US Election Coverage 2008


yeah yeah...tatizo jamaa ni smoker/ yupo kwenye struggle ya ku-quit! inhalater ni madude ya nicorrete ktk kusaidia watu ku-quit......hapo ndio mambo yalipoji-mix!! nadhani nia yake ilikuwa kuzungumzia inhalers (zile MDI "metered dose inhalers" kwa mitambo kama wewe Ngabu na wazee wasioweza kulengesha huziwekea "spacer"...ndani kuna kuwa na meds kama beta blockers i.e albuterol, anticholinergics i.e ipratropium bromide a.k.a spiriva, steroids i.e fluticanasone, cromilyn sodium a.k.a intal au mixtures ya madawa hayo kama vile advair... e.t.c) ambazo hutumika kutibu asthma and other respiratory ailments!!

sasa basi alichokosea hapo ni kusema inhalater badala ya inhaler....asthma ni issue kubwa sana hasa kwa watoto, ipo connected na some allergies!! kwa mawazo yangu haikuwa gaffee bali ni kuchanganya tu maneno.........tatizo lenu mnataka kuwin chaguzi kwa kutumia vitu vya kipuuzi kama hivyo!! well, wapo wakina "bitter" white americans walio-drop high school mtakao wapata.

goodnight and goodluck.
 

Bro Kitila,

Kuwa na uchakavu wa Kadi au namba za kwanza hazina maana yeyote. Si ajabu uchovu wa kadi unaweza kuandamana na uchovu wa akili na kuishia kuwa na Viagara Policies!
 

Cindy poozeo mpenda kilauri na unga?
 
McBush alisahau Prozac akaanza mumunya na kukana matamshi yake....kwi kwi kwi

 

Sasa hayo ndio manini?
 
Has Obama said what he will do about the high gas prices? What's his strategy?

...acha uvivu wewe mla kachori, nenda kwenye web ya Obama, soma ni nini strategy yake juu ya oil na sera zake nyingine!!!

ila ana mpango wa kurudisha jobs zoote zilizokuwa outsourced kwenda Bangalore....kijasho kitawavuja!!!. aaagh, na kama huna la maana la kusema kaa kimya....swali lako lilikuwa la kipumbavu.

hivi Jindal kafanya nini la maana toka kuwa Gavana wa Louisiana?? sana sana anauza sura......oooovyo!!.
 
Sasa hayo ndio manini?

hujaelewa nini sasa? point ilikuwa kwamba "inhalater" sio issue......tafuta vitu vingine vya kukosoa na sio kufanya kampeni ya nani anachapia zaidi ya mwingine!!.
 
Hey YourNameisMine, see the quote below of Obama showing his true intelligence. Bobby Jindal would never stutter and stammer like a blithering idiot without a teleprompter.

 
Manji,
yaani na ujanja wako wooooote unaenda kuleta quotes za kizembe toka kwa Rush Limbaugh!!!? weka mazungumzo yote kwa ujumla kama yalivyokuwa na sio vipengele "edited" unavyotaka wewe na shoga lako Limbaugh.....you can do better than that, Manji Supporter!.

ukisoma 'Piccayuni' la New Orleans utaona jinsi huyo muhindi mwenzako wanavyomponda.......anachemsha tu, toka aingie hajafanya lolote maana kufufua New Orleans!! akicheza atakuwa one term governor....
 
Manji supporter!
You asked about hig gas prices. and what Obama is planning, mbona inaeleweka, one thing Obama is not doing (and he won on that while HIllary and McCain fared badly on this issue) is to give tax holiday!
Na kibabu chako itabidi aelezwe that this idea imepitwa na wakati na economists wote (left and right ) hawaitaki na wanasema siyo solution, but then kibabu nacho kimepitwa na wakati
 

Mpaka sasa kafanya mengi kumshinda Kathleen Blanco (Democrat).....kwa mfano kuimarisha levees, kuijenga upya NO, kuvutia makampuni ya fortune 500 kuja na kuwekeza NO/ LA.....
 
Mpaka sasa kafanya mengi kumshinda Kathleen Blanco (Democrat).....kwa mfano kuimarisha levees, kuijenga upya NO, kuvutia makampuni ya fortune 500 kuja na kuwekeza NO/ LA.....

...acha fix za vichakani hapa,hizo project zote zilikuwa underway/signed already na Blanco
 
Unajua wengu humu tuna mitizamo tofauti na hizi campaign za USA, which is good.. I as one, naangalia effect na consequences za kila kiongozi anayegombea kwa mustakabali wa maisha yetu especially third worlders. After all mustakabali wetu bado unategemea kwa kiasi kikubwa maamuzi ya USA na washirika wake ndo maana sikio lote liko US! Mfano kama tension ya kuivamia Iran itaendelea, basi tujue kabisa kwamba supply ya mafuta itazidi kudorora na wanaoumia ni ndugu zetu wa kima cha chini sana wanaotegemea dala dala na usafiri usioeleweka. Forget the politics of alternative energy, for now, we in poor countries we dont have that luxury.

Hivi watu mnaongelea mafuta ughaibuni..mfikirie mtanzania wa kawaida na mshahara wake wa 80,000 anayepanda dala dala kila siku...Its tragic I tell you! mshahara wote unaishia kwenye dala dala....

Kifupi I think Obama hata kama akiendeleza sera za USA, ila atakuja na different tone...aweze kuwasikiliza na kuwa accomodate wengine. Which the world badly needs. Jamaa siyo MBABE. In international politics, hiki ni kitu kikubwa sana for USA to do, just kuwa msikivu tuu! Kauli ni kitu muhimu sana na unavyoitoa ina matter. Bush ametufikisha hapa kwa kauli zake za kibabe na kizandiki, Africa tunategemea mafuta kuendesha maisha yetu...But with the current Bush policies..we are doomed.......Thats what we are gauging and looking at when we are discussing the politics of USA now!

For the rest tunaoangalia preferences..its our right, but as an African or a third world person I dont have that luxury ya kuangalia mambo kwa ushabiki! My realities dictates otherwise. a humble, listening, accomodating and considerate person in the WH..will do a world a great service and for now I think Obama is that voice.

Ila tukisema tujifikirie wenyewe, elites, bila kuangalia bigger picture the effects za huu uchaguzi we can do so......though ukweli unabaki..the world is now in a dire need of a strong and responsible and listening USA leadership! among the two, Obama can offer more than Mccain.

REMEMBER TO WHOM MUCH IS GIVEN, MUCH IS EXPECTED!
 
Masanja,

..umeishamsikia Dr.Ron Paul? alishindwa kwenye primaries za Republican. yeye alikuwa ana-propose a total dis-engagement of US military from foreign countries.

..nilisikia kwamba ana matatizo yake ya Racism, lakini kwa kweli anachokisema kuhusu US foreign and military policy nadhani nakubaliana nacho kwa kiasi kikubwa. they would never give him much publicity, kwasababu ni kama alikuwa anawa-expose conventional Republic candidates.

..kwa kweli George Bush amelikoroga kwelikweli. ndani ya Marekani wananchi wanataabika na hali ngumu ya uchumi. nje ya Marekani nchi changa zinataabika kwasababu ya ubabe wa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…