Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,277
- 144,454
Haya bana, lets agree to disagree.
Nope, don't include me in your agreement.
Haya bana, lets agree to disagree.
I give up!
Na yeye kwa nini alidanganya kuwa hakuwa na mgonjwa wa ebola huko Liberia ili apande ndege kuja kuambukiza wengine,anyway a RIP
Wewe in a boxing match unaanza tumia kucha, kuvuta nywele na mipasho. How can I possibly "hang" with you!I knew you would coz you can't hang with me. Now kick rocks and die.
Alivofika alienda hospitali akiwa na dalili zote za Ebola ila walimrudisha nyumbani. According to post ya BAK # on page 4Na yeye kwa nini alidanganya kuwa hakuwa na mgonjwa wa ebola huko Liberia ili apande ndege kuja kuambukiza wengine,anyway a RIP
Wewe in a boxing match unaanza tumia kucha, kuvuta nywele na mipasho. How can I possibly "hang" with you!
It's very evident we "hang" differently! Hehehe!
Alivofika alienda hospitali akiwa na dalili zote za Ebola ila walimrudisha nyumbani. According to post ya BAK # 73 on page 4Na yeye kwa nini alidanganya kuwa hakuwa na mgonjwa wa ebola huko Liberia ili apande ndege kuja kuambukiza wengine,anyway a RIP
Ili apate tiba sahihi...kwa sababu ukiwa na Ebola Liberia lazima ufe...lakini US kuna dawa...
Ungekuwa wewe unapata chance ya kwenda nchi yenye dawa usingeitumia? Unadhani kufa unajiona mchezo?