US Election Coverage 2008

Miaka inakwenda kasi mno
 
Shikamoo Mheshimiwa. Kumbe wa siku nyingi sana humu.
 
Naona na leo pia mume wa Hillary Choked-ham Clinton, Pres. Bill Playboy Clinton nae kajifanya kuwa emotional. Hizi political stunts zao kutuletea emotion za kuchi kuch hotahe zinaboa sasa. Tumsubiri Chelsea Clinton nae atoe chozi LIVE hahahaha.
Hahahaha eti "Choked-ham"
 
Jeb wakati wake ulikuwa huu, miaka nane ijayo atakuwa na miaka 62 na atakuwa amekaa sana nje ya ulingo wa siasa ila huwezi kujua kila kitu kinawezekana kwenye siasa.
Na baada ya hiyo miaka 8, alijaribu kweli ila alishindwa. Donald Trump na Ted Cruz walikuwa wanakimbiza balaa. Ila mwisho kinyume na matarajio ya wengi Trump ndio akashinda nomination ya Republican.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…