MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,353
If it wasn't for the USA the UK would have been annihilated by Hitler.
King George VI alikuja Hyde Park kuomba msaada wa Marekani akiogopa kupigwa na Hitler.
Watu hata historia hawajui wanapiga kelele.
USA aliingia kwenye vita baada ya bombing ya Pearl Harbour.
Na pia its the Grand Alliance that saved London siyo USA pekee.