Kwa wasiojua ni kwamba US lazima awe na hasira dhidi ya ulaya na ataitesa kweli kama hawatokuwa makini sababu kuu ni kwamba kwanza US ilikuwa koloni la nchi za ulaya na 7bu ya pili ambayo ndo kubwa ni kwamba asili ya matajiri walioijenga US walitoka ulaya baada ya kuzikimbia tawala za kifalme za ulaya.
Wakati huo ilikuwa mfalme hataki kumuona raia mwingine ndani ya himaya yake anakuwa na ukwasi kumzidi hivyo wafalme walifanya hila zote na figisu kuhakikisha wanaweka kila aina ya vikwazo ili kuua uchumi wa washindani wao hivyo wengi wakakimbilia US na wakaendelea na biashara zao mfano Donald Trump ni Mjerumani kwa asili babu yake mfanyabiashara alikimbiliaga huko hata Joe Biden asili yake ni Ireland wahenga wao walikimbiliaga huko hivyo ulaya itaendelea kuisoma namba.