Urusi yaipiku Marekani kijeshi duniani yawa ya Kwanza

Urusi yaipiku Marekani kijeshi duniani yawa ya Kwanza

Bajeti ya Kijeshi ya North Korea imepitwa mbali na South
kwa sababu north anatengeneza mwenyewe wakati south ananunua zaidi,

ni kama bajeti ya US na Russia,US ananunua at inflated prices wakati Russia anatengeneza mwenyewe.....
 
Unajua maana ya kugonga mwamba?yaani mtu Kashikilia asilimia 20 ya Ukraine unasema kafeli?yaani Ukraine inayosaidiwa na nchi 100
Amefail miserably! Operation ya saa 24 imechukua zaidi ya miaka miwili sasa na bado vita vinaendelea na Zelensky yupo madarakani
 
Kwasasa Urusi ndo nchi namba moja kwa nguvu za kijeshi ikifuatiwa na Marekani kulingana na takwimu za kijeshi

BREAKING: Russia has moved to the top of the list of the world's strongest armies.

Strongest militaries:

1. Russia [emoji635]
2. USA [emoji631]
3. China [emoji630]
4. Israel [emoji1134]
5. South Korea [emoji2406]
6. Ukraine [emoji1255]
7. Iran [emoji1130]
8. UK [emoji636]
9. Germany [emoji629]
10. Turkey [emoji1250]
11. Saudi Arabia [emoji1210]
12. Belarus [emoji1044]
13. France [emoji632]
14. India [emoji1128]
15. Japan [emoji627]
16. Egypt [emoji1093]
17. Vietnam [emoji1264]
18. Uzbekistan [emoji1260]
19. Kazakhstan [emoji1138]
20. UAE [emoji1256]

*according to U.S. News and World Report

View attachment 2799283
Urusi huyu huyu anayetolewa kamasi na Ukraine ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
List uchwara. Eti Belarus inazipiga France na Japan. Eti Israel ya nne. Na Ukraine inaipiga Turkey, France, UK ambazo zinaipa msaada wa silaha zao za kawaida kabisa.
List ya wajinga hii.
Mara nyingi India inakuwa ya nne ingawa silaha nyingi inaagiza nje hasa Russia sasa nchi za magharibi
 
Umeona ee? Jibu umelipata, sasa endelea kuandika akina yemen na algeria watake kupagana na israel katika mzozo wa hamas, nchi ya tatu kwa uwezo wa kijeshi duniani na kuishinda wakati hata ishirini bora hazipo
 
Listi feki utaijua tu sasa kwann hawajaweka tz hapo namba 6 au semaji alikua anaongea asichokijua.

Kipimo cha jeshi letu kuwa na watu wa hovyo wasiojielewa.
 
Mara nyingi India inakuwa ya nne ingawa silaha nyingi inaagiza nje hasa Russia sasa nchi za magharibi
Ndio maana umesema inanunua, hujasema inapewa msaada. India yenyewe pia ina makampuni ya kutengeneza silaha. Wanatengeneza nyambizi za nyuklia, wanatengeneza vifaru vyao Arjun, wana attack helicopter mpya, artillery guns, meli, small arms na hadi joint program ya fighter jet Su-30MKI zinazotengezwa India kwa msaada wa Urusi. Makampuni kama Tata, Hindustan na LT yanatengeza silaha nyingi.
Wana wanajeshi kama milioni. Wana maadui wakubwa China na Pakistan hivyo hawatakiwi kukaa kizembe. Wana population kubwa na bajeti kubwa ya kijeshi.

Huwezi walinganisha na Ukraine. Hata kiuchumi kwa GDP India imeshafika top 5.
 
Back
Top Bottom