US yatishia kuziadhibu Urusi na Ujerumani kama wasipoacha mradi wao wa Bomba la Gesi.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,207
2,000
Ubabe ubabe sasa hivi...

-Washington imetishia kuwa wababe hao wasipoacha mradi huo wa kujenga bomba la gesi kutoka urusi kwenda ujerumani itawaadhibu wahusika wote kwa vikwazo.
-Pamoja na sababu nyingine Washington wanahofu urusi wanaweza kuweka vifaa vya kiintellijensia katika bahari ya baltic ambapo bomba hilo linapaswa kupita.

-Mradi huo unaitwa Nord Stream 2. Na baadhi ya sababu ni kuwa US inataka Ulaya inunue gesi yake ambayo ni ghali kuliko ile ya Urusi ambayo ni bei ya chini. Mkwara kama huo China pia ilipigwa kwa kuambiwa wanapaswa kununua Gesi (LNG) ya Marekani ili wasiongezewe zaidi Ushuru kwa Bidhaa zake zinazoingia US.

Source:
US threatens to punish Russia & Germany if they continue playing with gas
US friendly suggestion to China: Buy more American gas if you don't want more tariffs

My Take: Nadhani bado muda mfupi US awe official King of the World.
 

hydroxo

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
1,679
2,000
Ni wapi utaenda au nini utafanya au ni huduma ipi utahitaji ambayo haina mkono wa US? Taja hata moja! Hata hicho kitabu cha dini yako hakikwepi mkono wa US kwa taarifa yako.
Kama kawaida yako myahudi mweusi kutoka pongwe kioke.

Ufikiri wako unaanzia na Israel unaishia na USA.

Na katikati ya hayo mawili kuna chuki za kidini.

Kuchukia uislamu na waislamu kwa ujumla


Aibu kuwa na akili kama zako.
 

The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,576
2,000
Kama kawaida yako myahudi mweusi kutoka pongwe kioke.

Ufikiri wako unaanzia na Israel unaishia na USA.

Na katikati ya hayo mawili kuna chuki za kidini.

Kuchukia uislamu na waislamu kwa ujumla


Aibu kuwa na akili kama zako.
Mkuu mpuuze huyo taahira,jf yote imeshamjua kua uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana,sijui kama hata alimaliza japo darasa la 6?
 

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,207
2,000
Ni wapi utaenda au nini utafanya au ni huduma ipi utahitaji ambayo haina mkono wa US? Taja hata moja! Hata hicho kitabu cha dini yako hakikwepi mkono wa US kwa taarifa yako.
hakikwepi vipi mkuu.
kitabu changu Kinanieleza wazi kabla Mungu hajachukua hatua za kuadhibu lazima atoe maonyo.
Maonyo ya dunia tunayopitia yaliandikwa kitambo Daniel na Ufunuo.
hivyo huyu mdau na mwisho wake, na anakokwenda sio suprise kwa watu wa Kitabu mkuu.
 

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
6,017
2,000
Ni wapi utaenda au nini utafanya au ni huduma ipi utahitaji ambayo haina mkono wa US? Taja hata moja! Hata hicho kitabu cha dini yako hakikwepi mkono wa US kwa taarifa yako.
Sasa ivi Dubai na Saudi Arabia wanauza nguruwe kama kawaida.
Trumpet kaishika dunia sehemu za siri na hatuna jinsi. Juzi alizichimba nchi za Africa kuhusu mitumba zimefyata
 

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
29,585
2,000
Nataka nione mwisho wake, USA kaweza kuwapiga warusi sactions za nguvu, sasa hivi Russians can't use European banks for transaction na biashara nyingi na Europe zimeyumba, nione kama the most powerful nation in Europe nayo itafyata mkia?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom