Hii habari itakua imetoka sputniknews.com hicho ndicho chombo ambacho 24/7 kinarusha habari za propaganda kuhusu marekani, Sina upande kwa kweli lakini nimejifunza kitu
Nikitazama cnn, BBC, aljazeera utaona wanahangaika na habari mbali mbali za kimataifa ikiwemo uchaguzi wa marekani lakini hii sputniknews.com ya Russia 24/7 ni mbaya tupu za marekani, purely propaganda news against western States, na mbaya zaidi habari zao ni mawazo ya mchambuzi flan ambayo yanakua ni mtazamo binafsi wa huyo mtu lakini sputniknews.com wataiweka kama headline
Walau habari zao zingekua za kiuchunguzi lakini sio, ni mawazo na uchambuzi wa wadau tena watu wengi wanaofanya uchambuzi kwenye media hiyo ni very staunch anti American, unategemea nn hapo?
Mwenye kuleta hii habari ameitoa sputniknews.com, lakini kwa kuwa anajua watu wengi hatuiamini hiyo media house akaamua kuondoa source pale mwisho wa taarifa
Na kwa kuwa anajua ukitaka ushangiliwe na wana jamii forum na upate comments nyingi basi andika jambo ambalo ni anti America