mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,701
Ubabe ubabe sasa hivi...
-Washington imetishia kuwa wababe hao wasipoacha mradi huo wa kujenga bomba la gesi kutoka urusi kwenda ujerumani itawaadhibu wahusika wote kwa vikwazo.
-Pamoja na sababu nyingine Washington wanahofu urusi wanaweza kuweka vifaa vya kiintellijensia katika bahari ya baltic ambapo bomba hilo linapaswa kupita.
-Mradi huo unaitwa Nord Stream 2. Na baadhi ya sababu ni kuwa US inataka Ulaya inunue gesi yake ambayo ni ghali kuliko ile ya Urusi ambayo ni bei ya chini. Mkwara kama huo China pia ilipigwa kwa kuambiwa wanapaswa kununua Gesi (LNG) ya Marekani ili wasiongezewe zaidi Ushuru kwa Bidhaa zake zinazoingia US.
Source:
US threatens to punish Russia & Germany if they continue playing with gas
US friendly suggestion to China: Buy more American gas if you don't want more tariffs
My Take: Nadhani bado muda mfupi US awe official King of the World.