Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,884
- 18,824
Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa.
US wanadai meli hiyo inahusika na kubeba mafuta yaliyowekewa vikwazo, japo inadaiwa kuwa wakati wa kukamatwa kwake haikuwa na mafuta. Russia atakubali bila kulipa kisasi?
US wanadai meli hiyo inahusika na kubeba mafuta yaliyowekewa vikwazo, japo inadaiwa kuwa wakati wa kukamatwa kwake haikuwa na mafuta. Russia atakubali bila kulipa kisasi?