USA hawana Rais bali shetani!

USA hawana Rais bali shetani!

Kuna kiongozi yeyote wa nchi yako amethubutu kumkanya D Trump?
 
Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!

Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!

Binafsi naamini huyu atakuwa mtawala wa awamu moja.Hata wao wana USA wanajutia kabisa kuwa na mtawala km yule!

Na nyinyi waafrika achaneni na huyo mtu wa ajabu. Utakutana viwa na siasa uchwara kutwa kuchwa kazi kujipendekeza kulaumu Africa yetu ili tu vipate maslahi yao ya siasa!

Haya sasa jamaa kawaita ninyi choo.Rudini tena Nairobi mkaongee na vyombo vya habari mmuombe msaada!
Unawachokoza bavicha wanaompenda Trump kuliko hata Mbowe na Mr. Whitehair.
 
Ukichambua kwa weledi utagundua tu anatumia lugha isiyo na tafsida lakini anachosema ni ukweli mtupu.uache kulima kwako ukale kwa jirani.
 
Warudi Nairobi?! Hivi kumbe net za mbu, dawa za HIV, MCD na kila bakuli huwa wanaomba wakiwa Nairobi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom