Mnajua nyinyi washabiki wa Obama mna mchecheto sana. Kapata vikura sijui kumi...tayari mmeshaanza kushangilia ushindi.....
I had really hoped u'd come Nyani..... thanks for popin up!
I'm encouraged to know u still have hopes!! Keep praying for your babuuu!!
Go...Obama go.......
Babu will win this damn thing.....no question about about it.
I just got back from touring two polling stations in North DeKalb and I'm telling you Obama has no chance.....
You are trying to vent emotion by transmitting yours to us, this thing even Babu knows he has no chance, the only hope remains "he's thinking white voters a recist and will vote for him because he's white". They gona prove him wrong today.
Look at this rigamarole!! But I've come to expect it from you....
Nyani Ngabu,
Kibabu kimeshindwa kulala kinaenda kufanya kampenisiku ya Uchaguzi, hiyo ni desparation ya hali ya juu! Si atulie basi maana yeye ni Maverick tuone kama atashinda?
Meanwhile miye naimba ule wimbo wa Busta Rhymes/Diddy "Pass me Kavwasiye, Nyani send my Kavwasiye, Pass me Kavwasiye'...
Karl Rove predicts Obama landslide in electoral college Obama 338 - 200 McCain
Kwangu mimi naona kwamba Obama ana uwezo wa 99% mpaka sasa wa kushoda na kama asiposhinda basi watakuwa wamempiga changa la macho kama alivyofanya bush sasa jamani tukae mkao wa kula na kusubiri majibu leo usiku nini kitatokea na nadhani pia kama mpaka sasa Obama anaongoza kama asipochaguliwa marekani kutachafuka sana tena sana uwakika ninao maana watu sasa hivi wanataka mabadiliko zaidi sio mambo ya kukaa kila ncho unakuwa na ugomvi nayo
N.K
Jamani tusifatilie sana mambo ya kukaa na kumjadili Obama na wenzake nadhani tunawaste time ya kutosha zaidi Pamoja.......
Nyani jumba hio mtaliota mwaka huu wewe na babu yako.Go Obama!