US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

Aiseeee Urusi hawezi kitu
 
Nakumbuka ile mizinga mliokuwa mnaisifia na kusema urusi itakoma
baadae ile mizinga ikakutana na kitu kizito


Safari mmekuja na jipya tena

Nitakuwa wa kwanza kuleta picha haya makopo yatakapo chakazwa
Nakumbuka pale ulipokuwa unatuletea kile ki ramani na ukatuambia Kyiv inakwenda kuwa majivu ndani ya masaa machache yajao hiyo ilikuwa Machi,pia ukatuambia yule Sniper ameuwawa,hukuishia hapo ukaja na kipicha kuwa General wa US amekamatwa mateka na Russia
.Sote tunajua matokeo ya zile habari,leo hatuwezi kukuamini kamwe kwa hiki unachosema,tunajua habari zako kwa 100 huwa hazina ukweli.
 
Another one in denial, nimeshasema mko vizuri katika kujitungia habari vichwani mwenu.Ni vizuri kwakuwa zinawafanya mjisikie ahueni baada ya failure kubwa ya huyo mnaemshabikia kule Ukraine.
 
ya zelenky ana lalamika kiev iligeuzwa majiv wanajeshi wengi waliuwa kama kuku hasa pale bucha ukraine ikapotosha eti urusi imeua raia

Makamanda wa usa wamekamatwa hilo lipo wazi kijana
 
Hii comment kama watatumia akili zao kuisoma hawa Pro Putin basi watqongeza kitu cha maana vichwani mwao,lakini kwakuwa wamegubikwa na Chuki na ushabiki usiokuwa na kichwa wala miguu,wataishia kutoa povu
 
Russia hawezi kujaribu kurusha hata jiwe ndani ya US
 
ya zelenky ana lalamika kiev iligeuzwa majiv wanajeshi wengi waliuwa kama kuku hasa pale bucha ukraine ikapotosha eti urusi imeua raia

Makamanda wa usa wamekamatwa hilo lipo wazi kijana
Another one in denial,nakukumbusha tena American Embassy pale Kyiv iko wazi na wanaendelea na kazi zao kama kawaida,same kwa balozi zote za Nchi za NATO.Hayo majivu yatakuwa yapo Kyiv ya Msanvu Morogoro
.
Hizo habari zingine ni pure blah blah!
 
eti Marekani inageuka majivu ... Hahahahaha unatia aibu tu humu.
me mwenyewe nmeshangaa kwakweli ..kuna watu sijui haya mataifa makubwa sijui wanayachukuliaje , linapokuja swala la russian and amerika vita yake embu watu mjalibu kukaa tuu kimya mana kuna ambao wanaongea pumba tuu kwa kukosa uelewa ..na uyu shenzi mmarekani nadhan anakitu kizito kingine cha surpplies anataka kuonyesha dunia kama alivyoshangaza pale japan ..
 
Kwenye vita kuna miji amabayo ipo strategy sana. Tukaona tuanze na miji henye bandari kwanza ili tuwaletee njaa na kiifunga Ukraine asifanye biashara. Sasahivi kilanja wenu njaa imemkaba anaishia kubweka tu kama mbwakoko
 
Yani mtu anatumia Internent ya US kuidharau US,ukiwauliza hao Pro Putin kuna nini cha maana cha Russia katika maisha yao ya kila siku wanachotumia,hakuna mwenye jibu.Linapokuja swala la mwenye nguvu ni wazi US ndiyo real Super power kwa nyanja zote including kuwawezesha waweze kutoa povu lao hapa JF.
 
Kwenye vita kuna miji amabayo ipo strategy sana. Tukaona tuanze na miji henye bandari kwanza ili tuwaletee njaa na kiifunga Ukraine asifanye biashara. Sasahivi kilanja wenu njaa imemkaba anaishia kubweka tu kama mbwakoko
Another one in denial,kilichokuwa kinawaleta Kyiv ni nini siku za mwanzo wakaishia kuwa majivu wao pamoja na vifaru vyao? Siku US ikiwa na njaa kubwa basi Russia wote watakuwa wameshakufa kwa hiyo njaa,hapo sijasema kuhusu wewe uliyeko hapa Bongo kwa Nchi za Ulimwengu wa tatu ambako hata uwezo wa kutengeneza tooth pick hatuna.
 
..embu apo kwanza ncheke
 
Hio internet ya USA tunatumia bule???

Mmarekane yeye internet anafanya biashara na kama ana ubavu afunge alafu tuone atakula wapi
 
baada ya urusi kujiondoa kiev ndo wakapiga usafi lakin bado magofu yapo
 
Hio internet ya USA tunatumia bule???

Mmarekane yeye internet anafanya biashara na kama ana ubavu afunge alafu tuone atakula wapi
Hatutumii bure tunalipia,sasa huyo Russia si alete na yeye atuuzie ili tuamini U super power wake kama hiyo jeuri anayo.Kafungiwa tu hapa habari zake,kaishia kugugumia kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…