Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 891
Hawa conservatives have real issues with their religious beleif and reality. Jindal is an exorcists, sasa mdogo wake anataka ku-compare picha ya Obama ame vaa nguo za asili na ile ya ya kuombewa na preacher to be kept from witches and spells ie. asilogwe! Sasa naona story nyingine, eti Palin anasema duniailiumbwa miaka 4,000 iliyopita and men and dinosaurs walked the earth together! Zile katuni za Flintstones anazoangalia na watoto wake zinamchanganya jamanii!! Kwikwikwiiiii!
Ab -Titchaz hebu tupe nyepesi ya hiyo rally, minaomba uniwekee Bidenism hapa maan Babu yetu Joe ana vijembe vitamu!!
Ab -Titchaz hebu tupe nyepesi ya hiyo rally, minaomba uniwekee Bidenism hapa maan Babu yetu Joe ana vijembe vitamu!!