US: Kikundi kinachodhaminiwa na IS cha Msumbiji kisipodhibitiwa, uasi unaweza kuhamia Tanzania

Ebu weka nione
The Book of Faith

(8)

Chapter: The command to fight the people until they say "La ilaha illallah Muhammad Rasul-Allah", and establish Salat, and pay the Zakat, and believe in everything that the prophet (saws) brought. Whoever does that, his life and his wealth are protected except by its right, and his secrets are entrusted to Allah, the most high. Fighting those who withhold Zakat or other than that is one of the duties of Islam and the Imam should be concerned with the Laws of islam.
Sahih Muslim 22

It has been narrated on the authority of Abdullah b. 'Umar that the Messenger of Allah said:

"I have been commanded to fight against people till they testify that there is no god but Allah, that Muhammad is the messenger of Allah, and they establish prayer, and pay Zakat and if they do it, their blood and property are guaranteed protection on my behalf except when justified by law, and their affairs rest with Allah"

Quran 9:73 Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya.

Quran 9:5 Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu

"O you who believe! Fight those of the disbelievers who are close to you, and let them find harshness in you, and know that Allah is with those who are the righteous.” Quran 9:123

"Muḥammad, the Apostle of Allah,and those who are with him are harsh against the faithless and merciful amongst themselves"Quran 4:29 (a.k.a pendaneni waislam chukieni wasio waislam)

Quran 4:95 . Hawawi sawa Waumini wanao kaa tu wala hawanadharura, na wale wanao pigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao. Mwenyezi Mungu amewatukuza cheo wale wanao pigana kwa mali yao na nafsi zao kuliko wale wanao kaa tu. Ingawa Mwenyezi Mungu amewaahidi wote mashukio mema, lakini Mwenyezi Mungu amewafadhili wanao pigana kwa ujira mkubwa kuliko wanao kaa tu

Sasa wewe mzee endelea kukaa tu nyumbani wakati wanaume wako msumbiji wanapiga kazi.

NB:Kama huniamini mimi au una vile visingizio vya kitoto kama eti kupigana hata ukitype kwenye keyboard 'Allahu akbar' tayari hiyo ni jihad msome ibn kathir mwanazuoni ameandika tafsir ya hiyo mistari...ameelezea hadi historia jinsi muhamad na kina abu bakr,Umar walivyotumia hiyo mistari kusambaza dini kwa kupigana na nchi kibao kwa upanga.
soma hapa The Noble Quran
(..... This is why the Messenger of Allah started fighting the idolators in the Arabian Peninsula. When he finished with them and Allah gave him control over Makkah, Al-Madinah, At-Ta'if, Yemen, Yamamah, Hajr, Khaybar, Hadramawt and other Arab provinces, and the various Arab tribes entered Islam in large crowds, he then started fighting the People of the Scriptures(christians and Jews))
 
Hicho NI kipindi dini ya uislam INAANZA..

Soma hyo Aya ya 256

Screenshot_20201020-132022.jpg
 
Wamarekani wanatengeneza tatizo halafu wanajifanya wanatatua wao ndio wafadhili wa hivyo vikundi, ndio wanawapa silaha na mafunzo target yao ni gesi na mafuta ni wakati wa nchi za msumbiji na Tanzania kuamka na kuendesha opresheni ya pamoja
 
Marekani imetahadharisha hili kuwa makundi ya wanamgambo yameendelea na operesheni zake nchini Msumbiji katika eneo la Kaskazini la Cabo Delgado huku yakiungwa mkono na wanamgambo wa Islamic State.

Wanamgambo hao wamekuwa wakishambulia vijiji mbalimbali katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

Mkuu wa operesheni maalum ya Marekani barani Afrika Meja Jenerali Dagvin Anderson, amewaambia wanahabari kuwa kundi hilo limekuwa likipata msaada kutoka nje, hali inayolifanya kundi hilo kuwa hatari zaidi.

''Tumewashuhudia katika kipindi cha miezi 12 mpaka 18 wakiimarisha uwezo wao wao, wa mashambulizi, na kutumia mbinu ambazo hutumika pia katika maeneo mengine ya ulimwengu- Mashariki ya Kati ambako kuna makundi yenye uhusiano na Islamic State'', alisema Jenerali Anderson

Uasi wa wanamgambo wa kiislamu waliojitokeza katika kona ya mbali ya Msumbiji umegeuka kuwa vita vya wazi katika wiki za hivi karibuni, na ripoti za mauaji ya watu, kukatwa kichwa na kutekwa nyara kwa miji miwili katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado, aliandika mwandishi wa BBC Africa Andrew Harding mwezi Mei

Watu wenye silaha walitembea taratibu katikati ya majani marefu, wakipita kando ya jengo kubwa jeupe wakionekana kutosumbuka kabisa na mlio wa risasi.

Wengi wakiwa na silaha na walivaa aina mbalimbali za mavazi yaliyoonekana kuwa ya jeshi la Msumbiji. Milio michache zaidi ya risasi ilisikika kwa mbali na mmoja alipaza sauti ''Allahu Akbar''- Mungu ni Mkubwa.

Picha ya video, iliyopigwa mwezi Aprili kwa simu ya mkononi wilaya ya Muidumbe ulikuwa ushahidi wenye nguvu kuwa mzozo uliokuwa gizani katika eneo la Kaskazini mwa Msumbiji sasa umekuwa katika eneo la wazi kabisa kwa namna ambayo ni ya hatari.

Video ya pili, iliyochukuliwa majuma machache kabla, ilimuonesha mtu mmoja aliyekuwa amekufa, askari akiwa amelala kwenye dimbwi la damu. Kamera kisha zikatembea na kunasa mwili mwingine, kisha mwili mwingine ukiwa chini ya gari nyeusi ya polisi, kisha ikarekodi mwili wa nne ukiwa sehemu ya wazi, na kisha rundo kubwa la silaha kwenye eneo ambalo linaonekana kuwa ghala la silaha la polisi au jeshi.

Wana uhusiano wa karibu kiasi gani na Islamic State?

Picha hizo za video zilipigwa katika eneo la bandari Mocimboa da Praia, ambalo lilidhibitiwa kwa muda na wanamgambo tarehe 24 mwezi Machi. Siku mbili baadae, wanamgambo hao walidhibiti mji mwingine muhimu wa Quissanga.

''Sasa wana silaha na magari, yanayowafanya waweze kutembea kirahisi na kufanya mashambulizi kwenye eneo kubwa. Na hutumia sare za wanajeshi. Hivyo, watu huchanganyikiwa na kuogopa,'' anasema Askofu wa kikatoliki wa Pemba, Luiz Fernando Lisboa.

Mashambulizi makubwa mawili ya kijeshi ni ushahidi kuhusu mabadiliko ya mipango ya kundi hilo lifahamikalo kwa jina al-Shabab, ingawa halina uhusiano na kundi la wanamgambo wa kisomali wenye jina sawa na hilo, lenye uhusiano na al- Qaeda.

Kundi hili lilitumia miaka miwIli iliyopita kutekeleza operesheni zao mafichoni, likivishambulia vijiji vya mbali , ikishambulia misafara ya kijeshi iliyo kwenye doria kwenye barabara zilizo pweke, vitendo vya kigaidi dhidi ya jamii za vijijini, na kusababisha watu 200,000 kuyakimbia makazi yao, lakini lilikuwa kwa kiasi kikubwa halioneshi sababu ya kufanya vitendo hivyo, wala uongozi wake wala madai ya kundi hilo.

Picha za video kutoka pande za wilaya ya Mocimboa da Praia na Muidumbe kwa haraka ziliingizwa katika filamu za propaganda za kundi la wanamgambo wa Islamic State (IS), iliyorushwa na shirika la habari la Amaq.

IS imedai kuhusika na mfululizo wa mashambulizi nchini Msumbiji, nchi ambayo 18% ya raia wa nchi hiyo ni waislamu, na linaonekana kuhamasisha operesheni zake ambazo zimekuwa zikiweka alama zake katika maeneo kadhaa barani Afrika.

Uasi katika eneo la Cabo Delgado, ambalo ndio kitovu chake, ni sehemu ya harakati za kundi la IS , limeaminiwa na wanamgambo wenyewe ambao waliapa hadharani kulitumikia mwaka jana.

Uhusiano huu hutoa faida kwa pande zote mbili
Lakini katika video tofauti, iliyosambaa mwaka huu na kusambaa sana kwenye WhatsApp nchini Msumbiji, kiongozi wa wanamgambo alitoa ufafanuzi zaidi juu ya hatua za kikundi hicho.

Wakazi wamelalamika kuhusu kubaguliwa
''Tunadhibiti miji kuonesha kuwa serikali ya leo haina usawa. Inawadhalilisha masikini na kuwapa faida wakuu,'' alisema mwanaume mmoja mrefu, ambaye hakufunika uso wake akiwa amevalia sare za rangi ya kaki, akiwa amezungukwa na wapiganaji wengine.

Alizungumza wakati wote kuhusu uislamu, na shauku yake ya kuwa kwenye ''serikali ya Kiislamu, na si serikali isiyo na watu wasioamini'' lakini pia alieleza kuhusu madai ya unyanyasaji unaofanywa na jeshi la Msumbiji, na mara kwa mara alisema kuwa serikali ''haitendi haki''.

Wafuatiliaji wa mambo wanasema kuwa kuanza kwa uasi nchini Msumbiji ni sawa na operesheni za uasi za kundi la Boko Haram Kaskazini mwa Nigeria, kikundi ambacho kimekuwa kikitekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya jamii nyingi nchini humo, lakini pia imekuwa chaguo mbadala la vijana wasio na ajira na waliochanganywa na namna hali ya mwenendo mbaya wa maisha na mifumo ya kifisadi.

Wakazi wa Nanduadua wakipita katika eneo lenye mabaki ya msikiti unaodaiwa kuharibiwa na vikosi vya kijeshi vya Msumbiji

CHANZO CHA PICHA,ADRIEN BARBIER

''Kwa mara ya kwanza walizungumza na Umma,'' alisema mwanahistoria nchini Msumbiji, Prof Yusuph Adam, ambaye amesema kuwa video hizo ziliipa ujazo hoja kuwa mgogoro wa Cabo Delgado umechochewa zaidi na masuala ya ndani.

''Jeshi tangu awali ...lilikuwa likiwapiga watu, kuwafunga,, kuwatesa. Kuna hofu miongoni mwa waislamu waishio eneo hilo. Wanatengwa kwa kuwa watu wanawafikiria kuwa wajinga.

''Tatizo ni kuwa kuna kundi la vijana wasio na ajira. Ikiwa tutatatua ...matumizi ya nguvu, rushwa, na ikiwa tutakuwa na mfumo thabiti wa haki nina uhakika tutatatua shida hii haraka,'' amesema Profesa Adam.

Hapo awali serikali ya Msumbiji ilitaka kupunguza uasi huo, na kuwaondoa wanamgambo kwa makosa ya uhalifu, na kuwazuia waandishi wa habari kuingia katika mkoa huo. Lakini hali hiyo inabadilika.

Baadaye, serikali ilianza kuajiri maafisa wa usalama wa kigeni - inadaiwa kutoka Urusi, Marekani na Afrika Kusini - kusaidia jeshi kumaliza uasi, lakini bila mafanikio yoyote makubwa.

Kuna wasiwasi kuwa mzozo huo, ukishughulikiwa vibaya, unaweza kuenea katika nchi jirani ya Tanzania, na labda hata Afrika Kusini.

Mmiliki wa duka na watoto

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES

Athari za kiuchumi
Makampuni ya gesi- yamesitisha kuwekeza mabilioni ya fedha katika maeneo ya pwani ya Cabo Delgado - moja ni kwa sababu ya kukosekana kwa hali ya usalama, lakini pia kuporomoka kwa bei ya gesi.

Wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, suluhu ya mgogoro itategemea utawala mzuri na uwazi katika masuala ya uchumi, usawa katika umiliki ardhi, ajira na mgawanyo sawa wa mapato yatokanayo na gesi.

''Makampuni ya kimataifa yanataka kujua kama wanaweza kuchukua hisa zao, lakini wanapaswa kuwaangalia wakazi wa eneo hili,'' alisema askofu wa Pemba.

''Na serikali inapaswa kufahamu kuwa ni muhimu sana kuwa rasilimali hii lazima iwanufaishe watu na isiwe chanzo cha vitendo vya rushwa,'' aliongeza.

BBC Swahili
Marekani wana usenge mwingi sana
 
Back
Top Bottom