SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Umeandika saaana lakini hukujibu maswali yangu ya msingi..Simple, hawakupenda hatua za Erdogan ku reconcile na Putin na Asaad, ndiyo walivyo kama ujui agenda zao za siri zinazo husu Geopolitics za Marekani in Africa Kasikazini na Mashariki ya kati actually Syria ndiyo uchukuliwa na Military Planners wa the USA kama epicenter ya kutekeleza long term plan zao za kutawala/dhibiti natural resorces za Euroasia including Russia - kisa 65% ya maliasili Duniani zipo eneo hilo, je ni watu wangapi wanajua ukweli huo? - We unafikiri kwa nini Uncle SAM ujulikana kama Emperor of CHAOS.
Tangu mwanzo ukisoma posts zangu humu nilionya kwamba ma Yankee yanahusika na njama hizi lakini watu walinibeza beza - kilicho nishtua ni kitu gani? Niliona Amerika ilikuwa so passive wakati majaribio ya kumpindua Erdogan yakiendela hii si tabia yao, mara zote usaidia washirika wake wa karibu wasipinduliwe walipaswa kuchukua hatua kali ukiwekea maanani kwamba kwenye military Base ya Incirlik Marekani inahifadhi mabom yao ya thermonuclear, kwa nini hata hilo alikuwashtua kwamba mabom hayo yanaweza kuingia mikononi mwa waasi wakayatumia dhidi yao yakaleta madhala yasiyo elezeka.
Merakani ilisita kumsaidia Erdogan lakini juzi hapa awakusita kutuma ndege zake za vita kusaidia Serikali ya Libya isipinduliwe na kukundi chenye siasa kali - mark you Libya is not even a NATO member! Swali ni: Kwa nini NATO specifically Marekani walimwacha Erdogan aogelee kwenye murky/unchated water peke yake na Mungu wake - was it normal - I don't think so?
Kitu kingine acheni tabia zenu za ku insult intelligence za watu kwa kuwasingizia kwamba wanapata taarifa kutoka Sputnik!! Ubishi mwingine unashangaza sana - yaani unataka kueleza Dunia kwamba Serikali ya Uturuki ni wakurupukaji kuitaja the USA/ma afisa wa jeshi la the USA walihusika kubariki mapinduzi ya kumung'oa Erdogan madarakani - comeon!
Kwa kiasi kikubwa una speculate kuliko kuwa na uhakika..