USA baby vs Uingereza baby!

USA baby vs Uingereza baby!

Uingereza ,,baby"
b7a54dfd15edb18346c673c5e2461289.jpg


Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!
Kumbe hater na mbwembwe zote uko ancient island?

Poleee
 
Kwa hiyo King George hakuja kuomba msaada?

Grand Alliance iliongozwa na nani?

King George and Prime Minister Neville Chamberlain failed to convince the Americans to enter into the War.
When World War 2 started in 1939 the USA had already declared its neutrality to the world.
This is a result of The Washington's Isolation Policy.

The Facts are:
-The U.S.A did not enter the war because of Britain but the Bombing of the Pearl Harbour by the Japanese Kamikaze fleet.
-The U.S.A declared war on Japan 8th December 1941 to protects her territorial integrity, sovereignty and political independence.
-And after 3 days later declared war on Germany because the Third Reich threatened to take the Blitz Krieg to the U.S.A soil after the Hawahii incident. (Roosevelt


And lastly what do you mean when you asked who led the Grand Alliance?
Specify your terms clearly.
 
Jamaa wa UK wamenoga kuliko hata wa US wanapiga porojo ila picha hamuna teh teh teh teh teh teh

US Babyyyyyy Check hapa walivyochoka alafu uwafananishe na hao juu pichani teh teh teh

_DSC0605.JPG
 
Bata is a general term,inategemea na utakavyo tafsiri kuendena na aina ya bata na eneo ambalo bata hilo linaliwa.

hata sisi wa huku mavumbini,tunapo kutana kula bata ktk pub/bar/night club zetu zenye inzi na mende,tunajihisi faraja sana pengine kuzidi nyie wa huko ughaibuni kusiko kuwa na vumbi.

Bata batani moja hiyo. Tizii baibeee.
View attachment 344321

Kadoda uko vizuri...... naona flat abs na bia zote hizo ila no kitambi. .... big up ila usilewe sifa sasa.
 
Wivu sina ila roho inauma......................😵

Hahahahahahaaa babuuuuuu

Maneno hayo nimezoea kumsikia Valentina akiyasema. ....

Kwani na wewe ni mfuasi wa castle lite? Mi nilijua
we unapiga kamschana aka Kunywa Ongeza Nyegera Yeye Anangoja Giza Iingie.

Babu mie na weye wajua ni uji na mgonjwa...... mie penda wewe mahabuba. .... Muah! !
 
Hahahahahahaaa babuuuuuu

Maneno hayo nimezoea kumsikia Valentina akiyasema. ....

Kwani na wewe ni mfuasi wa castle lite? Mi nilijua
we unapiga kamschana aka Kunywa Ongeza Nyegera Yeye Anangoja Giza Iingie.

Babu mie na weye wajua ni uji na mgonjwa...... mie penda wewe mahabuba. .... Muah! !
Angalau nimepona sasa....
 
Angalau nimepona sasa....
Babuu shaka ondoa. ... Kasie ni machachari ila kwako Big Sam Kasie ni kachumbari.... shurti niko juu ya pilau kuliwa wa kwanza.....
Rahajeeee. ...
Muah
 
Babuu shaka ondoa. ... Kasie ni machachari ila kwako Big Sam Kasie ni kachumbari.... shurti niko juu ya pilau kuliwa wa kwanza.....
Rahajeeee. ...
Muah
Mmmhhhhh... nahisi Mungu kanipendelea sana.

Will you marry me??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom