US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

Bucha ilikuwa bucha kweli
kweli siyo Ukraine tu hata NATO militants walikuwepo ndio maana Biden ilimuuma kweli alivyokuwa poland
Ongeza kikombe cha kahawa ulete na kashata za kushushia
 
Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
 
Unaripoti kutokea wap
.....uko zako mbagara unawaza uhalo
 
Russia huyu huyu anaehangaika na Ukraine miezi sasa
Ukraine mnaidharau sana nchi inayotengeneza engine za rocket inayounda vifaru na yenye vinu vya nuclear vya kutosha nchi iliyokuwa na ndege kubwa zaidi duniani na ilikuwa ina wanajeshi walioandaliwa na NATO for almost 8 years.
Hivi unajua kuwa Russia alifanikiwa tu Crimea, Donbas na Luhansk ilikuwa imekaliwa ipasavyo na Ukraine.
Au yawezekana uwezo wa kijeshi wa Urusi ulikuwa Overatted sana.
Mwisho operation haiwezi kuwa ya siku tatu labda extraction . Na huwezi ingia nchi ya watu eti ndani ya siku tatu wamejisalimisha nchi yenye military strength ranked 20 on Earth na ukubwa wa more than 1000km wide from East to west.
Kama ndio mbinu ya kujifariji sawa lakini ukweli hii operation ikiisha zitaanza hujuma na ugaidi wa hatari then another 10 years.
 
Siku aki aproove unageuka kuwa ntoto ya mwewe na SII ya kuku Tena 🏃
 
Ila alikubali kufanya kosa la kutoa anti aircraft na anti tanks missiles? Anti ships je? Zote hizo alikubali kufanya hilo kosa? By the way hii ni Vita, kwenye vita kuomba msaada au kusaidiwa silaha ni kawaida kabisa.
Ukraine ingepata hizi silaha za masafa marefu toka awali ingepunguza kasi ya wavamizi huko mashariki.

Sema mabeberu wanafanya upembuzi mwingi mno mpaka waje wakupe silaha nzito.
 
Nakuhakikishia kuwa bwana ako US akithubutu kutoa long range missile kwa UKRAINE pamoja na kwamba hakuna hata moja itatua salama kwenye ardhi ya Urusi kitakachotokea huko US ni mimba kila kona bila kujali una jinsia gani
 
Absolutely true
Bado sana. Mwisho wa hii vita mrusi atajitwalia Donbas region, Ukraine atabakia upande wa West. Wananchi wasiokuwa na hatia wa Ukraine watarudi kwenye magofu wataanza kulishwa kama kuku wa broiler na wazungu na kudhalilishwa kwenye media.

Tamaa ya US ilikuwa Urusi ishindwe kabisa, na Ukraine warejeshe eneo la Crimea ili US aweke kambi zake pale. US failed in its mission kitu kitakachomkosesha Urais Biden na wademocrat wenzake. Ukraine atajikuta anajitibu majeraha ya kugeuzwa kifusi baada ya kudanganywa na CIA kuwa ni mmarekani atakayekuwa anapigana. Urusi naye atakuwa kapoteza kwa kubakia na vikwazo, pamoja na kupoteza wanajeshi na vifaa vitani.
 
Hawa Magaidi wa Marekani badala ya kutafuta namna ya kumaliza vitu wao wanatengeneza mazingira ya kupenyeza silaha zao angamizi kwenye mataifa ya watu.

Shame on them
 
Wewe hebu nenda katumie hiyo internent ya Russia kama ipo,yani unazomoka hapa 24/7 kwa msaada wa Internent ya US halafu waleta madharau.Hiyo GPS ya Russia ndiyo imekufanya u login in hapa JF?
sio hoja simcard ikitoka najiunga nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…