US preparing to approve advanced long-range rocket system for Ukraine 

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,720
Reaction score
4,994
Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine

1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...

2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?

3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?

Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....

Link

20220528_012201.jpg
 
View attachment 2241675
Propaganda! Marekani hawezi kufanya hilo kosa hata kidogo kwani linaweza kuhatarisha kambi zake nyingi za kijeshi zilizosambaa duniani
 
Ila alikubali kufanya kosa la kutoa anti aircraft na anti tanks missiles? Anti ships je? Zote hizo alikubali kufanya hilo kosa? By the way hii ni Vita, kwenye vita kuomba msaada au kusaidiwa silaha ni kawaida kabisa.
 
I

Tatizo una akili ndogo. Silaha anazopewa ni za kujilinda tu. Sio sitakazomwezesha Ukraine kushambulia mpaka ndani ya Russia. NATO sio wajinga wanajua kufanya hivyo watakuwa wamefanya kosa kubwa sanaaaa
 
Ni wazo tu Hilo Watajadiliana Kisha watasitisha kutoa kwani wanajipenda zaidi kuliko Ukraine hawajipendi
Pro Russia in denial,mko vizuri sana katika kuzifurahisha nafsi zenu,subirini pale Putin atakapofungasha virago kwa aibu Ukraine ndiyo mtajua kuwa aliuvaa mkenge Ukraine.Nakumbusha tunaelekea mwezi wa nne sasa kutoka lengo letu la 72hrs special Operation
 
Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
 
Inawezekana kweli zikaletwa,kwa sbb vita na Ukraine Urusi alishamaliza kitambo.
Sasa hivi kinachoendelea ni vita baina ya Urusi na NATO.

Ila bahati mbaya NATO wanapigana na Urusi kwa kutumia askari wa Ukraine na mamluki kutoka sehemu nyingine duniani.

Watu wakiambiwa Urusi sio Serbia nadhani Sasa wataelewa.
 
Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
eti Marekani inageuka majivu ... Hahahahaha unatia aibu tu humu.
 
Unataja washirika WA putini Kwa hiyo marekani Hana washirika,
 
Ni wazo tu Hilo Watajadiliana Kisha watasitisha kutoa kwani wanajipenda zaidi kuliko Ukraine hawajipendi
Mahaba ni upofu.
Kila mtu anajua huu mgogoro umechochewa kwa kiasi kikubwa na USA, sasa mpaka sasa unadhani ni nani anapoteza na ni nani anazidi kupata.

Us yupo kwake anajenga uchumi wake uku akifuatilia kwa karibu kile alichokiplant.
Kumbuka US ametenga bajeti ya $ 40bil kuendesha vita ya Ukraine vs Russia mpka kufikia October 2022.
Umejiuliza ni kwanini mpaka sasa vita bado inaendelea na mpaka sasa Russia ameshindwa kuiyeka Ukraine?
Siku zote mlipa zumari ndio huchagua nyimbo, mpaka sasa US ndio muamuzi wa hii vita juu ya nani aahinde au lini vita iishe.

In fact Ukraine ni big loser kwa sasa ila umejiuliza mpaka sasa Russia kapoteza kiasi gani? Je! Mpaka kufikia October Russia atakua kapoteza vingapi.

Kama nilivyokuambia mwanzo (Mlipa zumari ndio huchagua nyimbo) Je! Huuu mlipa zumari (USA) anataka nani apoteze?

Tuendelee Kula mtori muda sio mrefu tutafika kwenye nyama.

Kama watu tutakuwa tunatafakari na sio kuwaza kishabiki tungeomba hii vita iishe na Russia ayarudishe majeshi yake kwake na kuwe hakuna mshindi. Ila kwa ujuha wa walio wengi kuishabikia Russia kuendelea kuikalia Ukraine wakizani kuwa wanaikomoa USA kumbe wanaipalilia mipango ya USA izidi kufanikiwa. Kumbuka plane ya USA ni kuakikisha hii vita inachukua muda mrefu pasipo kuisha na pa kuanzia Kesha tenga $ 40 billion kusaport vita mpaka October
 
Kumbuka kuwa marekani yupo Karibu sana na urusi, anaweza shambuliwa kwake fasta na nchi yake hapendwi ipigwe.
Korea kaskazini nae anasubiri aingilie mchezo aweze kutest missiles zake maana ni mshirika wa Putin.
Cuba nayo ni mshirika wa Putin,akiweka mitambo hapo jua marekani inageuka majivu. Kuna kipindi alipiga kelele Sana baada ya Putin kutaka kuweka kambi yake hapo.
Nafikiri marekani anataka vita ila NATO hawako Tayari. Tusubir derby hyo.
Naona kama kwenye ramani ya dunia tutaanza kufuta nchi ya marekani, hata kama ana nuclear power ila kiukweli zitatumika na atakaemuwahi mwenzake na ikapigwa nchini kwake,ataisoma namba. Kiburi cha marekani kinafikia mwisho.
nyie mangombe mnatia aibu
 
Absolutely true
 
Hakuna wakumpiga Marekani dunia ya Sasa.
 
Pro Russia in denial,mko vizuri sana katika kuzifurahisha nafsi zenu,subirini pale Putin atakapofungasha virago kwa aibu Ukraine ndiyo mtajua kuwa aliuvaa mkenge Ukraine.Nakumbusha tunaelekea mwezi wa nne sasa kutoka lengo letu la 72hrs special Operation
Nimegundua mashabiki wa Urusi ni watu makatili Sana hadi Huwa nawashangaa kumulaumu Rais wa Ukurein et kwa nini hajasalenda Yan mtu amevamiwa kwake kupigana ili kumwondoa adui imekua shida.

Pia wakubali tu huu ndo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia.
 
Kumekucha....Ukraine sasa anapewa nguvu ya kupiga ndani na sio pembeni ya mipaka ya Russia...
Hii vita inaenda kuchukua sura nyingine kwa uwezo anaoenda kupewa Ukraine

1.Swali je Russia atakubali kupigwa nyumbani?
Russia tayari ameonya makombora hayo asipewe Ukraine...USA anaenda kumpa Ukraine uwezo wa kushambulia target zaidi ya Km 500 na kuendelea...

2.Russia atachukua hatua gani kwa USA?au ndo tutaona ballistic missiles zikitua USA kulipiza hili au Russia ataendelea Kuwa kimya?

3.Nini haswa anachotafuta USA Ukraine ndo kusema yeye anauchungu sana na watu wa Ukraine au Kuna mpango wa siri unasubiri muda?

Ni swala la Muda na
Muda ndio shahidi muhimu....

Link

View attachment 2241675
Urusi hawezi attack US mainland,
 
Back
Top Bottom