US threatens UNESCO over Palestine

Poor Palestinians.....kila wanachojaribu kufanya Israel inakuwa imesha-move ahead of them.......
 
Israel to speed up settler homes after Unesco vote

The announcement comes a day after the Palestinians won full membership of the UN cultural organisation, Unesco.
Palestinian Authoirty President Mahmoud Abbas says the move will speed up the destruction of the peace process.
The BBC's Kevin Connolly in Jerusalem says the announcement will be seen as a punishment for the Palestinians and a warning to countries that backed their Unesco bid that Israel will react strongly if a similar application for Palestinian membership of the UN itself should prove successful.
Peace talks between the Palestinians and Israel broke down more than a year ago. The Palestinians are demanding an end to settlement building.
Almost 500,000 Jews live in settlements on occupied territory. The settlements are illegal under international law,

Haya wafanyayo US na Israel ni blackmail terrorism.
Lakini kila mpenda amani duniani anapata picha halisi ya nini kinaendelea.

Kuna hiyo ya buluu. Kuna siku itafika Israel na US wataishiwa na visingizio na itawapasa kuukabili ukweli.
 
Poor Palestinians.....kila wanachojaribu kufanya Israel inakuwa imesha-move ahead of them.......

I do not think so hii ni dalili ya kushindwa waisraeli. Kwanza makubaliano ya mgawanyo wa Israel na Palestina utakaotumika ni ule wa mwaka 1967. Waisrael wanachokitaka kukifanya kudai watu wanaishi hapo ili iwe a human rights saga. Hata hivyo watafail when it comes to international court of human rights kwasababu they were not supposed to be there in the first place. Na sheria ni kwamba colonialism ilishaishaga since after the second world war. Wabakiwa na option moja tu kufanya kila hila wakishirikiana na Marekani kuzuia Palestina wasiwe reinstated as a full member of UN. Wametumia kila hoja sasa hivi wamebakiwa na ubabe kwa kutumia mgongo wa marekani ila dunia ishamchoka marekani na unafiki wake ndio maana anaishia kutumia hoja za kibabe za kuzuia pesa ili afanikiwe anachokitaka.
 
kwani jeshi limeenda wapi?????????
 
Halafu wewe ndio mbunge unayetumia kodi zetu no wonder huwezi kugombea unasubiri wa kupewa. What makes you think palestina ni uzao wa magaidi? Unaweza kutupatia statistics zinazoweza kujistify your accusation kama sio udini tu unakusumbueni. Kwa taarifa yako US, na Israel wanatapata sasa hawana njia ya kuwazuia Palestina isiwe full member wa UN. Wanaishia kutumia karata yao ya mwisho nayo ni michango. Jumatatu tumeona wanawatisha Bosnia Hezgovina wasiwapigie kura wapalestina ili application yao ya full membership isipiti UN security council.

Ingelikuwa wapalestina na waarabu wanayafanya haya kwa waisraeli ungelisema maneno yako haya?
ukitaka madaraka unaweza pewa ongea vizuri kuna kazi utafanyishwa
 
kwani jeshi limeenda wapi?????????

Katika ulimwengu wa Diplomasia kama huufahamu uuache kabisa Jeshi wakitumia ndio Marekani atakuwa amejiharibia na anaweza kusababisha interest zake Middle East, Hong Kong, Brazil, Alaska na kwengineko anaziweka katika hati hati. Unajua Martyna marekani na israel mwanzoni walifanikiwa kupata yale mapenzi ya dunia kutokana na experience waliyoipata vita kuu ya pili ya dunia. Ijapokuwa suala hilo lina mkanganyiko watu wengi ulimwenguni wanaamini kuwa Waisrael waliteswa na kunyanyaswa na wajerumani.

Hata hivyo hadi leo Israel tangu ilipohamia pale chini ya usaidizi wa Marekani kwenye ile vita ya siku 6 arabuni wamekuwa makatili kuliko hao wajerumani. Tumeshuhudia watoto wadogo wasio na hatia wa kipalestina wakiuwawa, wamama wakibakwa, wapalestina wakivunjiwa mali zao all in the name of israel security. Argument kubwa ya Wamarekani na Israel ikahamia kutoka sympathy na kuwa fight for democracy with Israel kuwa the most democratic nation. Hata hivyo recent arab spring imeleta maswali mengi kuhusu ubabe wa israel dhidi ya wapalestina. Moja wapo ni kama wamarekani wanataka demokrasia duniani basi kwanini hawaruhusu Palestina wajitawale wenyewe?

Influence ya Marekani kimataifa imeporomoka sana zaidi kutokana na vita vyake viwili vya Iraq and Afghanistan. Pia Marekani inaanza kuwa maskini ikielemewa na mzigo wa madeni? Nchi kama China, Brazil zimeanza kuchukua hatua ya kukaimu nafasi ya marekani katika ulimwengu wa kidiplomasia. Vile vile umaskini unaoinyemelea nchi za Ulaya umepoteza ule ukaribu na ushawishi wa marekani kwa nchi hizo.

Hivyo Marekani na Israel wamebakia wenyewe katika suala hili. Wakitumia Jeshi ndio watajiharibia zaidi kwa nchi za kiarabu zinazowasaidia fedha na kuwakopesha. Watajiharibia China ambaye hadi kesho yuko tayari kuvamia Taiwan (na kitendo cha kutumia jeshi ndio kitampa tiketi nzuri ya kuwavamia). Watajiharibia Brazil ambao wana ugomvi wa kibiashara na marekani na ni moja ya nchi Marekani wanaitegemea kufufua uchumi wa Marekani unaoporomoka.

Utaona waliowekwa katika kona hapa sio wapalestina bali waisraeli na wamarekani!!!! Israel hana rafiki pale middleeast (kwani rafiki yake pekee alikuwa uturuki ambaye alikasirishwa na kitendo cha israel kuvamia boti ya waturuki mwaka jana). Amebakia isolated. Marekani naye ndio huyo ameelemewa na matatizo kibao ya kiuchumi, kidiplomasia, kisiasa.
 
ukitaka madaraka unaweza pewa ongea vizuri kuna kazi utafanyishwa

Madaraka ya kupewa siyataki Mheshimiwa. Mie ninataka kufanya kazi kwa nguvu zangu mwenyewe. Fanya ukagombee na sio kusubiri vya kupewa ndio maana mnabakia kulipa fadhila. Viti maalum is a burden to our bankrupt government. Nashukuru kwa offer mie wacha nifanye kazi kwa nguvu zangu mwenyewe.
 
Halafu wewe ndio mbunge unayetumia kodi zetu no wonder huwezi kugombea unasubiri wa kupewa.
This was not necessary at all. Ungem PM tu, hapa busara haijatumika!

What makes you think palestina ni uzao wa magaidi? Unaweza kutupatia statistics zinazoweza kujistify your accusation
Just ignore it, it is emotional false accusation. Thre is no such a thing as uzao wa magaidi.

kama sio udini tu unakusumbueni.
Interesting, una maana dini gani imeandika hilo. Unaonekana kuwa on the same boat!

Kwa taarifa yako US, na Israel wanatapata sasa hawana njia ya kuwazuia Palestina isiwe full member wa UN. Wanaishia kutumia karata yao ya mwisho nayo ni michango.
US have Veto, so think about that!

Jumatatu tumeona wanawatisha Bosnia Hezgovina wasiwapigie kura wapalestina ili application yao ya full membership isipiti UN security council.
No Comment maana sikuiona hiyo. Let me check it!

Ingelikuwa wapalestina na waarabu wanayafanya haya kwa waisraeli ungelisema maneno yako haya?
Tatizo ni kuwa Uongozi wa wapalestina hawataki amani na Israel ndio maana kile kipengele cha kuifuta Israel hakijaondolewa ktk charter yao. Ungekuwa unahukumu kwa haki, Israel imefanya mengi kujaribu kuweka amani na wapalestina lakini wao hutumia kama ladder ya kutimiza kipengele tajwa hapo juu. so sometimes usiwalaumu kwa security measures wanazochukua. it is self defence!
 
This was not necessary at all. Ungem PM tu, hapa busara haijatumika!

Just ignore it, it is emotional false accusation. Thre is no such a thing as uzao wa magaidi.

Interesting, una maana dini gani imeandika hilo. Unaonekana kuwa on the same boat!

US have Veto, so think about that!

No Comment maana sikuiona hiyo. Let me check it!

Tatizo ni kuwa Uongozi wa wapalestina hawataki amani na Israel ndio maana kile kipengele cha kuifuta Israel hakijaondolewa ktk charter yao. Ungekuwa unahukumu kwa haki, Israel imefanya mengi kujaribu kuweka amani na wapalestina lakini wao hutumia kama ladder ya kutimiza kipengele tajwa hapo juu. so sometimes usiwalaumu kwa security measures wanazochukua. it is self defence!

Ipo haja ya kutoa shule kuhusu mgogoro wa Palestina na Israel maana inaelekea watu wanaongea vitu ambovyo vipo vichwani mwao badala ya the real issue!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom