US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

Ngano na internet nini muhimu?
 
Hata iende mpaka 2030 RUSSIA alijiandaa kabla yao
Nandio maana hata vikwazo walivyosema mwezu vitamsambaratisha RUSSIA vimekua tooth less
RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi waache waendelee kupigana hamna shida kwani sisi ndio tunaokufa
Akifa usisahau kututag MKUU tuelekee malaloni tukamsindikize GENIOUS VLADMIR PUT IN
RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatutumii bure tunalipia,sasa huyo Russia si alete na yeye atuuzie ili tuamini U super power wake kama hiyo jeuri anayo.Kafungiwa tu hapa habari zake,kaishia kugugumia kimya kimya.
Maskini usichokijua nikwamba RUSSIA anainternet yake inayojitegemea
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawasema pro-Russia lakini na wewe maandishi yako yanaonesha ni pro-west/Amerika ingawa wote tupo Mtoni kwa Azizi Ali na wote tunajifurahisha; ajabu sana
 
hahahaaa masaa 72 mpk 4mnths
 
Ila alikubali kufanya kosa la kutoa anti aircraft na anti tanks missiles? Anti ships je? Zote hizo alikubali kufanya hilo kosa? By the way hii ni Vita, kwenye vita kuomba msaada au kusaidiwa silaha ni kawaida kabisa.
Nimekuelewa sana
 
Hebu kwanza nicheke,walijiondoa au waligeuzwa majivu wao na waliobaki wakakimbia.Hivi wale waliokuja kuuteka uwanja wa ndege waliishia wapi vile
hata cnn wanajua kuwa urusi ilijiondoa kiev na kusema ukweli pale bucha wanajeshi wa ukraine walichinjwa wengi aisee
 
Uzuri hizo hela zinakuja kwa mfumo wa silaha ambazo zikitua mpakani tu zinageuzwa majivu😅😅😅
 
Haya ndo yale mahaba tunayozungumzia kila wakati. US ana nini ambacho Russia hana au unafikiri Russia hawezi anzisha internet yake. Wamemfungia GPS ila anatamba hewani kama kawaida na GPS yake
 
Muda sio mrefu maroketi yataanza kutua kwenye miji mikubwa ya Russia....USA ameamua kuweka chuma moto uwake
USA arushe hata kikombora kimoja kivunje ukuta tu wa Russia then kitakachofuata atasimulia. Mrusi sio kinyonge namna hio. Kipigo atakula cha kwenda kabisa 😅😅😅

Russia sio kwamba hawezi kuwafumua Washington DC ila hataki lawama za kuja kuonekana ndio alianzisha vita kwahio alipe madeni.
 
Kama atatoa hizo silaha Ukraine itakuwa magofu ,hakutakuwa na mti au jengo maana Russia atatumia silaha nzito zaidi kusambaratisha Ukraine, pia USA watakuwa wanatest silaha zao wajue kama zinafanya kazi Kama walivyokusudia au laa. Kama ulisikia Putin anasema siyo kwamba hawawezi kuchukuwa Ukraine kwa muda mfupi ni sababu za kibinadamu kutoa raia sehemu ya mapigano kusilete vifo vingi Sana, ndo kinachelewesha la sivyo vita ingekuwa imeishaisha zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…