US yatishia kuziadhibu Urusi na Ujerumani kama wasipoacha mradi wao wa Bomba la Gesi.


Kama kawaida yako myahudi mweusi kutoka pongwe kioke.

Ufikiri wako unaanzia na Israel unaishia na USA.

Na katikati ya hayo mawili kuna chuki za kidini.

Kuchukia uislamu na waislamu kwa ujumla


Aibu kuwa na akili kama zako.

Niwekee ayat moja Toka Injili inayo Agiza mgala amchukie muislamu waislamu ndio walio agizwa na Allah kuwachukia wagala na wayahudi
Koran-Not-Friends-5-51.jpg
sawa?
 
Nataka nione mwisho wake, USA kaweza kuwapiga warusi sactions za nguvu, sasa hivi Russians can't use European banks for transaction na biashara nyingi na Europe zimeyumba, nione kama the most powerful nation in Europe nayo itafyata mkia?


Us amekalia kuti kavu kwa sasa na muda ndio utakaonena na muda ndio rafiki wa kweli.
 
Russia wanatumia Gas kma sphere of influence kwa Ulaya that y anakuwa anajitutumua kuiekea misuli USA
 
Nataka nione mwisho wake, USA kaweza kuwapiga warusi sactions za nguvu, sasa hivi Russians can't use European banks for transaction na biashara nyingi na Europe zimeyumba, nione kama the most powerful nation in Europe nayo itafyata mkia?
Yes ukiangalia hapa utajua kwanini ulaya wataufyata

Unajua mpaka sasa uingereza kashajitoa katika shughuli zote za ulaya,

Hivi wanaompa kiburi Marekani ni uingereza, Japan, south Korea, Australia na canada,

Pitia hapa
Kwanini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo nchi yeyote ulimwenguni, lakini yeye kuwekewa vikwazo inakuwa ngumu?
 
Ubabe ubabe sasa hivi...

-Washington imetishia kuwa wababe hao wasipoacha mradi huo wa kujenga bomba la gesi kutoka urusi kwenda ujerumani itawaadhibu wahusika wote kwa vikwazo.
-Pamoja na sababu nyingine Washington wanahofu urusi wanaweza kuweka vifaa vya kiintellijensia katika bahari ya baltic ambapo bomba hilo linapaswa kupita.

-Mradi huo unaitwa Nord Stream 2. Na baadhi ya sababu ni kuwa US inataka Ulaya inunue gesi yake ambayo ni ghali kuliko ile ya Urusi ambayo ni bei ya chini. Mkwara kama huo China pia ilipigwa kwa kuambiwa wanapaswa kununua Gesi (LNG) ya Marekani ili wasiongezewe zaidi Ushuru kwa Bidhaa zake zinazoingia US.

Source:
US threatens to punish Russia & Germany if they continue playing with gas
US friendly suggestion to China: Buy more American gas if you don't want more tariffs

My Take: Nadhani bado muda mfupi US awe official King of the World.
Bado muda mfupi au ndioa ataporomoka.Hapa ni kuazaliwa mataifa yenye nguvu yeye aporomoke
 
Asubuhi Leo Kuna taarifa nimeona EU wamekubali kununua gesi zaidi toka US ili waondolewe ule ushuru wa kwenye Aluminum. EU agrees to buy more US gas if Trump scraps tariffs – report
Exactly, total lamerz. They agree to buy more US gas at non competitive rates and then in a year's time US will reneg and reimpose the SAME tariffs again and demand more concessions from weak EU vassal states. That's the way blackmail works: once you buckle and pay up, you never stop being blackmailed.

Cc Copenhagen DN
 
wee unachekesha nini haswa mahaba?


Uzuri wa haya mambo yanakwenda kwa historia. Ili uvielewe zaidi inabidi uwe na nyongeza ya vitu viwili, uwe mfuatiliaji wa haya mambo na uwe na ufahamu wenye afya njema. Wala hutohitaji mambo meeengi kujua US anaelekea wapi kwa sasa.

Mmoja anaweza akawa mfuatiliaji mzuri sana, ila akakosa ufahamu wenye afya njema. Ndivyo dunia ilivyo.
 
Uzuri wa haya mambo yanakwenda kwa historia. Ili uvielewe zaidi inabidi uwe na nyongeza ya vitu viwili, uwe mfuatiliaji wa haya mambo na uwe na ufahamu wenye afya njema. Wala hutohitaji mambo meeengi kujua US anaelekea wapi kwa sasa.

Mmoja anaweza akawa mfuatiliaji mzuri sana, ila akakosa ufahamu wenye afya njema. Ndivyo dunia ilivyo.
Tutasubiri sanaaa
 
USA ana allies wenye nguvu UK, Australia, Canada, France, Japan, Israel, S. Korea na hata Germany. Lakini pia Russia yupo close na China.

Kuna kitu kinaendelea, EU countries zimechoka kwa sanctions alizopewa mrusi kwa sababu biashara kati yao imeyumba na ukiangalia some European countries depend on Russia for various reasons. Nchi kama Latvia, Estonia ambazo hata lugha yao ya pili ni kirusi, they are all feeling the pinch.
 
Back
Top Bottom