US Election Coverage 2008


NN,
With all due respects, hiyo ya Farrakhan ni jungu tena toka kwa Clintons na alowapa hiyo ni "Uncle Jesse." Kama kawaida ita-FAIL tena kwa kishindo!!!!. Watu wanajua hizo dirty tricks na ndio maana kampeni ina-hubiri change.
 
NN,
With all due respects, hiyo ya Farrakhan ni jungu tena toka kwa Clintons na alowapa hiyo ni "Uncle Jesse." Kama kawaida ita-FAIL tena kwa kishindo!!!!. Watu wanajua hizo dirty tricks na ndio maana kampeni ina-hubiri change.

Actually hiyo siyo kutoka kwa kina Clinton...hiyo ni moja kwa moja toka kwa Sean Hannity wa Hannity and Colmes. Tena wameshawahi kumwalika kwenye kipindi chao. Ni mtu controversial kweli kweli. Jaribu kutafuta video zake kwenye mtandao halafu utanielewa nazungumzia nini
 

YNIM,

..Hakuna anayebisha umahiri wa ushawishi na kisiasa wa Ronald Reagan.

..Reagan aliwafanya WEUPE waone fahari kubwa sana ya utaifa wao.Lakini Reagan huyohuyo alikuwa haishi kuwanyanyapaa na kuwabeza watu weusi.

..Weusi wametaabika mno wakati wa Reagan, siyo kwa hali mbaya ya uchumi ya wakati ule, lakini zaidi kwa sera zake za chuki na dharau dhidi ya weusi.

..Ndiyo, kwenye hiyo Reagan coalition kulikuwa na Independents,Democrats,na Republic. Lakini hebu jiulize kulikuwa na weusi kwenye hiyo "Reagan coalition?"

..wachilia mbali kudhalilisha weusi wa Marekani. Waafrika kwa ujumla tuliteseka sana na siasa chafu za Ronald Reagan. Katika Ikulu ya Reagan walifika majangili wa Kiafrika wafuatao: Samuel Doe,Jonas Savimbi,Mobutu Sese Seko.

..naomba tukubaliane kwamba Obama did not do a thorough research on Ronald Reagan b4 mentioning him as his role model.

..ningefurahi kama Obama angemtaja mtu kama FDR. Kama sikosei huyu alikuwa democrat.

..Napenda sana Obama awe Raisi wa kwanza African American.

..Naamini wanawake wanaweza kusubiri kuliko African Americans. Nafasi ya kupatikana mweusi wa stature ya Obama ni finyu kuliko nafasi ya kupatikana mgombea uraisi mwanamke.
 

Msee,
Unachosema hapo juu ni kweli ila huo ni upande mmoja wa shilingi ambao ni mbaya, Obama alikuwa anazungumzia upande mzuri na ndio maana hakupata matatizo.
Kuna pundits kama Gergen wa Harvard School of Goverment na Bennet( radio talkshow host na education secretary kwenye Bush 1), wanadhani kwamba kaiwaisha na ingeweza sana kumsaidia ktk general election kama akipata nomination.
Watu wameshasahau mabaya ya Reagan(kama kawa ya binadamu), watu wanakumbuka alivyoteseka na Alzheimers, ceremony ya wiki mbili ya msiba wake na positives kama kuanguka kwa ukomunisti............hivyo "reagan bombshells" unaweza kuzi-trigger bila tsunami ya negative consequences!!!!.
 
NN,
Sean Hannity tena ha ha ha ha......hiyo mie nakwambia imepandikizwa na Clintons, kwani ni hao hao foxnews waliosema kwamba Obama kasoma madrasa Indonesia. Ilipobainika ni urongo, ripoti zao wenyewe zikasema kwamba source ilikuwa ni watu wa Clinton. Ndipo camp ya Obama ikaja na Hillary Clinton, D-Punjab kama kulipiza, kama unalikumbuka hilo dogo!!. Fuatilia "realible sources" utastukia kama-mchezo. Video za sound bits kwa dakika moja toka interview au speech ya dakika 40 si vitu vya kutilia maanani.....ni spins tupu.
Jamaa hayupo clean like that, just like everybody in washington.....lakini uchafu unatofautiana na mwingine ni waaaaaay far fetched!!.
 
..aisee hao so called Reagan Democrats ni yale yale mabaguzi,hata reagan alikuwa Democrats before civil rights na watu wanasahau ile southern yote ilikuwa ni Democrats tupu lakini baada ya civil rights kupita waliasi wote na kukimbilia Republican,ukisoma American History vizuri moderate Republican from northern part walisaidia sana kuondoa ubaguzi na hata kwenye congressional vote za kupitisha civil rights act majority wa republican ndio walisaidia ipite huku Democrats wengi from south walivote NO(just google civil right vote utaona jinsi hawa watu walivyokuwa na evil minds),huyu Reagan wanamsifu sana lakini alikuwa mshenzi tuu na watu wengi wali suffer sana juu yake especially watu maskini ikiwemo Africa..maana alikuwa na policy ya kusupport any dictator as long as he was right wing(capitalist)...sorry kwa kwenda nje ya topic lakini Reagan itabidi watu wamjue
 
hii nawakumbusha History ya civil rights vote kwenye house and senate na angalia southern democrats walivyotutosa wakati ule na senator wa sasa wa West Virginia Bird alitutosa(only one from north lakini alikuja kuomba msamaha baadaye),vote za mwanzo ni yes/No

By party and region


The original House version:

Southern Democrats: 7-87 (7%-93%)
Southern Republicans: 0-10 (0%-100%)
Northern Democrats: 145-9 (94%-6%)
Northern Republicans: 138-24 (85%-15%)
The Senate version:

Southern Democrats: 1-20 (5%-95%) (only Senator Ralph Yarborough of Texas voted in favor)
Southern Republicans: 0-1 (0%-100%) (this was Senator John Tower of Texas)
Northern Democrats: 45-1 (98%-2%) (only Senator Robert Byrd of West Virginia opposed the measure)
Northern Republicans: 27-5 (84%-16%) (Senators Bourke Hickenlooper of Iowa, Barry Goldwater of Arizona, Edwin L. Mechem of New Mexico, Milward L. Simpson of Wyoming, and Norris H. Cotton of New Hampshire opposed the measure)
 
Bennet( radio talkshow host na education secretary kwenye Bush

Mkuu huyu si ndiye aliyekuwa anajifanya Conservative wa kutupwa, halafu akakamatwa kuwa ni mcheza kamari hatari sana, kumbe alirudi tena kwenye talk show? Duh!

Mkuu Koba,

Kuna Ri-jamaa Rinaitwa Lou linatangaza CNN, ni Rimoja kati ya hao Reganities, duh Ri-jamaa lina roho mbaya kweli na imigrants!

Mkuu YRS,

Sasa hiii finali ya Jints na NE wassaup?
 
FM...anaitwa Lou Dobbs lakini cha ajabu mke wake ni mexican,jamaa anamake money for bashing illegals,he's not only ant immigrant lakini anachukia China(the rise of red storm) ile mbaya mpaka kuna siku jamaa alimwambia..too much,why dont you just quit because everything on CNN is made in China!
 
Mkuu huyu si ndiye aliyekuwa anajifanya Conservative wa kutupwa, halafu akakamatwa kuwa ni mcheza kamari hatari sana, kumbe alirudi tena kwenye talk show? Duh!

[/B]


ndio huyo huyo bennet na ndio alisuggest ukitaka kupunguza crime in America you need to abort all black kids!
 

Hii ya pastor ni ya muda kidogo kabla hata hajaonekana kuwa tishio kwa Hillary. But I guess kila kitu sasa hivi watalaumiwa wao tu (kina Clinton) hata kama sio wao ambao wako responsible. Ikitokea akapigwa shaba sasa hivi nina uhakika haata wewe utasema Bill na Hillary wame-conspire. Huu ushabiki una kazi kweli kweli.
Halafu ngoja nikuulize. Kwa jinsi ulivyo passionate na Obama ikitokea akashindwa na Clinton akawa nominee, utamuunga mkono Clinton au ndo utawasusa kabisa Democrats?
 
Msee Koba,
Ulichoongea hapo juu ni kweli, ila hiyo ni base line knowledge kwenye nutshell kwa mtu yeyote anaye-touch bases kabla ya kuchangia ktk thread hii.......so kimsingi you were singing to the choir!!!!! kwani hata political landscape(division kati ya northeastern big cities/left coast ambao ni dems na south ambao ni GOP) iliyopo sasa ni matokea ya enzi hizo za civil rights. Kwahiyo none new hapo, ndio maana kampeni hii kwa ajili ya real changes, bring america together.....sidhani hata wewe kama unataka undisputed red china as a superpower!!!.

NN,
Yes, let say McCain v/s Hillary come November....mie naona bora McCain!!! na liwalo na liwe, lakini hizi dirty games hazifai kuachiwa kwani hawa ndio wanatengeneza precedence ambayo inatuletea matatizo nyumbani(africa).

FMES,
Jints watakandamizwa kiulaini, lakini ni matatizo ya Pats wenyewe wametengeneza monster kwenye week 16. Eli yupo onfire while Brady ana fatigue.......nitakuwa na bias tu hapa, ngoja tusubiri hiyo Feb 3.
 
Msee,
Lou Dobbs anatengene bucks tu, sidhani kama yupo serious!! Kulikuwa na baguzi kama Strom Thurmond?? mbona alizaa na housegirl wao ambaye alikuwa mweusi?? Wakti akiwa Gorvernor wa SC, binti wake(point five) alishawai kumuuliza juu ya sera zake hizo, jibu lake lilikuwa simple...........kwamba anafanya anavyofanya ku-save his political carrier na si kweli kwamba moyoni mwake ni mbaguzi namna hiyo. Mfano, Huckabee kashabikia confederate flag in SC na jana alikuwa ATL kwenye MLK day!! go figure!!.

Naona Fred Thompson kaishiwa na gas kwikwikwikwi, kaamua kuachia bodi.

Kinachoendelea hapa ni "electile dysfunction" @ its best......bisha kubali, ni wao Clintons ndio wameanzisha, maana hata leo Teddy "fathead" Kennedy kawapaka tena leo(clintons) kwa kukitia majeruhi chama.
 
Mkuu YRS,

Jana Tom ameonekana kwa Giselle, akiwa na piopio, sasa hiyo vipi mkuu, maana hawa kina straham na Buress, itakuwa kiama huko AZ mkuu?

Hivi umesikia fimbo za jana kwenye debate ya Obama na Hillary? Duh yaaani mawe na kumkoma nyani tupu! yaanai ka mama hako kumbe kazima nako kwa kumkoma nyani?
 

Hako ka mama kiboko yaani kalikuwa kakimkoma nyani giladi kweupeeee
 
FMES,
Bobishi hiyo ya TOM anataka kuwaingiza kingi Jints, nimeona zile picha ana bundle ya maua nadhani daisy zile.......kuna watu hasa ESPN, wanatabiri ushindi kwa Giants. Sie tunasubiri rally la "famous" Boston Duck Tours......boylston, tremont mpaka pale goverment center siku ya jumatatu, Jan 4 '08.
 
JOHN KERRY' MESSAGE:
I support Barack Obama because he doesn't seek to perfect the politics of Swiftboating -- he seeks to end it.
This is personal for me, and for a whole lot of Americans who lived through the 2004 election.
As a veteran, it disgusts me that the Swift Boats we loved while we were in uniform on the Mekong Delta have been rendered, in Karl Rove's twisted politics, an ugly verb meaning to lie about someone's character just to win an election. But as someone who cares about winning this election and changing the country I love, I know it's not enough to complain about a past we can't change when our challenge is to win the future -- which is why we must stop the Swiftboating, stop the push-polling, stop the front groups, and stop the email chain smears.
The truth matters, but how you fight the lies matters even more. We must be determined never again to lose any election to a lie.
This year, the attacks are already starting. Some of you may have heard about the disgusting lies about Barack Obama that are being circulated by email. These attacks smear Barack's Christian faith and deep patriotism, and they distort his record of more than two decades of public service. They are nothing short of "Swiftboat" style anonymous attacks.
These are the same tactics the right has used again and again, and as we've learned, these attacks, no matter how bogus, can spread and take root if they go unchecked.
But not this time -- we're fighting back.
And when I say "we," I mean that literally. I know Barack is committed to fighting every smear every time. He'll fight hard and stand up for the truth. But he can't do it alone.
We need you to email the truth to your address books. Print it out and post it at work. Talk to your neighbors. Call your local radio station. Write a letter to the editor. If lies can be spread virally, let's prove to the cynics that the truth can be every bit as persuasive as it is powerful.
The Obama campaign has created a place where you can find the truth you'll need to push back on these smears and a way to spread the truth to all of your address book.
Take action here:
http://my.barackobama.com/factcheckaction
So when your inbox fills up with trash and the emails of smear and fear, find the facts, and help defeat the lies.
Barack Obama is committed to bringing our country together to meet the challenges we face, but he knows that power gives up nothing without a struggle -- and to win the chance to change America, we must first defeat the hateful tactics that have been used to tear us apart for too long.
With your help, we can turn the page on an era of small, divisive politics -- but only if next time you hear these attacks on Barack, you take action immediately:
http://my.barackobama.com/factcheckaction
The fight is just heating up -- we won't let them steal this election with lies and distortions.
Thank you,
John Kerry
 
Hako ka mama kiboko yaani kalikuwa kakimkoma nyani giladi kweupeeee

Nyani Ngabu, I respect your passion for Hillary, lakini mi bado naamini that she's part of the establishment na ma-lobbyists wake, na huyo hubby wake! Obama is the change that the whole world needs!
Kuhusu delegates, naomba nikuhakikishie ya kuwa Hillary kuwa na more delegates now does not count kwa sababu when Edwards withdraws it's a whole new ball game. Also kuna uncommitted votes up for grabs. It ain't over yet.
I must say that the challenge that Obama gives to Hillary makes the whole process more exciting. And I think that Barack being underdog makes him perform better remember what he said to Time magazine 'My name is Barack Obama. With a name like that I am always the underdog' and added that he likes it that way.
Have a good time during the primaries, may the best candidate win!
 
Ok lets take a commercial break...oooops basketball heads nadhani mnamkumbuka the REAL LAKERS LEGEND...


Kareem Abdul-Jabbar To Magic Johnson: Obama's No "Rookie"



Unbeknownst to him, basketball legend-turned-author Kareem Abdul-Jabbar was pulled into the 2008 campaign fray this week.

In a radio ad airing in South Carolina, Abdul-Jabbar's former teammate Magic Johnson endorses Hillary Clinton and suggests that her chief rival, Barack Obama, is an overreaching rookie.

"We won our first game on a last-second shot," the former L.A. Lakers point guard says in the ad. "I was so hyped. But the captain of my team said, 'Take it easy rookie, it's a long season, it's a long road to the championship.' He was right."

The team captain that Magic is referencing: Mr. Abdul-Jabbar, who told the Huffington Post that Magic has it wrong about Obama. "I don't think he's a rookie. He's served as a senator very capably, and he is very skilled in terms of his ability to organize and lead people. And that's what we need right now."

Abdul-Jabbar, who recently authored a book charting the lasting impact of the Harlem Renaissance, said he doesn't fault Magic Johnson for his endorsement. "Mrs. Clinton is not a bad choice, I just think Mr. Obama is the best choice."

But he noted, "Unfortunately, Mrs. Clinton has been at many times a divisive figure, and I don't think that's intentional on her part, but I do think that's the case."

Abdul-Jabbar's book "On the Shoulders Of Giants" addresses the legacy of key African American leaders (in a glowing book review, the Washington Post said the author had transitioned from "iconic professional athlete to astute cultural historian.") But he chose not to weigh in on the recent racially-loaded spats between Obama and Clinton.

Instead, he pointed to Republican presidential candidate Mitt Romney's false claim that his father had marched with Martin Luther King Jr. as the "most outrageous attempt to use Dr. King's legacy in a very fraudulent way." He also described as "disgraceful" former Arkansas governor Mike Huckabee's recent embrace of the Confederate Flag as a political issue.

Abdul-Jabbar saved his sharpest criticism for the Bush administration. "I don't think a country that practices extraordinary rendition and has denied people habeas corpus and has practiced torture, that is not a country I am very proud of," he said. "We need people that can reach out in various directions and make the case for our nation both internally and in terms of foreign policy. I think Obama's the right person to do that."
 
Koba, YNIM,Nyani Ngabu, Game Theory,

..nimemsikiliza John Edwards na sababu zake kwamba he is the most viable candidate nikashtuka kidogo.

..among us, only Koba has managed to see the "danger" that may be ahead of us.

..John Edwards anadai he is the only candidate who can compete in the entire US. anadai anaweza kwenda everywhere including RURAL AND POOR SOUTH!!

..kwa mtizamo wa Edwards, Hillary na Obama hawauziki SOUTH.

..kama ilivyoelezwa mwanzo, Democrats walipoteza umaarufu south baada ya ndoa yao na civil-rights movement.

Susuviri,

..I dont think Obama is an underdog anymore, or at least he doesnt feel so.

..Obama mwenyewe ametamka kwenye debate kwamba he is being attacked bcuz he is wining.

..vilevile kumbuka majibu Obama kwa Hillary, kwamba she will be advising him come Jan 2009. tena juzi kwenye debate amemwambia John Edwards kwamba by 2009 he will be foreseeing the Peruvian-US trade agreement. Sasa hizo siyo statement za underdog, ni statements za FRONT-RUNNER or a WINNER.

..halafu hivi huoni hizi endorsement za Obama karibu zitamfanya awe the candidate for the establishment? John Kerry, Jesse Jackson, Al-Sharpton, Senate Majority leader Reid, Sen.Bill Bradley,several Workers Union, Oprah Winfrey etc etc, wamemu-endorse Barack Obama.

..watch out siku zinavyozidi, Billary or Hilly-Billy wataanza ku-run kama outsider or anti-establishment campaign!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…