BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,337
Juzi usiku nilikuwa nasikiliza mahojiano CNN kati ya huyo GF wake anayeishi Dallas na yuko kwenye quarantine na Anderson Cooper. Huyu dada alihoji kwanini hali ya mgonjwa imedeteriorate wakati kuna dawa iliyowaponya wazungu. Anderson akamjibu wahusika wanadai Dr wake hakuomba apewe hiyo dawa eti inatakiwa aombewe na dr wake au family members. Jana nikasikia hiyo dawa imeisha inachukua muda kutengeneza tena. Hmmmmmmm!!! Naona kama wamemkomoa kwa kuingia US huku akiwa amedanganya.
Nilikuwa nafuatilia eti walisema ile dawa imewaishia...hivyo alikuwa hapati treatment yoyote...mmnnnhhhh
Yani mpaka nikahisi labda wamefanya kumkomoa ili isije kuwa trick watayotumia wengine kama yeye kusafiri kwenda nchi kama US kupata treatment...