US aonyesha ubabe wake kwa kupiga 'carpet bombing' masalia ya ISIS - salamu kwa Iran

MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,873
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,873 2,000
Ashusha mabomu tani 40, kipigo cha carpet bombing ni aina ya kupiga mabomu bila kujali wapi unapiga, yaani mwendo wa kushusha tu, full milipuko hakuna kinachosazwa iwe panya, paka au bnadamu.
Hatari sana hii, nahisi ni salamu kwa Iran....

The return of shock and awe: US warplanes led by F-35 stealth jets drop 40 TONS of laser-guided bombs on 'ISIS island' in Iraq to annihilate terrorist stronghold and stop flow of fighters to Syria
 • The video shows explosions creating mushroom clouds billowing from island
 • US-led coalition said warplanes dropped the 40 tons of bombs on the island in the Tigris River 'infested' with members of the Islamic State group
 • The coalition said F15 and F35 warplanes took part in the bombing on Qanus Island in the central province of Salaheddine, north of the capital Baghdad
 • Strikes comes days after President Trump decided to cancel Afghan peace talks
 • Data shows that strikes have also picked up in Afghanistan with US jets dropping nearly 800 bombs against targets in Afghanistan last month
 • In DC, Secretary of State Mike Pompeo said Afghan peace talks are on hold

BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
16,279
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
16,279 2,000
Ashusha mbomu tani 40, kipigo cha carpet bombing ni aina ya kupiga mabomu bila kujali wapi unapiga, yaani mwendo wa kushusha tu, full milipuko hakuna kinachosazwa iwe panya, paka au bnadamu.
Hatari sana hii, nahisi ni salamu kwa Iran....

The return of shock and awe: US warplanes led by F-35 stealth jets drop 40 TONS of laser-guided bombs on 'ISIS island' in Iraq to annihilate terrorist stronghold and stop flow of fighters to Syria
 • The video shows explosions creating mushroom clouds billowing from island
 • US-led coalition said warplanes dropped the 40 tons of bombs on the island in the Tigris River 'infested' with members of the Islamic State group
 • The coalition said F15 and F35 warplanes took part in the bombing on Qanus Island in the central province of Salaheddine, north of the capital Baghdad
 • Strikes comes days after President Trump decided to cancel Afghan peace talks
 • Data shows that strikes have also picked up in Afghanistan with US jets dropping nearly 800 bombs against targets in Afghanistan last month
 • In DC, Secretary of State Mike Pompeo said Afghan peace talks are on hold

USA haeleweki ana msupport Assad au ISIS????
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,397
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,397 2,000
Una maana US sasa wapo upande wa Iran? Maana hao ISIS si waliwaunda wenyewe, tatizo nini?

Mleta mada vipi Al shabab? Nasikia na serikali ya Somalia mlioiweka madarakani imewageukia kwa kuwa mnawaibia mafuta yao. Kweli?
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,873
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,873 2,000
Una maana US sasa wapo upande wa Iran? Maana hao ISIS si waliwaunda wenyewe, tatizo nini?

Mleta mada vipi Al shabab? Nasikia na serikali ya Somalia mlioiweka madarakani imewageukia kwa kuwa mnawaibia mafuta yao. Kweli?
Salamu zimemfikia Iran ambaye ndiye tegemeo lenu kubwa, ameonyeshwa makucha kwa mbali kwamba ipo siku atakwaruzwa.
Carpet bombing hufagia upumbavu wote, panabaki peupeee!!
 
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
885
Points
1,000
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
885 1,000
Ashusha mabomu tani 40, kipigo cha carpet bombing ni aina ya kupiga mabomu bila kujali wapi unapiga, yaani mwendo wa kushusha tu, full milipuko hakuna kinachosazwa iwe panya, paka au bnadamu.
Hatari sana hii, nahisi ni salamu kwa Iran....

The return of shock and awe: US warplanes led by F-35 stealth jets drop 40 TONS of laser-guided bombs on 'ISIS island' in Iraq to annihilate terrorist stronghold and stop flow of fighters to Syria
 • The video shows explosions creating mushroom clouds billowing from island
 • US-led coalition said warplanes dropped the 40 tons of bombs on the island in the Tigris River 'infested' with members of the Islamic State group
 • The coalition said F15 and F35 warplanes took part in the bombing on Qanus Island in the central province of Salaheddine, north of the capital Baghdad
 • Strikes comes days after President Trump decided to cancel Afghan peace talks
 • Data shows that strikes have also picked up in Afghanistan with US jets dropping nearly 800 bombs against targets in Afghanistan last month
 • In DC, Secretary of State Mike Pompeo said Afghan peace talks are on hold

IRANI Alituma Salamu Kwakukamata Mabalozi Wa US Mwaka 1979 Akatuma Salamu Kwakumamata Ndege Za US Zile Drone Nne Mwaka 2011 kama sijakosea Akatuma Tena Salamu Kwakukamata Wanamaji Wa US Mwaka 2012 kama Sijakosea Mwanzo mwanzo Wamwaka Huu Akatuma Salamu Kwakupiga Drone Ghali Ya US Kwa Chuma Kimoja tuu

Nakujuza Tu US Kashatumiwa Sana Salamu Na Bwana Mkubwa Muajemi Ila Kashindwa Kujibu

IRAN Wataiheshumu Kama Wanavyowaheshimu Baba Na Mama Zao
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,619
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,619 2,000
Salamu zimemfikia Iran ambaye ndiye tegemeo lenu kubwa, ameonyeshwa makucha kwa mbali kwamba ipo siku atakwaruzwa.
Carpet bombing hufagia upumbavu wote, panabaki peupeee!!
... taratibu Mkuu yasije yakatokea yale ya Hiroshima na Nagasaki huko Tehran na viunga vyake.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,148
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,148 2,000
Israeli official: We’ve
dropped 400 tonnes of
bombs on Gaza
July 9, 2014 at 11:29 am
The Israeli Air Force has dropped
approximately 400 tonnes of bombs and
missiles on the Gaza Strip over the past
two days, a senior official said today.
Israeli radio quoted who they referred to
as a “significant” figure, who could not
be identified, as saying: “During the air
force bombing of the Gaza Strip over the
past two days, about 400 tonnes of
bombs and missiles have been used, so
increasing the level of destruction in the
sector.”
The Israeli officer said: “The
organisations in Gaza have a few
hundred long-range missiles; some of
them are hidden in places that cannot be
targeted.”
Avihai Adraei, a spokesman for the
Israeli army, said they had struck more
than 160 targets throughout the Gaza
Strip last night, pointing out that “since
the beginning of the operation, 440
targets have been hit, and we have many
more to go.”

haya wenzao israel walishusha tani 400 na hakuna la maana kilifanyika,hii hutumika tu kama propaganda ya kujionyesha wana nguvu za kijeshi lakini matokeo halisi on the ground ni zero
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
66,397
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
66,397 2,000
Salamu zimemfikia Iran ambaye ndiye tegemeo lenu kubwa, ameonyeshwa makucha kwa mbali kwamba ipo siku atakwaruzwa.
Carpet bombing hufagia upumbavu wote, panabaki peupeee!!
Bado unajichanganya. Soma tena nikichokuandikia halafu ujibu.

Siai tunafurahi sana ikiwa US kashinikizwa na Urusi mpaka anateketeza vikundi alivyoviunda.

Maana yake nini? Maana yake anajitoa kimasomaso. Au anadanganya ulimwengu. Kapiga hewa.

Sasa kajibu maswali niliyokuuliza.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,873
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,873 2,000
Bado unajichanganya. Soma tena nikichokuandikia halafu ujibu.

Siai tunafurahi sana ikiwa US kashinikizwa na Urusi mpaka anateketeza vikundi alivyoviunda.

Maana yake nini? Maana yake anajitoa kimasomaso. Au anadanganya ulimwengu. Kapiga hewa.

Sasa kajibu maswali niliyokuuliza.
Usiniulize mimi, maana sio mimi natembeza kichapo kwa hao wakuu wenu, mfuateni US...hehehe yule kiboko, na mtapoteana sana, carpet bombing.
 
Forum statistics

Threads 1,342,749
Members 514,794
Posts 32,762,776
Top