USA kuishambulia Iran karibuni

Ni wa kudunguliwa kama drone. Ila aisee watu humu wanaijua mipango ya Marekan na Iran kuliko hata wenye nchi zao hizo
Inaonekana una ushabiki fulani, mimi sina ushabiki wa side yoyote ila niko upande wa madhara yatakayo weza kuzidi tokea kwa Raia wa Iran kiuchumi au kivita (wenyewe kwa wenyewe)
 
Nawaonea huruma wanawake na watoto was Tehran na Riyadh wanaoelekea kipindi kigumu. Namuonea huruma Trumph anaeelekea katika mkwamo wa kisiasa. Hi Vita itamnufaisha mbongo tuu maana mbongo anapenda Sana movie
 
Hahahahaha mkuu ,jana kuna mpuzi mmoja anayejiita muqawama alileta uzi kama huu"eti kwa taarifa alizonazo ni kuwa.. ",tukamwambia wewe ni nani?Kakopi,kakati na kupaste halafu anajifanya mleta habari wa "insider"

Na wewe unaekekea huko huko au?

Hahahahha,kidogo naona walau ume-acknowledge source zako za habari.
 
Sijui ni Greatest gani aliyokuwa anauhuburi huyu shoga kiduku kamshinda na Iran ndo usiseme. Huyu jamaa hata kwa Husein angepigwa vibaya
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Teh teh teh eti aligairi baada ya kuambiwa watu kadhaa watakufa.Hivi nawewe kwa akili yako unashindwa kujua kwamba kaufyata?Marekani kila leo anasababisha mauaji ya raia wasio na hatia wala hajali halafu leo aje kuwajali maadui zake Waajemi?Kituko.
Trump amesitisha shambulizi baada ya kuambiwa kuwa watu 150 watakufa iran kwa shambulio hilo.
DONALD TRUMP NI ADUI MUUNGWANA.
 
Well kwa sisi tunafuwatilia siasa za duniani Iran must go. Nikitisho cha dunia sio dolla. Rafiki na Wala hawana rafiki nahili ndilo dunia imekubaliana kuliondoa hilo taifa ktk raman ikiwezekana ikiwa wananchi wake wameshindwa basi dunia lazima isimame kufuta huwo utawala. Siri nikubwa ila vita ipo na tusali vita hiyo isifanikiwe kwa Iran fanikiwa rusha japo kombora moja likafanikiwa piga Israel, Saud, marekan au taifa lolote rafiki Iran itakuwa vumbi kabisa vifo vitakuwa vyakutisha sana
 
Teh teh teh eti aligairi baada ya kuambiwa watu kadhaa watakufa.Hivi nawewe kwa akili yako unashindwa kujua kwamba kaufyata?Marekani kila leo anasababisha mauaji ya raia wasio na hatia wala hajali halafu leo aje kuwajali maadui zake Waajemi?Kituko.
 
Hahaha yaani Kuna watu eti wana kubali huo uongo wao. .wakati mpaka hii leo mamia ya watu Wana kufa kule lybia kwa sababu ya Roho mbaya ya hao hao USA and co
Teh teh teh eti aligairi baada ya kuambiwa watu kadhaa watakufa.Hivi nawewe kwa akili yako unashindwa kujua kwamba kaufyata?Marekani kila leo anasababisha mauaji ya raia wasio na hatia wala hajali halafu leo aje kuwajali maadui zake Waajemi?Kituko.
 
dogo unataka kusema habari nilio leta si kweli au nimetunga? Nilileta dalili na source mbili zinagongana.

Katika hizo habari moja inasema Trump anabarua anataka kuwafikishia Iran kwa njia ya Oman, na source ya pili ikasema hakuna ukweli wa habari hio na zote kutoka Reuters na Alwatan news paper.

Sa mimi nilisema naenda na source ya kwanza kuna mwenzako hapa akanishambulia, eti we vipi uende na habari ya kwanza na unauhakika gani kama ni ya kweli.

Mimi ni kamjibu kila mtu achague source anayo ipenda, yeye achague ya pili inayoo kataa kwamba Trump hataki mazungumzo, na mimi nichague ya kwanza anataka kuwasiliana na Iran, sa na we kama unadhani Trump hakumpigia mfalme wa Oman wayamalize na Iran, haya basi leo Press Tv na wao wanasema haya pia.

for Iran talks with no preconditions: Report
Fri Jun 21, 2019 11:07PM [Updated: Sat Jun 22, 2019 01:25AM ]
  1. Home
  2. US
  3. Foreign Policy
US President Donald Trump
US President Donald Trump has reportedly said that he would be ready to negotiate with Iran without any preconditions.
According to an excerpt from an upcoming interview with NBC aired on Friday, Trump also said that the United States has no intention of going to war with Iran.
"I'm not looking for war," Trump said on the interview that will air Sunday on "Meet the Press."
The Islamic Republic shot down an intruding American spy drone in the country’s southern coastal province of Hormozgan in the early hours of Thursday.
 
Ndugu 1/3 of daily consumption ya mafuta duniani yanapita hapo Strait of Hormuz ni kiasi kikubwa sana in million barrels na asilimia kubwa ya oil and gas reserves zilizopo duniani zipo kwenye nchi ambazo zipo ndani ya gulf region and at the end of the bottle neck kuna Iran.

Sasa US hayo mafuta watayatoa wapi kwa wingi ivyo ku-supply soko la Asia?

Na inabidi uelewe what happens mafuta yanapokosekana to get a perspective google oil crisis of 1973 ndio ujue athari zake. Baada ya hapo ndio mabeberu walipojifunza kwa kuanzisha ‘international oil agency’, sera za kuwa na 3 months reserves and supply security policies i.e kwenda kutafuta vyanzo sehemu zingine duniani nje ya Middle East.

Pamoja na kufanikiwa huko na kupunguza reliance from M.E bado gulf region remains crucial ni wao pekee wenye uwezo wa kuamua kushusha au kupandisha bei ya mafuta kutokana na uwezo wao wa output na wengi kwa sasa wanauza chini ya uwezo wa kuzalisha. Sasa unapokorofisha hilo eneo inabidi utafute watu wenye uwezo ku cover hiyo shortage na kama wana flow capacity ya kukidhi mahitaji ya dunia daily, watu wajipange na logistic zao and trust me sio shughuli ndogo.

Labda niseme tu mie naandika haya kwa sababu kwenye kazi zangu nimeandika research za oil and gas management and security aspects for almost five years na trust me nikikwambia ni complicated business hivi sasa kuna watu wanaozalisha Brent crude kama UK ambayo ni expensive wanapunguza uzalishaji M.E inapokuwa stable, refineries za kisasa zenye uwezo wa kutoa mafuta mengi zilizopo nje ya E.U zinapata mafuta kutoka M.E na kuuza E.U kwenye regulation nyingi za mazingira swala ambalo linapelekea refineries zao nyingi kufa kibiashara.

Ni hivi kuivamia Iran inataka watu wengi wajipange kweli kweli kwanza.
 
US-Iran war tension inazidi ku escalate. Natabiri hata hii threat iliyotolewa na us Embassy juzi huenda ikawa inauhusiano na hiyo conflict maana iran anafahamika kwa kusapport extremists terrorist groups.

For now, America amerudisha majeshi nyuma maana still bado anatafuta justification nzito ya kuingia vitani rasmi.

Niishie hapo maana nisije maliza uhondo wa hik muvi.
 
Hujanielewa,nimesema wewe umetuletea habari na ku-acknoledge source zako za habari.

Ila jana mpuuzi Mkuu na Kiongozi maqawama alileta taarifa hizi na kudai "eti kwa taarifa alizonazo ni kuwa...."

Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…