USA are not able to overcome S-300 air defense system

USA are not able to overcome S-300 air defense system

Mag3;Tatizo la hawa vijana ni moja tu they believe they know when in reality they know nothing.

haaahaaaa aiseee!!!
hivi nani kasema anajua hapa??????????
you are seriously suffering from THE ICARUS SYNDROME,.......
mtu akiwa hajui usimtukane ila mwelekeze,.....
Na usimwelekeze tu kwa maneno bali na kwa mifano,....
HUU NDIYO UUNGWANA..

FYI:you haven't got much savvy either BIG GUY,....
if you think you do then that's a folly idea...TAKE IT OUT.



 
See, unaona sasa ulivyo na uelewa finyu wa mambo.

Fox News is just as bad as MSNBC.

Tofauti ni mrengo tu. FOX ni mrengo wa kulia na MSNBC ni mrengo wa kushoto.

Level ya bias kati ya hizo network mbili inalingana.

Sasa mtu kuja hapa na kudai kwamba kwangu CNN ndo mwanzo na mwisho, ni wazi kadandia gari-moshi kwa mbele.

Licha ya hivyo, CNN ni mrengo wa kushoto lakini haiko waziwazi kama ilivyo MSNBC.

Tofauti yangu mimi na wewe ni hii: mimi nakubali waziwazi kuwa media houses ziko biased na zina push ajenda inayorandana na mrengo wake.

Wewe hutaki hata kukiri hilo. Na hapo ndo unakuwa disingenuous. Ningekuheshimu sana kama ungekiri huo ukweli.

Lakini huwezi kukiri kwa sababu hauko real.

I mean, utawezaje kusema Fox news iko biased halafu ukaacha kabisa kuitaja MSNBC?

MKuu .Nyani Ngabu. mbona mimi hilo nimekiri sana tu humu - nimesema mara nyingi kuwa uki-compare RT na News Media nyingine (za west)... angalau RT wapo fair lakini si kuwa na wao hawana Propaganda! - nimesema na kukubali mara nyingi tu humu! - sema wewe labda hujaziona posts zangu au unafanya makusudi kuto-ziquote.

Nikaenda mbali nikasema freedom of speech (kama ambayo US wana-enjoy) ni kitu kizuri - ila katika nchi nyingine inalazimika kuwe na some limitations .. ila we all wish freedom of speech kama ya US iwe duniani kote!

Mimi nimelisema hilo mara nyingi tu!

Bytheway ukiona watu humu JF wengi wakati wanataja International Media - wengi wanaitaja CNN ni kwa sababu wengi ndio wan access nayo kwa Tanzania - ni wachache ambao hata kuifahamu hiyo FOX au nyingine - so in general utasikia wana mention CNN - ni lugha ya ishara!

Mkuu Nyani Ngabu naomba urejee post yangu hapo juu ambayo nilikuwa namjibu Mkuu Mag3

Bytheway kuna Survey ilifanywa na Pew reserch Center inaongelea situation ambayo umeisema hapo juu

---------


The Fox News audience skews more ideological than that of its two main competitors.

Fully, 60% of Fox News viewers describe themselves as conservative, compared with 23% who say they are moderate and 10% who are liberal, according to a 2012 survey by the Pew Research Center.

By contrast, the ideological makeup of CNN viewers (32% conservative, 30% moderate, 30% liberal) and MSNBC viewers (32% conservative, 23% moderate, 36% liberal) is far more mixed.


​

More on Pew Research Findings / Bias:

http://www.pewresearch.org/fact-tank/2014/01/14/five-facts-about-fox-news/

http://www.quora.com/Is-it-true-that-Fox-News-has-a-conservative-bias-and-CNN-has-a-liberal-bias
 
See, unaona sasa ulivyo na uelewa finyu wa mambo.

Fox News is just as bad as MSNBC.

Tofauti ni mrengo tu. FOX ni mrengo wa kulia na MSNBC ni mrengo wa kushoto.

Level ya bias kati ya hizo network mbili inalingana.

Sasa mtu kuja hapa na kudai kwamba kwangu CNN ndo mwanzo na mwisho, ni wazi kadandia gari-moshi kwa mbele.

Licha ya hivyo, CNN ni mrengo wa kushoto lakini haiko waziwazi kama ilivyo MSNBC.

Tofauti yangu mimi na wewe ni hii: mimi nakubali waziwazi kuwa media houses ziko biased na zina push ajenda inayorandana na mrengo wake.

Wewe hutaki hata kukiri hilo. Na hapo ndo unakuwa disingenuous. Ningekuheshimu sana kama ungekiri huo ukweli.

Lakini huwezi kukiri kwa sababu hauko real.

I mean, utawezaje kusema Fox news iko biased halafu ukaacha kabisa kuitaja MSNBC?
Hata mimi ninayeipenda MSNBC najua iko biased kama ilivyo Fox News! Nyani Ngabu anavyopenda kumsikiliza Bill O'Reilly ndivyo ninavyopenda kumsikiliza Rachel Maddow! Lakini kwa Dotworld, anayeamini kila propaganda za Urusi, sisi wawili ni fans wa Wolf Blitzer wa CNN ha ha haa...!
 
Nyani Ngabu;See, unaona sasa ulivyo na uelewa finyu wa mambo.

rather than being brusque with us,...try to demonstrate an example we can emulate.
the problem is ;When we refuse to be your Intellectual Door-Mats you start branding us Cheerleaders,...
haahaaa ,wewe kila anayekupinga ni mjinga?
Nyani Ngabu you are Sick Bro,..BIG TIME

 
Exactly, ndiyo hiyo najaribu kukueleza, kuna uhuru wa kutoa mawazo na unalindwa na Katiba ya nchi. Hata Raisi wa Marekani anaweza akatukanwa kwenye News Media lakini bado maisha yakaendelea...Hivi una habari kwamba Putin anao mpango wa kuiwekea luku internet huku yeye mwenyewe akiwa mbumbumbu wa mtandao? Hebu soma hii;
Huyo ndiye Putin na hiyo ndiyo Russia!
Mkuu Mag3 ... Hoja yako haina mashiko

Rais kutumia au kutokutumia Internet siyo Issue - kwanza wewe umeshaona Official Government Order inatumwa kwa Internet?

Kabla ya Obama kuna Rais gani wa US ambae alikuwa anatumia Internet?

Huyo Bush mwenyewe siku zote alikuwa ni mwenda wa barua tu!

Bora hata huyo Putin ambae anataka ku-iwekea gavana hiyo net - kwanza unajua anataka kufanya nini?

Yeye anachotaka kufanya ni kuyalazimisha makampuni yanayotoa huduma za ki-Internet nchini kwake Russia kuwa data za wateja wao lazima zihifadhiwe ndani ya Russia!

Sasa kuna vitu vingine personal kwa raia alafu eti vihifadhiwe Marekani - what for!

Yaani mtu anaetaka wellbeing ya Raia wake wasije wakawa blackmailed wewe unamdharau?! - wewe mtu wa ajabu sana - after what yaliyoibuliwa na Edward Snowden - juu ya US ku-spy na kuhifadhi personal data za Raia wa Marekani!

Sasa unataka makampuni yote ambayo ni Multi-Nationals zichukue personal Information za watu wazihifadhi US!

Bora hata huyo anaewalinda Raia wake kuliko Rais wa Marekani ambae hata hajui hata Internet ni nini!

Hivi Internets - zipo ngapi tena?!


​
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mag3 ... Hoja yako haina mashiko
Rais kutumia au kutokutumia Internet siyo Issue - kwanza wewe umeshaona Official Government Order inatumwa kwa Internet?
Nadhani tatizo lako ni kubwa kuliko nilivyofikiri...try to read between the lines!
 
MKuu .Nyani Ngabu. mbona mimi hilo nimekiri sana tu humu - nimesema mara nyingi kuwa uki-compare RT na News Media nyingine (za west)... angalau RT wapo fair lakini si kuwa na wao hawana Propaganda! -


Hahahaaa unaona ulivyo biased? Hutaki kukiri waziwazi kuwa RT nayo ni propaganda mouthpiece. Una minimize extent yao kwa kudai kuwa eti ukilinganisha na media houses za West eti wao wapo fair.

We jamaa ni kiboko aisee. Unawaona wako fair kwa sababu uko anti-US/ West, jambo ambalo linakuondolea kabisa any scintilla of objectivity.

Unazi wako umefikia point of no return.

nimesema na kukubali mara nyingi tu humu! - sema wewe labda hujaziona posts zangu au unafanya makusudi kuto-ziquote.

Unadai umesema na kukubali. Lakini hebu ona hata unavyokubali....unaweka qualifications kibao. Huko ni kukubali kwa shingo upande na unafanya hivyo kwa sababu ushahidi juu ya hilo upo overwhelming.

Wewe kubali tu kuwa hata RT nayo inapiga sana propapaganda na kupiga propaganda si jambo baya na si dhambi.

Nikaenda mbali nikasema freedom of speech (kama ambayo US wana-enjoy) ni kitu kizuri - ila katika nchi nyingine inalazimika kuwe na some limitations ..

Hmm....really?

ila we all wish freedom of speech kama ya US iwe duniani kote!
Speak for yourself pal. Siyo watu wote wanataka na wanapenda kuwa na uhuru wa maelezo.

Mimi nimelisema hilo mara nyingi tu!

Hata kama umelisema kama unavyodai, kuweka kwako qualifications kuna neutralize kusema kwako. Unasema tu tena kwa shingo upande maana huwezi kukataa kata kata kwa sababu ushahidi utakuumbua. Hivyo unasema halafu una-qualify na ku equivocate ili baadaye ukija kubanwa useme kuwa umeshasema.

No one is falling for your trickery.

Bytheway ukiona watu humu JF wengi wakati wanataja International Media - wengi wanaitaja CNN ni kwa sababu wengi ndio wan access nayo kwa Tanzania - ni wachache ambao hata kuifahamu hiyo FOX au nyingine - so in general utasikia wana mention CNN - ni lugha ya ishara!

No wonder kuna watu wanadhani mimi ni fanboy wa CNN ilhali ukweli wa mambo ni kinyume chake kabisa. Mimi na CNN ni kama maji na mafuta. Lakini hiyo haina maana kwamba siiangalii CNN. La hasha. Naiangalia kwa kiasi chake ili walau niweze kuwa na balanced perspective. Lakini kuna mengi tu ambayo sikubaliani na CNN.

Mkuu Nyani Ngabu naomba urejee post yangu hapo juu ambayo nilikuwa namjibu Mkuu Mag3

Naam, nitafanya hivyo.

Bytheway kuna Survey ilifanywa na Pew reserch Center inaongelea situation ambayo umeisema hapo juu

Pew Research Center wanajidai kuwa wao ni nonpartisan lakini mimi siamini kuwa ni nonpartisan. Ni ngumu sana mtu kuwa nonpartisan kwenye nchi kama Marekani.

---------


The Fox News audience skews more ideological than that of its two main competitors.
Fully, 60% of Fox News viewers describe themselves as conservative, compared with 23% who say they are moderate and 10% who are liberal, according to a 2012 survey by the Pew Research Center.

By contrast, the ideological makeup of CNN viewers (32% conservative, 30% moderate, 30% liberal) and MSNBC viewers (32% conservative, 23% moderate, 36% liberal) is far more mixed.

Ningependa kuona surveys nyingine kutoka so called nonpartisan groups ili walau kuweza ku validate hizo findings za Pew kwa sababu siamini kama watazamaji wa MSNBC ni asilimia 36 tu ndo liberal. Siamini kabisa hilo.


​
 
Hata mimi ninayeipenda MSNBC najua iko biased kama ilivyo Fox News! Nyani Ngabu anavyopenda kumsikiliza Bill O'Reilly ndivyo ninavyopenda kumsikiliza Rachel Maddow! Lakini kwa Dotworld, anayeamini kila propaganda za Urusi, sisi wawili ni fans wa Wolf Blitzer wa CNN ha ha haa...!

See, I respect that a lot.

Mimi najua kabisa Fox News na commentators wake wako biased na sifichi kuwa napenda kuwasikiliza na kuwaangalia.

Hivyo, hata kama sikubaliani na wewe Mag3, lakini nakuheshimu kwa kuwa mkweli.

Na hata kama nikibishana na wewe juu ya jambo najua nakuwa nabishana na mtu ambaye ni mkweli kuhusu mrengo wake wa kisiasa.
 
Mkuu .Nyani Ngabu.. Sishangai kwa nini umecheka!


Hushangai kwa sababu tayari una preconceived notions zako dhidi yangu. Hivyo nami sikushangai wewe kutokunishangaa mimi.

... Yaani kama mtu unajisifia kabisa kuwa FOX NEWS Rules! - what can you expect kutoka kwa mtu kama huyo!

Unlike you, I have no shame in my game. Wewe uko biased lakini hutaki kukubali bias yako. Who are you trying to fool?

Yaani Fox News ndio hatari kabisa!

Yeah, ni hatari kwa liberal media ambayo ndo mainstream media karibu yote maana ina provide alternative viewpoint. Kuwa na diversity kwenye viewpoint ni jambo zuri kwa sababu si watu wote wana fikra ama itikadi zinazofanana.

...FOX NEWS - The Most Biased Name in News! - ... very right-wing -

That's just liberal boilerplate that you seem happy to regurgitate!

no wonder huwa una misimamo ya ajabu!

Misimamo gani iliyo ya ajabu?

Wanaoangali na ku-believe FOX NEWS ... wanajiona ni Wamarekani zaidi kuliko hata Wamarekani wengine!

Ah wapi.

Hiyo ni liberal narrative tu na haina ukweli wowote ule kwa sababu Marekani ni taifa lililo diverse in every sense of the word.
 
Kwanza hiyo clip hapo juu haijatoka RT!

Najua haijatoka RT lakini umeizoa huko YouTube na inavyoelekea ni comedy skit tu. Sasa mkuu unatuletea mambo ya comedy skits hapa na kutaka kutuaminisha kuwa taarifa za habari zote ziko scripted na mtu mmoja? Tafadhali bana, omba radhi kwa huo udanganyifu wako.

I mean, what's next? Utatuletea skits za Saturday Night Live na kutaka kutuaminisha kuwa hivyo mambo ndivyo yalivyo?

Pili kama umekuwa unanifuatilia vizuri tokea mwanzo mimi sijasema kuwa naamini kila kitu kinachotoka RT - ila atleast RT wapo fair!

Jaribu basi walau kuwa na haya. Hivi kweli unaweza kunambia na straight face kuwa RT, ambayo ni state funded, ni fair? Iko fair kwa mtazamo wa nani? Wa kwako na anti-US wenzako labda.

We jamaa ni kiboko aisee.

Wewe unavifagilia vyombo vya habari vya US kuwa ndio viko sawa kila wanalolisema ni sawa na uli-conclude kuwa kwenye upande wa RT ni propaganda tu ndo zimejaa kule!

Ni wapi ambapo nimevifagilia vyombo vya habari vya US kuwa viko sawa? Kwamba kila walisemalo ni sawa? Umeanza lini wewe kunisoma humu?

Sasa mimi siwezi kuisifia RT as mimi sio Mrussi,

Teh teh teh...really?

Pili ninivyokuwa naangalia RT kwanza kabisa najua kabisa kuwa ni Media ambayo inapokea fund from Russia Government - kwa hiyo niniapoangalia / fuatilia news zake tayari kichwani mwangu nakuwa na-zi scrutinize!

Kwa hiyo unadhani kuwa na sisi wengine hatufanyi hivyo? Ni wewe tu mwenye haki miliki za kuchuja habari uzipatazo kutoka RT?


Lakini cha ajabu most of the time
news zake zimekuwa fair!

Unaziona ziko fair kwa sababu subconsciously tayari uko biases. Huzisikilizi ukiwa na open mind.

Sasa fungua Western Media!! ... utashangaa sana! -
yaani wanapiga propaganda mpaka hatari!! - yaani ni demonising Putin mwanzo mwisho!
Na media za Russia zenyewe huwa zinam-praise Obama eeh? Hahahaaaa kaaazi kweli kweli.

Ndio maana hata Kissinger aliwasema watu wa media wa West kuwa kum-demonise Putin ni dalili ya kukosa policy & its counterproductive!

Hebu tupe context ya alichokisema Kissinger. Maana usije ukawa unazungumzia kijisehemu kidogo tu cha aliyoyasema halafu una twist ili ku fit kwenye narrative yako.

West wanadai kuwa eti Putin anawabana oppositions in Russia!

Kwani uongo?

- sasa kwa Mrusi ukimwambia hivyo anacheka! - kwa sababu Opposition Russia wapo ila sio Liberals kama jinsi ambavyo West Nations zingependa! maana Liberals in Russia ni Pro-West!

Kuwepo si hoja. Wanaweza wakawepo kwa jina tu lakini in practice na in reality ni sawa na hawapo vile. Tumeona vile ambavyo Pussy Riot walivyofanyiwa. Tumeona vile ambavyo wapinzania wanavyouwawa katika mazingira tatanishi. So much for the opposition being there. Being there is not enough.

Opposition wa Russia ni wa-Communists -
Russia Communist Party (na wao ndio wale wale wa enzi ya USSR) - na ndio wanashika nafasi ya Pili katika bunge la Russia (Duma) kwa kuwa na viti vingi vya ubunge! - na wenyewe wanam-criticize sana Putin wanamuita ni Legelege! - wanataka achukue msimamo mkali dhidi ya West!


Ahahahahahahaaaa we jamaa bana daaah.

Je ulikuwa unajua haya?! - sasa mfano Putin akishindwa uchaguzi posibility kubwa watakaoingia madarakani ni hawa wa-communists! - yaani wana misimamo mkali hatari!

Putin ashindwe uchaguzi? Unacheza wewe. Hahahaaaa duuuh.

katika Russia ndio walikuwa wanatawala wakati wa Yelstin na ndio walikuwa wanauza kila kitu na kuidhoofisha Russia - ndio wengi ambao ni Oligarchs - ambao wengi walikimbia Russia baada ya Putin kuchukua madaraka! - wakaifilisi nchi ya Russia!

Weka source hapa.

Wananchi wa Russia wanajua kuwa Liberals wali-destroy Russia na hawatakaa washinde Russia!! - Russia wa sasa sio Wacommunist ni capitalists!!!

Oh yeah? Weka source basi.

Yaani propaganda za West ni za kitoto kabisa - ndio maana hata hao Russia wakiiona propaganda wanaijua mapema as waliishi kwenye propaganda wakati wa USSR - so hamuwezi kuwapiga propaganda Warusi.

Ni lazima uzione hivyo kwa sababu you are already set in your ways and there is nothing that can be done to make you open your closed and made up mind.
Hawa ndio Oppositions wa Russia
​
  • Kwao viongozi wanaowaheshimu ni kina Stallin na Lennis pamoja na Ivan The Terrible!
  • Wanasema ilikuwa ni kosa kurudisha majeshi kutoka Ujerumani mpaka Russia
  • Wanasema wakichukua madaraka kwanza watawahukumu wale wate waliosababisha kuiua USSR
  • Wanadai watairudisha Russia kwenye former glory!

Yaani Russia nzima opposition parties zina mrengo sawa?


Ndo maana kuna watu unawasikia wanasema kuwa Putin ni moderate katika siasa za Russia! - imagine wakiingia Communists!

Wakiingia hao Wakomunist Russia itakuwa hell on earth. Na kunaweza kukazuka vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Be careful on what you wish for!

I don't wish for anything.

 
Dotworld, kwa mara nyingine tena nakusihi utumie tu fonts za kawaida na usitumie bullet points.

Kutokufanya hivyo kutarahisisha zaidi majadiliano hususan kwenye kukujibu hoja kwa hoja

Ona sasa hapo juu hayo madudu. Nimejaribu kurekebisha lakini wapi.

Ni ombi tu la kiungwana na si shurti.
 
sio kwamba watu wamekariri CNN tu bali CNN ndio kituo pekee cha televisheni kutoka US ambacho huwa kinashinda tuzo nyingi duniani ukilinganisha na vituo vingine huko Amerika. Kwa hiyo unazungumza na watu walio nje ya Amerika usitegemee kusikia MSNBC, FOX au ABC, ni hali ya kawaida tu.!!

Alaaa kumbe ndo maana watu wanadhani kuna watu wanaamini mazima kila kitokacho CNN wakati watu hata hiyo CNN yenyewe hawaifagilii kihivyo.

Sasa nimeelewa.
 
Nyani Ngabu ain't Fox news own by a foreigner from Australia Rupert Murdoch.?? They are bunch of hypocrites attacking immigrants when their owner & boss is one of them. Would like to see a roll call of how many Fox propaganda are immigrants legal or illegal.??

No one attacks immigrants gratuitously.

And no one is anti immigrant or anti immigration.

But, illegal immigration is illegal.

And it's illegal pretty much everywhere including Tanzania and when you get busted you get deported.

So what's your point [ if you have any]?
 
Not that much but the US media controls what they want you to hear. The American people swallow propaganda like a birth control pill.
Nobody trust MSNBC because all they talk about is gay marriage, race baiting and call anybody a racist for criticizing Obama's policy instead of talking about real issues like the bad economy for americans. In other words, they don't report actual facts only talk political correctness.
Nyani Ngabu ain't Fox news own by a foreigner from Australia Rupert Murdoch.?? They are bunch of hypocrites attacking immigrants when their owner & boss is one of them. Would like to see a roll call of how many Fox propaganda are immigrants legal or illegal.??
I prefer RT or Press tv, personally. Two of the flaws in the standard world news humanitarian model. They take a more international look at world events, so i don't feel limited by their area of focus.

Hapa hamuitaji aljazeera as if haipo ama haingurumi marekani ;

kuhusu hii TV ya Aljazeera. Imejikita sana kutangaza ishu za middle East.
Pia vile vitu ambavyo vina utamaduni wa ulaya na televisions zote zitaonyesha wao wanagusia kidogo as if hazina uzito unaostahili kwenye jamii waliopo.

Nakumbuka kuna tukio Fulani la papa kutoa hotuba, wao wakapotezea wakatupeleka middle East kutuonyesha vita na wakimbizi kule arabuni.


Vilevile; Ukitaka kusikia story za vifo, mauaji na zile horror stories, basi hii TV ndio wenyewe.
Ina inculcate negative underatandings of the world kwa kupendelea kuonyesha suffering, misery, death, killings.
Yaani haiko fan kabisa.

Ukiiangalia itakufanya upate hisia kua vita, mauaji na matatizo yako karibu na jamii yako kuliko uhalisia. Haiko amusing kabisa

Binafsi naipenda Sky News zaidi na CNN.
 
Mkuu Dotworld when you come back to this do you mind weighing on claims that, one of (unconfirmed) reasons the Russian military forced themselves in Crimea was to have a larger access to the black Sea, hence it's a better position for them against the outside world. It kind of make you think cause when you look at the map Sea of Azov is confined and for them being in Crimea they have access to a large part of black Sea and Azov Sea.
Mkuu kui Crimea ina-hold special place katika historia ya Russia pamoja na mji wake wa Sevastopol.

Ndio ni kweli kuwa kuna Base ya Navy ya Russia katika Crimea lakini ukuiangalia kwa undani ingawa ni muhimu kwa Russia lakini si kwamba Russia hawakuwa na other alternatives!

Alternative alikuwa nayo - nayo ni Mji wa bandari wa Novorossiysk.

Russia nae kabla ya kuirudisha Crimea – kumbuka kuwa ana port nyingine katika hiyo hiyo Black Sea.

Ukiangalia karibu na mji wa Sochi (palipofanyika Olympic) uliopo Russia kuna mji mwengine unaoitwa Novorossiysk.

Huu mji una bandari kubwa sana lakini sema inatumika sana kwa masuala ya kiraia.


blacksea.jpg


Kwa hiyo hata kama Serikali ya Ukraine wangeamua kusitisha mkataba (Kharkov Agreement) wa kulipia bandari ya Crimea ambapo Russia walikuwa wamepanga kwa Ukraine – bado Russsia angehamisha Navy yake kwenda kwenye mji huu wa Novorossiysk ambapo tayari palikuwa wanafanya ujenzi kwa ajili ya kuweka Meli za zaida za Navy.

Novo-2010-08-27-043.jpg


Mji wa Bandari Novorossiysk - karibu na Crimea - Russia

Kwa hiyo ingawa ilikuwa ni muhimu kwa Russia Navy lakini bado alikuwa na option nyingine available kwa Russian Navy.

Kwa hiyo ingawa walikuwa wanatengeneza sehemu ya kuhamishia Navy lakini wenyewe bado walikuwa wanapapenda bandari ya Sevastopol (Crimea) kwani ilikuwa nzuri zaidi na ingekuwa ni mbaya kwa pride yao kuipoteza crimea lakini ukiacha hilo bado haikuwa muhimu saana kwa Russia.

Novoross-title.PNG

Novorossiysk - karibu na Crimea - Russia

Kwa hiyo suala ya kuichukua Crimea kwa kweli ni la kisiasa Zaidi na wala si hard strategic move.

Kisaikologia mji wa Sevastopol na Crimea ni muhimu sana kwa Russia ambapo ni symbol of Russian glory na pride kwa kweli unaweza kusema kuwa ni ukurasa muhimu katika historia ya Russia lakini ukiacha masuala ya geopolitical bado haikuwa ni muhimu sana kiasi cha kuipotezea usingizi Russia.

Kwanza nchi ya Ukraine walikuwa wanaitumia Crimea kama sehemu ya kuwadhibiti Russia.

Unajua Russia kwao Crimea ndio kulikuwa kuna Navy Fleet kubwa kwa ajili ya ku-monitor Black Sea na pia ni link kwenda Mediterranean countries - na hii ndio ilikuwa gateway to Syria, Iran na kwingineko katika Middle East.

Sasa hapa US walikuwa wanatumia hii Crimea kama leverage as they wished Russia wanyang'anywe hii Port as means ya ku-weaken Naval power ya Russia.

Mfano Ukraine thru consultation na US walikuwa wanawazuia Russia kuongeza idadi ya Fleets ambazo zinaruhusiwa kupaki hapo Crimea, pia kuzuia kuwekeza katika infrastructure ya crimea so unakuta kila kitu kilikuwa kina-crumble in Crimea!

Pili ni kuwa Ukraine walikuwa kama Leverage kwa kuilazimisha Russia wawe wanawauzia Gas kwa bei ya chini Zaidi.

Fikiria hili mpaka mwaka 2005 Ukraine ilikuwa inauziwa gesi kwa dollar $50 kwa 1,000 cm; sasa kutokana na wao kujifanya wababe na kuwasikiliza waMarekani sasa bei yao ya gesi imepandishwa mpaka market price kama jinsi ambavyo nchi nyingine zinalipa! – sasa bei ya gesi imepanda mpaka dollar $426 per 1,000 cm mwaka 2012.

Russia walikuwa wanawachukulia Ukraine kama Brotherly Nation sasa wenyewe wanataka kujifanya waMarekani! – poa basi na wao walipe kama hao EU countries wanavyolipa!

Imagine kutoka kulipa $50 mpaka $426 – wakati hiyo $50 yenyewe ilikuwa ni mgogoro kulipa sasa hivi hii $426 inalipikaje?

Europe wameshashtukia ishu kuwa Ukraine haiwezi kunyanyuka kiuchumi bila ya msaada wa Russia na ndio maana juzi Kansela wa Ujerumani alikuwa Russia wakiwasihi waendelee kuwabeba Ukraine – lakini cha ajabu Ukraine bado kichwa ngumu!

Ukraine hawataki kuwasikiliza Europe – wenyewe wanataka kuwasikiliza Wamarekani! – Russia anawaacha tu.

Russia yeye ana-Pivot to East (Eurasia) – anafanya dili mpya na China, India na nchi nyingine za Asia! (na hii bila kusahau BRICS & Latin America countries – Makampuni ya China sasa yamepata mwanya Russia wanafanya biashara na Russia kuliko Europe kwa sababu ya sanctions!

Mpaka mgogoro uishe – European companies zitakuta kuwa most Economic opportunities in Russia tayari zitakuwa zimechukuliwa na China!

---
By the way katika Documentary ya Crimea the way back home - Russia President anaelezea kuwa kulikuwa tayari kuna base ya NATO ndani ya Crimea ambayo ilikuwa imewekwa katika Mji wa Fedorosa!

So NATO walikuwa tayari wameshakaa mkao wa kula! - no wonder wanalia lia sana sasa!

Yaani port na mji ajenge Mrusi mwaka 1700 wakati wa Crimean Khannate! tena kwa damu ya kupigana na Ottoman Empire, baadae tena Turkey, France & England! ... alafu eti US aje tu aichukue kirahisi kwa sababu tu unaicontrol serikali fulani! - hiyo hata kwa US wasingekubali!


---
cc:

.Bukyanagandi.Elungata mng'ato Extraterrestrial Gagnija JustDoItNow Bongolander TanzaniaLaw 2013 sodoliki mnyikungu MALCOM LUMUMBA Maziku Masunga Jr. Consigliere Chasha Poultry Farm Red Giant Kimweri Aleyn kui Ngongo mnyikungu GAUTAMA PTER Mag3 RealMan FaizaFoxy SirChief Maswala 1954 PHILE1879 kui 2013 The mountain lion Phillemon Mikael Mr ceragem Ndahani Kimweri Red Giant yonga Bill Cosby Aleyn Bulldog MBULAMATALI Chasha Poultry Farm Ngaramtoni Pianist gwijimimi Dragoon kadoda11 idawa TUJITEGEMEE . lee van cliff .1954 .Tyta .Mr ceragem .
.
 
"Imekuwa more professional and active"

In what sense mkuu, when you compare with KGB?!, cause KGB has been the walking dead for a while now, hata akina sisi tuliokuja isikia baadae it was still popular and still is, comparing to FSB. The likes of now popular Intelligence Agencies ni cha mtoto kwa then KGB!

deadly efficient hasa kipindi cha Yuri Andropov;.....
Katika mashirika ya kijasusi ambayo yameshawahi kuacha historia duniani ni K.G.B and ABWEHR ya Ujerumani.
ABWEHR ilikuwa ni hatari mno kwasababu ndiyo lilisaidia hadi kufanikisha The Communist Revolution,...
Pia ni shirika lenye rekodi kubwa ya kufanya Sabotage kubwa within American Soil,...
Lilianzisha method ya phone tapping,.......
Liliweza kuifanya Ujerumani iwe tishio kwenye vita ya Kwanza ya dunia,.....
Lilimsaidia Hitler kupata madaraka na kuanzisha vita vya pili vya dunia,.....
ndiyo shirika ambalo lilikuwa na maabara kubwa iliyosheheni wanasayansi wenye akili duniani,....
Vita ya pili ya Dunia ilivyoisha wengi walichukuliwa na Soviet Union hivyo kupeleka teknolojia ya NAZI urusi,....
Shirika la K.G.B lilijifunza vitu vingi kutoka kwa hawa mabwana,.....
C.I.A inaanzishwa ilijifunza kutoka kwa Mwingereza ila mchango mkubwa ulitoka kwa the Former ABWEHR and S.S of the Third Reich.....
Simply ABWEHR was the best ever was.......

.....interesting!, good to know, thanks mkuu!
 
Mkuu kui Crimea ina-hold special place katika historia ya Russia pamoja na mji wake wa Sevastopol.

Ndio ni kweli kuwa kuna Base ya Navy ya Russia katika Crimea lakini ukuiangalia kwa undani ingawa ni muhimu kwa Russia lakini si kwamba Russia hawakuwa na other alternatives!

Alternative alikuwa nayo - nayo ni Mji wa bandari wa
Novorossiysk.
Russia nae kabla ya kuirudisha Crimea – kumbuka kuwa ana port nyingine katika hiyo hiyo Black Sea.

Ukiangalia karibu na mji wa Sochi (palipofanyika Olympic) uliopo Russia kuna mji mwengine unaoitwa Novorossiysk.
Huu mji una bandari kubwa sana lakini sema inatumika sana kwa masuala ya kiraia.

blacksea.jpg


Kwa hiyo hata kama Serikali ya Ukraine wangeamua kusitisha mkataba (Kharkov Agreement) wa kulipia bandari ya Crimea ambapo Russia walikuwa wamepanga kwa Ukraine – bado Russsia angehamisha Navy yake kwenda kwenye mji huu wa Novorossiysk ambapo tayari palikuwa wanafanya ujenzi kwa ajili ya kuweka Meli za zaida za Navy.

Novo-2010-08-27-043.jpg


Mji wa Bandari Novorossiysk - karibu na Crimea - Russia

Yaani port na mji ajenge Mrusi mwaka 1700 wakati wa Crimean Khannate! tena kwa damu ya kupigana na Ottoman Empire, baadae tena Turkey, France & England! ... alafu eti US aje tu aichukue kirahisi kwa sababu tu unaicontrol serikali fulani! - hiyo hata kwa US wasingekubali!.

.....darasa zuri!, so basically for them to take (back) control of Crimea is like repairing geographical and historical mistakes!
 
Back
Top Bottom