US yatishia kuziadhibu Urusi na Ujerumani kama wasipoacha mradi wao wa Bomba la Gesi.

Unaleta habari za mwaka gani mkuu? Nord stream imetake off kuanzia mwaka 2011 ujerumani anakula gas kutoka gazprom ya urusi wewe ndio unakuja na hii fake news ya mwaka 2000? Kama ulikuwa hujui huo mradi was nord stream ulishakamilika na kuanza kutumika siku nyingi sana.umechelelewa
 
Sasa ivi Dubai na Saudi Arabia wanauza nguruwe kama kawaida.
Trumpet kaishika dunia sehemu za siri na hatuna jinsi. Juzi alizichimba nchi za Africa kuhusu mitumba zimefyata
Nasubiria Sikh asogeze merikebu zaka pale Moscow hapa ntakubali hats kuolewa na mmarekani
 
Mjeruman na mrusi sio mataifa ya kupigwa mkwara subiri uone pia unapotaja watu intelligent duniani Putin & Merkel huwezi waacha.
 
Back
Top Bottom