeye hajakudhuru wala vita si kudungua ndege wala drones vita ni kumiliki adui na eneo lake hiyo ndiyo falsafa ya vita!!!!!
 
We mdada eti siwapendi U.S walikufanyia nini [emoji38][emoji38][emoji38]
Labda niseme sipendi utawala wa Marekani maana wamesababisha Iraq isikalike,libya isikalike. In short siwapendi wanavyosababisha vita middle east. Kwa kugombanisha majirani. Angalia Saudi Arabia hapatani na Iran.
 
Hakika na muisraeli pia,wamefanya dunia isiwe sehemu salama.Ila anguko lao ata vitabu vitakatifu vimeandika nadhani ndo umeanza
 
Labda niseme sipendi utawala wa Marekani maana wamesababisha Iraq isikalike,libya isikalike. In short siwapendi wanavyosababisha vita middle east. Kwa kugombanisha majirani. Angalia Saudi Arabia hapatani na Iran.
Kwa mbali naanza kuona kwa nini unasema hupendi Marekani na huipendi kwa sababu ya mambo inayofanya Middle -East hasa kwa ndugu zangu waarabu wakati huohuo huoni chochote kinachofanyika kwa waafrika wenzako,Kwa haraka haraka chuki zako zimegubikwa na UDINI pole sana kwa hilo!!!!
 
Mimi ni mkristo. Sina udini wala u race. To me i always see humans regardless of their religion,color of their skin,where they come from.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…