US Election Coverage 2008

Nyani: lakini hell hath no fury like a woman scorned..... watch Hutchinson.... she is woman GOP and respected and pissed off.....

Sasa Palin wanashindwa hata GOP wenzake kumsifia ni tatizo...

Wrong...tune to Rush and see how ecstatic and excited he is.....
 
Hmmm kuna kazi hapa especially kwa maredneck wa huko kusini kwenu ambao bado wanawachukulia wanawake kuwa wako chini yao.....

NN njoo Sugarloaf kesho kwenye ufunguzi wa Obama-Biden 08 Office, mlo wa mchana na jioni juu yangu.
 
Hmmm kuna kazi hapa especially kwa maredneck wa huko kusini kwenu ambao bado wanawachukulia wanawake kuwa wako chini yao.....

NN njoo Sugarloaf kesho kwenye ufunguzi wa Obama-Biden 08 Office, mlo wa mchana na jioni juu yangu.

Sugarloaf parkway? Nyinyi dems huko kwa matajiri mnatafuta nini? Halafu ukiwatonya ma Obama-maniacs wako kuwa mimi ni Nyani McCain si nimekwisha....?
 
From CNN Ticker Producer Alexander Mooney

(CNN) – A leading House Democrat said Friday John McCain's choice of Alaska Gov. Sarah Palin is a "risky" move that could ultimately prove disastrous to the Republican prospects in November.

Meanwhile, a top Senate Democrat said the pick is a "Hail Mary pass" and a "roll of the dice," in what is the initial reactions from McCain's rival party.

Speaking on a South Carolina radio station, House Majority Whip Jim Clyburn likened the choice of Palin to Walter Mondale's choice of Geraldine Ferraro in 1984 and George H.W. Bush's pick of Dan Quayle in 1988. Both picks - relatively unknown political figures at the time - generated initial excitement but were ultimately deemed poor choices by many political observers.

"I think (her selection) would be something similar to Dan Quayle - Dan Quayle proved to be sort of an embarrassment as a campaigner, being thrust on a national stage like that could be very tough," Clyburn said. "Now Mondale tried to shake things up by going with Geraldine Ferraro, she proved to be a disaster as a running mate. And as a campaigner, she was absolutely awful."

"And so I just think that it is very risky for McCain to do this, but it may be all he has left," Clyburn also said.

In an issued statement, Sen. Chuck Schumer said Palin is significantly mismatched to Democratic VP candidate Joe Biden and said the prospect of her becoming president is "troubling."

"It is a real role of the dice and shows how John McCain, Karl Rove et al realize what a strong position the Obama-Biden team and Democrats in general are in in this election," Schumer said. "Certainly the choice of Palin puts to rest any argument about inexperience on the Democratic team and while Palin is a fine person, her lack of experience makes the thought of her assuming the presidency troubling. I particularly look forward to the Biden-Palin debate in Missouri."

The Obama campaign also told CNN Friday the choice of Palin takes the question of experience "off the table."

"Experience is being taken off the table considering you're putting someone within a heartbeat of the presidency with the thinnest foreign policy experience in history," spokesman Bill Burton said.

Update: Rep. Rahm Emanuel, the 4th ranking House Democrat, said in a statement the choice of Palin "shows political panic."

"Is this really who the Republican Party wants to be one heartbeat away from the Presidency? Given Sarah Palin's lack of experience on every front and on nearly every issue, this Vice Presidential pick doesn't show judgment: it shows political panic," he said.
 
ila hii choice ya McCain imedhihirisha kwamba huyu jamaa ni real soldier,kwamba ni mtu mwenye mustendi wa kipekee, kulingana na pressure za campaign zilivyo, halafu kuibuka na choice kama hii, Mcain kadhihirisha kuwa he is the man of his own!.
 
ila hii choice ya McCain imedhihirisha kwamba huyu jamaa ni real soldier,kwamba ni mtu mwenye mustendi wa kipekee, kulingana na pressure za campaign zilivyo, halafu kuibuka na choice kama hii, Mcain kadhihirisha kuwa he is the man of his own!.

Hehe wengine walikuwa hawabebeki, i.e Romney, Giuliani, Ridge etc...what does this pick tell us, Team McCain walipanic, na nadhani wako desperate kiaina kwa kutaka kura za wanamama waliokuwa wanamsupport Hillary, swali muhimu Makopo ataendeleza sera yake ya kuwa Obie haqualify kuongoza maana huyu mama resume yake ni nyembamba kuliko ata ya Obie...Team McCain iko clueless.

Unlike Clinton and Ferraro, Palin hasn't been a strong national voice on women's issues. She hasn't been at the barricades, fighting for women's health, equal pay, economic security. And she certainly hasn't had anything to say about the national-security issues that are also important to women across the political spectrum. Does the McCain camp really expect pro-choice Democratic and independent women to be swayed by a sleight-of-gender?

NM usiwe na wasi wasi Obamanites hawana mushkeli kama ndugu zako akina Rush alafu what happened Rush si alisema atakwenda kuvuruga Convention?

Susuviri angalia PM yako.
 
extra extra!!!!
breaking news
 
Tuachane na kina Obama, tuwaze namna ya kuwang'oa mafisadi wa CCM 2010.

Soma quote ya Obama at the bottom of my post i.e. my signature. We are learning a lot from Obama. If any party in Tanzania needs seriously input kuhusu kuing'oa sisiem then watuambie JF Obama team, tuna mikakati mingi maana Jaluo Jeuri aling'oa establishment figure Hilary Clinton and will soon leave teh Rethuglicans and Karl Rove in the dust. Stay tuned!
 
Tuachane na kina Obama, tuwaze namna ya kuwang'oa mafisadi wa CCM 2010.

Umeingia kwenye basi usilojua linaelekea wapi???? Hebu shuka usome kibao kwanza. Thread inaeleza wazi inahusu nini wewe unataka kuleta mambo ya CCM huku???
 
Umeingia kwenye basi usilojua linaelekea wapi???? Hebu shuka usome kibao kwanza. Thread inaeleza wazi inahusu nini wewe unataka kuleta mambo ya CCM huku???

Mwache mkuu! Ana uchungu na nchi! lakini ni vyema pia akijua Obama ana pambana na mafisadi wa Marekani... the GOP!! kwikwikwi
 
Umeingia kwenye basi usilojua linaelekea wapi???? Hebu shuka usome kibao kwanza. Thread inaeleza wazi inahusu nini wewe unataka kuleta mambo ya CCM huku???

Haha nimejikuta nacheka kwa sauti baada ya kusoma hii post lol..that was a good one.
 

Huyu Michelle naye akatafute nguo za maana sasa hivi visempele vyake vya mwaka 47 aachane navyo. Leo asubuhi nilikuwa naangalia mahojiano ya Whoopy na CNN akasagia sana kigauni alichokivaa siku alipotoa hotuba kwenye convention. Sasa hapa sijui ndiyo kavaa kituko gani.
 
NM, upo au na wewe umepata mshituko kama maconservative wenzako?
Dah!! Yani hapa niko kwenye blogs za conservatives sina mbavu...hii ni burudani tosha especially baada ya Man U kufungwa.

What was McCain thinking? kati ya wanawake wote wa republican kaenda kuchukua gov wa state yenye deer wengi kuliko ata wakazi lol...so much for judgment and experience.
 
They said the same thing about Dan Quayle and Bush-Quayle won 40 states.....I can't wait to hear what y'all will say after Nov.4th....
 

Aisee mkuu! Hivi wewe ni stylist or are you taking fashion tips from Whoopie or all people?!! When was the last time you saw Whoopie dressed stylishly? Acha kutafuta kasoro ambazo hazipo. Michelle is very modern and stylish and she has the shape to wear it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…