US Election Coverage 2008

So very true...Nafikiri tukipata na ile clip ya Karl Rove akicheza muziki...kwenye ile press dinner itakuwa bab kubwa zaidi.

ulikuwa unasema video hii ya MC. McRove

[media]http://www.youtube.com/watch?v=c9SAxKIw2xo[/media]
 
Haya this is whats happening on the campaign trail...Jana na leo.
 

Attachments

  • capt.c396a8800829468486caef0a532cd1d2.aptopix_obama_2008_ncjm101.jpg
    39 KB · Views: 28
  • Rednecks_For_Obama.jpg
    6.9 KB · Views: 28
  • Obama'sNorthCarolinaRally.jpg
    37.1 KB · Views: 26
YNIM, Koba, Capitol Hill, jana tulikubaliana na Capitol that these polls zisituleweshe, mi nakubaliana na Nyani the only poll that counts is on November 4th. Kumbukeni kesho ikionyesha Obama yuko nyuma tutaanza kulalamika sana, tutasema polls don't matter. Well, they don't matter wehther Obama is up or down. It is an indicator, i agree lakini tusijiamini sana.
Kuhusu ACORN si Nyani alishaindicate jana that this is the topic of the day on the right wing radios. Wacha wapige mdomo mimi mpaka sasa sijaona inahusiana vipi na Obama. Hii ni last resort, ya kutaka kumfanya Obama aonekane dangerous, criminal etc. It may fly with few ignorany red necks but even social and economic conservatices wameshaanza ku-abandon ship maana wamekosa mwelekeo.
Nimesikia one of the conservatives on radio akisema "serves the GOP right for putting a candidate who is not a true conservative" Sasa Babu is caught between a rock and a hard place. Anataka kuwa hardline conservative lakini wap. Darling of the rabid conservative wing is Palin who is unfortunately sooo dense that even the conservatives are embarassed by her.
 

You must be scared to death maana una obssession na conservative commentators na kila siku huachi kuwasikiliza. Ahahahahahaaaaa.....
 
...Tumbili makopo hiyo race card & fearmongering ambazo ndio only hope mlizobakiza hazita work,after 8 yrs ya neocons na disaster mliyoileta sijui kama kuna any independent anaweza fall to that stupidity na msivyo na akili still mna campaign Wisconsin...teh teh teh nendeni Mississippi labda mnaweza shinda kule kwa landslide maana state nzima inaamini Obama is a muslim ..teh teh teh!
 

Ona huyu naye....sijui alipotelea wapi...
 

You know sometimes I wonder if Obantu's "poli-sehs" are simply political moves to win votes. Maybe he has me fooled. Maybe if he gets elected he will say hmmmm....raising taxes while the country is in recession is dumb. Maybe if he gets elected he will say hmmm....a trillion dollars entitlement programs he is proposing are not workable when a country is running a massive deficit. Just maybe Obantu is not as dumb as he sounds, just maybe. So if (and that's a big IF) Obantu gets elected his tenure won't be as disastrous as Jimmy Carter's....but I am telling you that's a big IF.
 
You must be scared to death maana una obssession na conservative commentators na kila siku huachi kuwasikiliza. Ahahahahahaaaaa.....

Nyani...to be well informed I usually get my materials from all sources of news. Sio kwa sababu I am a liberal, kwamba I should not listen to or read from right wing juggle nuts...HAPANA. Ili kuwa katika nafasi nzuri ya kuweza kuja hapa na ku debate na wewe...I have to do that.
 
Obantunomics 101:


Source:

www.rightchange.com - Home

Unless majority of Obantu supporters on this forum are earning minimum wage in America, I don't see how you can cheer for Obantu.
 
Obantunomics 101: Take a closer look and be careful what you wish for.


Source:

[media]http://rightchange.com/images/A%20CLOSER%20LOOK%20AT%20OBAMANOMICS.pdf[/media]
 
Obama ubarikiwe tunakuombea maisha marefu na Mungu akulinde
Click hapa:Matangazo
 
Koba ulipotea wapiiii? Nyani siku hizi ana alliance na huyu Ukweli ambaye anatuwekea hapa spam za kiajabu anazochukua kwenye really wingdingbat websites.
Sasa naona Babu yake Nyani atadai everybody is conspiring against him, maana hata General Petraeus, his hero ameshushua kwkwikwiiiii
Kumbukeni hapa aliulizwa specifically kuhusu difference ya Obama na McCain approach na alichagua approach ya Obama. Poleeeeeeeeni McCain camp!!
 
BTW, baada ya kuona the crazy stuff that the GOPers are doing and the blatant racism, and errratic behavior of McPalin team, nimeamua kuweka signature line yangu with a touch of Thatcherism. But seriously naamini kuwa GOP wamekuwa insane. Wanabwata ovyo and are almost on the fringe of acceptability!!
 

Unajua Biden anamwaga gaffes mpaka amekuwa contagious. Bofya hiyo link ya youtube hapo juu.....yaani nimecheka hadi mbavu zinaniuma.....
 
Rev Kishoka, yule jamaa yetu aliyeambiwa na Babu yake Nyani hajui Fannie and Freddie amejibu:
Sitaki kuongeza chochote maana inajitosheleza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…