US aonyesha ubabe wake kwa kupiga 'carpet bombing' masalia ya ISIS - salamu kwa Iran

Usiniulize mimi, maana sio mimi natembeza kichapo kwa hao wakuu wenu, mfuateni US...hehehe yule kiboko, na mtapoteana sana, carpet bombing.
Hilo la US kurusha mabomu halitustui wala halina tishio lolote umeshajibiwa sana juu huko. Tena kama wanataka tuwasaidie kuwamaliza isis wala wasiwe na hofu. Ni kinyago chao wenyewe hicho. Waongeze mashambulizi na watuoneshe picha za waliowaua. Furaha kwetu hiyo.

Nimekuuliza kuhusu Al shabab na Somalia na Kenya hujaona?
 
Hawa jamaa ni waongo balaa, vipi utaweza kupiga bomu la tani 40 sehemu ambayo mulishawahi kusema mumeshinda magaidi??
 
Hilo la US kurusha mabomu halitustui wala halina tishio lolote umeshajibiwa sana juu huko. Tena kama wanataka tuwasaidie kuwamaliza isis wala wasiwe na hofu. Ni kinyago chao wenyewe hicho. Waongeze mashambulizi na watuoneshe picha za waliowaua. Furaha kwetu hiyo.

Nimekuuliza kuhusu Al shabab na Somalia na Kenya hujaona?

Najua haliwashtui maana mnaendelea kuwazaa, lakini kila mkiyaongeza mazombi yanaliwa shaba, hawachekwi nao. Nimependa hii ya carpet bombing, hakuna haja ya kupoteza muda kujua nani yuko wapi, tembeza kichapo wakifika kule kwa thawabu ndio kila mmoja atachaguliwa apewe nini.
 
Bado unajibabaisha. Nisome tena...

Una maana US sasa wapo upande wa Iran? Maana hao ISIS si waliwaunda wenyewe, tatizo nini?

Mleta mada vipi Al shabab? Nasikia na serikali ya Somalia mlioiweka madarakani imewageukia kwa kuwa mnawaibia mafuta yao. Kweli?
 
IRANI Alituma Salamu Kwakukamata Mabalozi Wa US Mwaka 1979 Akatuma Salamu Kwakumamata Ndege Za US Zile Drone Nne Mwaka 2011 kama sijakosea Akatuma Tena Salamu Kwakukamata Wanamaji Wa US Mwaka 2012 kama Sijakosea Mwanzo mwanzo Wamwaka Huu Akatuma Salamu Kwakupiga Drone Ghali Ya US Kwa Chuma Kimoja tuu

Nakujuza Tu US Kashatumiwa Sana Salamu Na Bwana Mkubwa Muajemi Ila Kashindwa Kujibu

IRAN Wataiheshumu Kama Wanavyowaheshimu Baba Na Mama Zao
Duh bana na mama zao!
 
Israeli official: We’ve
dropped 400 tonnes of
bombs on Gaza
July 9, 2014 at 11:29 am
The Israeli Air Force has dropped
approximately 400 tonnes of bombs and
missiles on the Gaza Strip over the past
two days, a senior official said today.
Israeli radio quoted who they referred to
as a “significant” figure, who could not
be identified, as saying: “During the air
force bombing of the Gaza Strip over the
past two days, about 400 tonnes of
bombs and missiles have been used, so
increasing the level of destruction in the
sector.”
The Israeli officer said: “The
organisations in Gaza have a few
hundred long-range missiles; some of
them are hidden in places that cannot be
targeted.”
Avihai Adraei, a spokesman for the
Israeli army, said they had struck more
than 160 targets throughout the Gaza
Strip last night, pointing out that “since
the beginning of the operation, 440
targets have been hit, and we have many
more to go.”

haya wenzao israel walishusha tani 400 na hakuna la maana kilifanyika,hii hutumika tu kama propaganda ya kujionyesha wana nguvu za kijeshi lakini matokeo halisi on the ground ni zero
Cheseya wewee carpet bomb iyo. Marekani nouma yani sheeda maamaee
 
Una maana US sasa wapo upande wa Iran? Maana hao ISIS si waliwaunda wenyewe, tatizo nini?

Mleta mada vipi Al shabab? Nasikia na serikali ya Somalia mlioiweka madarakani imewageukia kwa kuwa mnawaibia mafuta yao. Kweli?
Wawaunde kisha wenyewe ndio wawe wahanga wao wakuu, acheni propaganda za masjid. Isis ni mpango wa "Global Jihad" na hilo wala halina ubishi.
 
Wawaunde kisha wenyewe ndio wawe wahanga wao wakuu, acheni propaganda za masjid. Isis ni mpango wa "Global Jihad" na hilo wala halina ubishi.
Huo mpango wako wa "Global Jihad" sijawahi uona, nilichokiona ni hiki...
 
Kama Iss ni watoto wa USA mbona wanawachinja wamarekani??
Labda zile drones zilizopiga Saudia zilitokea hapo Tigris kisiwani.
 
Huo mpango wako wa "Global Jihad" sijawahi uona, nilichokiona ni hiki...
Hiyo research ni feki, it doesn't reflect reality on the ground and it is largely partisan.
 
Back
Top Bottom