Hakuna unachoongea yaani ni bangi tupu..!!Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
Hata chanjo walizotumia walipozaliwa ni msaada wa MarekaniYani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.
Mkuu ukiitaja Marekani unazungumzia zaidi ya nchi 30 duniani tena mataifa yenye nguvu zaidi duniani, hili liweke katika akili yako labda umepepesaKumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
Bucha ilikuwa bucha kwelihata cnn wanajua kuwa urusi ilijiondoa kiev na kusema ukweli pale bucha wanajeshi wa ukraine walichinjwa wengi aisee
Nikuulize wewe hapo unaeshinda JF 24/7,unatumia ngano kucomment?Ngano na internet nini muhimu?
Supapawa kajiandaa kwa vita ya muda mrefu kumbe,sasa yale masaa 72 ya operation yalikuwa ya nini?Hata iende mpaka 2030 RUSSIA alijiandaa kabla yao
Nandio maana hata vikwazo walivyosema mwezu vitamsambaratisha RUSSIA vimekua tooth less
RUSSIA taifa TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ana Internent yake inajitegemea mbona kapigwa pin vyombo vyake vya habari na hakuna kitu kafanya? Hebu jisomee hapa chini [emoji116]Maskini usichokijua nikwamba RUSSIA anainternet yake inayojitegemea
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes mimi ni Pro West kwani hili nalo ni siri? Au umeanza leo kunijua msimamo wangu[emoji846]Unawasema pro-Russia lakini na wewe maandishi yako yanaonesha ni pro-west/Amerika ingawa wote tupo Mtoni kwa Azizi Ali na wote tunajifurahisha; ajabu sana
Fact ni kuwa Russia walikimbia Kyiv,hizo nyingine ni blah blahhata cnn wanajua kuwa urusi ilijiondoa kiev na kusema ukweli pale bucha wanajeshi wa ukraine walichinjwa wengi aisee
We are tired with Russian federation let this happen.Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine
1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...
2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?
3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?
Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....
Link[emoji116][emoji116]
View attachment 2241675
Kua na internet yakuzuii kutotumia net ya wengineKama ana Internent yake inajitegemea mbona kapigwa pin vyombo vyake vya habari na hakuna kitu kafanya? Hebu jisomee hapa chini [emoji116]
"Russia even has its own suite of Microsoft-style office software, but experts said the efforts have fallen far short of Putin's goals. A Russian official said last week the country had no plans to disconnect from the internet.15 Mar 2022"
Bado hujachoka MKUU utachoka sana tu endelea[emoji23][emoji3][emoji16]We are tired with Russian federation let this happen.
Safi kabisa hii[emoji4][emoji4][emoji4]The Polish army has begun deploying its troops along the Ukrainian border to occupy western Ukraine. Belarus's president has said that if #Poland launches a military operation in #Ukraine, #Belarus will launch an offensive in the western part of the country.
#UkraineRussiaWar https://t.co/rVNl4tjzsnView attachment 2242330
[emoji23][emoji23][emoji23] dah, huwa unaamua kujilipua mzima mzimaWest silaha nzuri hawana huo ndo ukweli angalieni tu kwa talban
Mkuu,Lolote linawezekana.Vita ni VitaPropaganda! Marekani hawezi kufanya hilo kosa hata kidogo kwani linaweza kuhatarisha kambi zake nyingi za kijeshi zilizosambaa duniani
Wewe hebu nenda katumie hiyo internent ya Russia kama ipo,yani unazomoka hapa 24/7 kwa msaada wa Internent ya US halafu waleta madharau.Hiyo GPS ya Russia ndiyo imekufanya u login in hapa JF?Haya ndo yale mahaba tunayozungumzia kila wakati. US ana nini ambacho Russia hana au unafikiri Russia hawezi anzisha internet yake. Wamemfungia GPS ila anatamba hewani kama kawaida na GPS yake
Kahawa chungu sana hii,hebu tengeneza walau Cappuccino [emoji3]USA arushe hata kikombora kimoja kivunje ukuta tu wa Russia then kitakachofuata atasimulia. Mrusi sio kinyonge namna hio. Kipigo atakula cha kwenda kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Russia sio kwamba hawezi kuwafumua Washington DC ila hataki lawama za kuja kuonekana ndio alianzisha vita kwahio alipe madeni.